Ikitokea Hali kama hiyo anaivumilia tuu dada😭😭😭imeniuma sana nimewaza kama nimtotot wangu ndo anaongea Ivo mungu anasema mwingne atampa nayeye zam yake uyo mtoto ikifka ee baba wambinguni ona watu wako
Jmn watz tusiwasaidie watu hata kama atakua anadanganya we mpe tu maana hii inaumiza sana😢😢😢😢.umri huo anafuga.see tumwezeshe kwenye ufugaji afuge zaidi
Mpira ndo Nini waoneeni huluma mbona hao wa mpira Wana Hela nyingi nchi hiii Kuna umasikini wa kutisha jamanni lingine huko tasafu haipo muda wa bwana nisasa kupata nyumba mungu awabariki mlio jitoa mtalipwa na mwenye navyo mungu barikiwa
Mh Mbunge wa jimbo la Rombo na Waziri wa elimu duitereva hainahai ndee sakwa mrii shuu uvaeeke vana vaa na maee usakwe na mrii singi saa saaasi rombo vanduuu vere besa uvaviie vafune msaada dukundi ndo cha chaachii fooo rombo kuuu duktereiivyaa uhidime iheka vandu vafoo dhai
Acha nitoe shukran kwa kila mtu amejitolea kujengea hii famillia mungu awabariki tena awabariki amin
Tumsaidie tusisuburi mama samia nasi pia tunao uwezo
Mola akutunze mtt na mola akuongoze ukatimize ndoto zako inshaalla
Jamani jamani toto pole sana sana haya ndo maumivu ya firstborn
Pole Sana mtoto toweni namba za sm tumsaidiye
Tunaomba mama angalia watu kama haya acha kuwapa watu wanaopewa mishahara zao Hela kwenye mpira pls mama uko kama tu tunakuomba
Mashallah mwanangu mungu akujaalie kila lenye kheri
Ikitokea Hali kama hiyo anaivumilia tuu dada😭😭😭imeniuma sana nimewaza kama nimtotot wangu ndo anaongea Ivo mungu anasema mwingne atampa nayeye zam yake uyo mtoto ikifka ee baba wambinguni ona watu wako
Jmn watz tusiwasaidie watu hata kama atakua anadanganya we mpe tu maana hii inaumiza sana😢😢😢😢.umri huo anafuga.see tumwezeshe kwenye ufugaji afuge zaidi
Mpira ndo Nini waoneeni huluma mbona hao wa mpira Wana Hela nyingi nchi hiii Kuna umasikini wa kutisha jamanni lingine huko tasafu haipo muda wa bwana nisasa kupata nyumba mungu awabariki mlio jitoa mtalipwa na mwenye navyo mungu barikiwa
Mungu Mkubwa atakusimamia Kijana
jamani kwani kanisa liko wp wanajumuiya wako wp pyeee
Mmh tuna mama mwenye upendo Mama Samia akisikia tu utapewa
Inabidi wajegewe nyumba pia , majirani zao wako wapii??? Munaacha watoto wanaishi ivyoo?... 😮😮😮😮
Poleni
Jamani wasaidieni Hawa watoto
🙏🙏🙏🙏
Jamani wachaga
Kaka uyo dogo nampataje iri tuweze kumpatia chochote kitu
Wachaga hii aibu tuitoe Wonders is needed😢
Nimejikuta nalia sana mimi jaman😭😭😭😭💔💔💔
Pole sana tunaomba namba za cm
Angalau huyu hakumuomba mama Samia yy kamuomba diamond
Watanzania msaada kwa mtoto unahitajika
Ndio
POLE SANA WEWE MTOTO JAMANI TUMSAIDIE HUYO MTOTO. MAMA SAMIA MWONE MWANAO HUYO
Inahuzunisha inaskitika uongozi ni dhamana ivi mbunge diwani na viongozi wa sehem hiyo ivi hiyo familiya hamjaiona mpaka inavumbuliwa na wadau?😢😢😢😢
Mtoto anaakili
Pole san mwanangu
Nipeni namba
M bunge wa huko nyuko wapi????? Unaruhusu watoto kuishi hivyooo??? Serikali wa mitaa???, majirani, walimu????
Wachaga jamani msaidieni huyo mtoto
Mngetoa NAMBA za cm
Maisha haya 😢😢😢
Wachaga mjitamba sana msaidieni huyo mtoto wachaga aibu hiyo
Acha usenge ww
Awa ndio wanaitaji msada rkn kiongozi anawapa hela yanga au simba
😂😂😂
Yaani ni ajabu kabisa
Mh Mbunge wa jimbo la Rombo na Waziri wa elimu duitereva hainahai ndee sakwa mrii shuu uvaeeke vana vaa na maee usakwe na mrii singi saa saaasi rombo vanduuu vere besa uvaviie vafune msaada dukundi ndo cha chaachii fooo rombo kuuu duktereiivyaa uhidime iheka vandu vafoo dhai
duuh kumbe kichaga kigumu ivi kusoma..
😂😂😂@@bravofred1621
Jaman saiz kajengewa na saiz anasaidiwa na grad wa Instagram
Wabarikiwe san wenye walie mjengea
😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭
💔💔💔💔😭😭😭😭😭
🙏🏻🙏🏻🙏🏻tunaomba namba za simu please
nenda instagram kwa glad followers wake kule ndo wanachanga nyumba tayri hadi umeme wamewekewe bado mahitaji madogo madogo tu
😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