Hakika najivunia kuwa mlezi wa Utoto Mtakatifu, hii inafurahisha na inapendeza, walezi mjivunie kazi yenu ni nzuri,Roho Mtakatifu aendelee kuwaimarisha muwalee watoto kwa umahiri mkubwa,Mungu awaimarisbe ktk Utume wenu.
Wow kazi safi hii SI mchezo barikiweni pamoja na walimu wenu🙏🙏🙏 Mimi ni mwalimu wa watoto wa kikatoleki nikiona hivi najawa na furaha zaidi tuzidi kufanya kazi ya Mungu🙏❤️❤️❤️❤️
Asante sana watoto kwa kumtukuza Mungu kwa Imani kuu jinsi hiyo. Kweli the innocence of a child is a beautiful thing to behold. Mungu awasaidie na kuendelea kuwaimarisha hao watoto mpaka hata uzeeni!❤
Mimi ni mlezi, nina furaha sana ya ajabu nikiwaangalia watoto wetu wanavyo Injilisha, kweli ni furaha kubwa Hongereni sana watoto wa Iringa na Walezi wote, wa Parokia zote Iringa Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri.
Mungu awabariki walimu wao makatekista pia mungu awalinde watoto wakue katika Imani ya kumjua mungu na yesu kristo awe muokozi wa maisha Yao tumsifu yesu kristooooo
wow! wow! wow! I am proud of these friends of Jesus. This is a very good formation. Thanks to the teachers for the great work and to the parents for allowing your children to participate in this. It is awesome. God bless you all
Hongera watoto na walimu wao, tuendelee kuwalea watoto wetu katika imani ya Kristo Yesu, itakayowasaidia kukataa dhambi, kumtumikia Mungu na mwisho kufika juu mbiguni.Amina
Kazi mzuri walimu na watoto pia Mungu awabariki 🙏🇰🇪 wakenya wakatoliki mko wapi tuweke like hapa 🔥🔥
❤❤❤
Hoyee
Utamu wa kuwa mkatoliki; asifiwe Yesu Kristo daima ❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera walimu wa watoto hawa kwa kazi nzuri, wazazi wabarikiwe kwa kuwapa watoto wao ruhusa, nanyi watoto mungu awabariki kwa kujitolea kwenu🎉
Kazi Safi sana...hongera walimu Na watoto
With love from.🇰🇪
For the love of the church " I subscribe" Catholic forever ❤
I can't regret being raised in a Catholic church and this where I was taught how to pray, believe n serving God.❤❤❤ 🙏🏾 🙌
Wakatoliki safiiiii. Walimu wa watoto mungu awazidishie neema na moyo wa majitoleo. Mmefanya vizuri sana
Hakika najivunia kuwa mlezi wa Utoto Mtakatifu, hii inafurahisha na inapendeza, walezi mjivunie kazi yenu ni nzuri,Roho Mtakatifu aendelee kuwaimarisha muwalee watoto kwa umahiri mkubwa,Mungu awaimarisbe ktk Utume wenu.
Mimi ni mchungaji lakini weee niseme nini kabisaa ninafuraha kwa hawa malaika wamejitoa kongore kwenu enyi waalimu wao❤❤❤❤❤❤
Hili ndilo kanisa moja na takatifu katoliki la mitume hongereni sana taifa la mungu.
Mimi siyio Mkatolic lakini machozi ya furaha yamenitoka. HONGERA sana walimu na Watoto wetu 🙏
See how cute they are,,,,, mama Mary please pray for them
Barikiwa saana
wapi likes ya hawa watoto❤
Wow kazi safi hii SI mchezo barikiweni pamoja na walimu wenu🙏🙏🙏 Mimi ni mwalimu wa watoto wa kikatoleki nikiona hivi najawa na furaha zaidi tuzidi kufanya kazi ya Mungu🙏❤️❤️❤️❤️
Hongera kwa hicho kipaji
Asante sana watoto kwa kumtukuza Mungu kwa Imani kuu jinsi hiyo. Kweli the innocence of a child is a beautiful thing to behold. Mungu awasaidie na kuendelea kuwaimarisha hao watoto mpaka hata uzeeni!❤
Nawapenda watoto pamoja na walimu wenu hongereni sana mmbarikiwe Mungu awatunze
Utoto mtakatifu Jimbo la Iringa ni wa kipekee Sana...mnanikumbusha mbali.😊
Hongereni watoto....Kipapa Iringa 🔥🔥
Wow this is Catholic church jmn najivunis sana kuwa mkatoliki ,najivunia sana waalimu hongereni sana kwa kazi nzuri sana
Hongereni mnoooo🎉🎉🎉🎉🎉enzi zangu hizo jmn memic sana❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Hongereni watoto na walimu kazi nzuri sana
Aminaaa... mmejua kutuinjilsha kweli ukatoliki Raha sana.
