MAANA YA NA:666, NA ASILI YA NAMBA666 UNAJUA ILITOKEA WAPI? NA SHETANI UNAJUA ALIIPATAJE? NIFATILIE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024
  • #matukioyageah
    #matukioonlinetv
    #temeke
    #mpya
    #siri
    #twenzetu
    #666
    #jumapili
    #unabii
    #daniel
    #namba
    #sabato
    #bibilia
    #fumbo
    #tanzania
    #tanzania255
    #gospelmusic
    #upendo
    #ushuhuda
    #ibada
    #maajabu
    #michezoleo
    #ubunifu
    #madinichannel
    #ulimwengu
    #milardayo
    #itv
    #ukweli
    #Utatu
    #dunia
    #kiswahilirahisi
    WAZI WAZI WAZI WAZI.NA666
    WARUMI WAMEJITAHIDI SANA KUFICHA SIRI HILI IMESHINDIKANA.
    BIBILIA WALIBUNI YA VITABU 72 NA 73 KUFICHA UKWELI HUU WA BIBILIA TAKATIFU YENYE VITABU 66.
    Ukweli wa Mungu hautapindishwa kwa uongo hata siku moja.
    LAKINI KUMBUKA JAMBO HILI. Yesu alipoutakasa msalaba kwa kifo chake wengine walisema amelaniwa mpaka leo wengine wanaamini hivyo.
    WAGALATIA 3:13
    [13]Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;
    Yesu alipomponya mtu siku ya Sabato wakasema anakufuru.
    Na walimuua kwa sababu ya wivu.
    MARKO 3:2-4
    [2]wakamvizia ili kuona kama atamponya siku ya sabato; wapate kumshitaki.
    [3]Akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, Simama katikati.
    [4]Akawauliza, Ni halali siku ya sabato kutenda mema, au kutenda mabaya? Kuponya roho au kuiua? Wakanyamaza.
    Mungu akili yake haichunguziki kwa akili za kibinadamu.
    ISAYA 55:8-9
    [8]Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA.
    [9]Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
    Pia mafumbo ya Mungu ufumbuliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu.
    1 WAKORINTHO 2:10-11
    [10]Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.
    [11]Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
    Fatilia SIRI HII NZITO YA NA666 ITAKUELIMISHA PAKUBWA SANA.AMINA.

ความคิดเห็น • 7

  • @DicksonMokaya
    @DicksonMokaya 4 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah.

  • @ThereziaDanielKajuna
    @ThereziaDanielKajuna 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Sana mtumishi

  • @IskariMasawa
    @IskariMasawa 27 วันที่ผ่านมา

    Mtumish wa uongoo

  • @mgishafuraha
    @mgishafuraha 2 หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe san

    • @mgishafuraha
      @mgishafuraha 2 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli

  • @Emmanuelnyandangongho
    @Emmanuelnyandangongho วันที่ผ่านมา

    Usiendelee kupotosha watu wa Mungu wapokee chapa ya mnyama maana watashindwa kuiogopa ili uamini nitishio soma ufunuo13:11___18

  • @CleverMwaisumo
    @CleverMwaisumo หลายเดือนก่อน

    Mmmm jamani kuweni makini me ninachojua namba 7 ina maana ni ukamilifu alimaliza kuumba siku saba ...mapigo saba .... Akini namba punfufu ya saba ambayo ni sita sio kamilidu kwa hiyo 777 zinawakilisha utatu mtakatifu lakini sita tatu ni soho tatu za uchafu ufunuo 16:13 kwa hiyo 666 ni copy ya utatu mkamilifu wa mungu ambao unawakilishwa na namba 777 kama mungu baba mwana na zoho matakatifu