Hongereni sana
Nawaombea hiiiii furahaaaa iwafikiee watoto wote wa Tanzania bila kujali Imani🎉🎉🎉🙌
Iwafikie watoto wa dunia mzima.
Hongera sana watoto na Walimu.
Najivunia kuwa Mkatoliki.
Kanisa hai. Asanteni sana Mababa wetu kwa mpango mzima, asanteni waalimu wa watoto wetu na hongereni watoto wetu. Mungu awalinde daima.
What a performance, well done. May you be Blessed.
Hongereni sana Walimu na watoto. Jamani!! Kazi nzuri saana. With Love🇹🇿
Hongereni watoto kwa kutimiza sinodi ya kanisa yaani "umoja,ushilikiano na utume".....!
May God bless catholic church. proud of my faith. Wow beautiful
Alleluia Alleluia amen.wakatolika nabapenda sana. Bongela walimu wa watoto
Utoto mtakatifu wa iringa upo juu sana ❤❤❤❤❤
Hakika ukatoliki ni raha sana❤❤❤hongeren watoto wazuri
My goodness, they don't get tired. Bless them dear Lord
Glory to God so fantastic mbarikiwe sana brothered watzd
MUBARIKIWE SANA WATOTO WAZURI.🎉🎉🎉❤❤❤
Asante Yesu kwa malezi ya watoto hawa.mlee mtoto ktk njia bora nae hataiacha kamwe
🎉🎉❤❤ Mungu awabariki walimu na Watoto👏👏👏
Well organized ❤❤❤❤❤be blessed the teacher who trained them🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mjivunie kuwa wakatoliki, safii sanaaaaaa
Mimi ni mlezi, nina furaha sana ya ajabu nikiwaangalia watoto wetu wanavyo Injilisha, kweli ni furaha kubwa Hongereni sana watoto wa Iringa na Walezi wote, wa Parokia zote Iringa Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri.
Najivunia kua mkatoliki, Hongera sana Mwl mkufunzi, pia hongera sana watoto wetu Mungu awaongoze mkue katka Imani
Waoh!!!! I can't regret for being a Catholic. Hongera watoto na walimu wenu... great work and Joy as we celebrate Saint Joseph Allamano
Pongengezi ziwaendee walimu pamoja na walimu mm ni mkatoliki najivuniya watoto wetu mwenyezi mungu atutuziye hawa watoto wetu
Hongera sana Watoto wa Kipapa. Kanisa la Kisinodi..
Ubarikiwe sana mulezi wawa toto ndiyo raha ya kuwa mkatoriki
Mungu awabariki walimu wao makatekista pia mungu awalinde watoto wakue katika Imani ya kumjua mungu na yesu kristo awe muokozi wa maisha Yao tumsifu yesu kristooooo
Hongera watoto mpate kubarikiwa sana
❤❤❤hongera sana kazi nzuri sana hii ❤❤
Hongera watoto wetu nawaombea kwa Mungu awazidishie Imani dhabiti maishani wenu.
Mungu azidi kuwatunza na kuwabariki sanaaaa..mmenikumbusha shirika la kipapa❤❤❤
Mungu awabariki sana watoto wazuri
Wooow wooow congrats Mungu awazidishie nguvu ya kumtumikia watoto,,mmecheza smart sana 👏👏👏
Mwenyezi Mungu awabariki,Roho Mtakatifu ahendelehe ku kuza VIPAJI vyenu❤❤❤❤🎉 nawapenda sana watoto wanzuri
Asifiwe yesu kristu milele na milele Amina❤❤❤❤❤❤
Wow God bless you dear angels am in tears..... blessed be the name of the Lord forever...❤❤❤
Nawapenda sana watoto mi pia mwalimu wa watoto Hadi raha🎉🎉🎉
Hongereni sana watoto na walezi wenu nimelia kwa furaha kwa makuu ya Mungu niliyoyaona
Hongereni watoto mnanikumbusha ata mm nilikuwa utoto mtakatifu ❤ ❤❤❤❤❤mbarikiwe mnooo walimu pia
Utukufu kwa mungu juu.na amani duniani kwa watu wenye mapenzi mema.🙏🙏🙏🎉🎉🎉💕💕💕
Hongereni watoto wa iringa nimewapenda sana mbarikiwe.
Pongezi nyingi watoto na walimu kwa kutuenjilisha kwa nyimbo safiii🎉🎉❤
Watoto wamecheza vizuri jamani hongera kwako mwalimu wao💕💕
Hongerani sana watoto najivunia kuwa mkatoliki
Mungu awabariki watoto wetu, amina❤
What a great performance! This makes the church more lively.
Pongezi walimu na watoto Mungu awapaliki mwendelee mbele msiluti nyuma ❤❤🎉🎉🎉🎉
Najivunia kuwa mkatoric ❤
Pure spirits ♥️, Singing/dancing from their 💕 !!
God bless you and keep you, protect all kids from all evil and all danger!!
ewaaaaaaa mmefurahiii mno mnooo huyu mwalim wao kiboko
Waoh such a wonderful job congratulations to this little Engels and their animators this is so great.. ❤
Watoto wa katoliki hongereni sanaa Mungu tunza watoto kipapa duniani
wow! wow! wow! I am proud of these friends of Jesus. This is a very good formation.
Thanks to the teachers for the great work and to the parents for allowing your children to participate in this. It is awesome. God bless you all
Hongereni Taifa la kesho mmetuinjilisha vizuri sana. Nimewapendaaaaaa
Unakosaje hondo huu kanisa katoriki nguzo mara hekalu la bwana❤🎉
Through revelation anything I do write down is fulfilled Thank you God for what you have done and what you haven't done.Forwardeve Backward never
I really love kipapa jaman hongerin meimba vzur
Watching from Kenya soo encouraging 🙏🙏
Hongereni sana watoto wazuri
Mko vizuri sana huko Iringa.
Ninawashukuru sana kutoka Musoma
Safiii sana!Waache watoto wote waje kwangu🙏🙏🙏
Hongereni sana watoto na waalimu wao🎉🎉🎉❤❤
Mungu awabariki watoto wetu
Hongera sana Iringa ya mtwa mkwawa kamwenee
Najivunia kua mkatoliki❤❤
Very beautiful God bless you all of dancing, praising him
Halleluja, bwana Yesu asifiwe sanaa.
Hongereni saana walimu wa Utoto
Nimefurahi hongereni sana mliowaandaa hao watt
Hongereni sana mko vizuri ujmbe umefika.Asanteni sana.
Napenda catholic daima🙏🙏❤❤ mungu bariki watume wote 🙏🙏
Hongera nimewapenda hongera sana kwa mwalimu wao kafanya kazi
Hongera sana watoto wa shirika la kipapa amina
Forever a Catholic, beautiful God bless our young ones, it's amazing.
Good work walimu🎉🎉
Asante Mungu kwa zawadi ya imani katoriki. Hongereni na kongore watoto wa kipapa
Wooow this was so wonderful🔥🔥🔥🇰🇪
Teachers thank you very much
Waooo. Hadi machozi ya furaha yamenitoka. Mimi ni mkatoliki najivunia ukatoliki wangu
Good Malika's, God loves you all.
Asante walimu Asante katoliki❤
Yaani nimejawa na furaha sana hongereni sana walimu kwa KAZI nzuri mnayo ifanya mpaka watoto wanafikia kufanya vizuri sana
Hongera watoto na walimu wao, tuendelee kuwalea watoto wetu katika imani ya Kristo Yesu, itakayowasaidia kukataa dhambi, kumtumikia Mungu na mwisho kufika juu mbiguni.Amina
Wow!the kids look soo beautiful. Weldone and keep it up children and teachers!😊
Kazi safi watoto wetu.Mungu awabariki sana pamoja na walimu wenu. Najivunia kuwa mkatoliki.