Msichana wa umri wa miaka 22 akiri kumuua nyanyake eneo la Githunguri, Kiambu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2021
- Msichana wa miaka 22 Mercy Wangari aliyehusishwa na mauaji ya nyanyake katika eneo la Githunguri mwaka jana sasa amekiri kumuua nyanyake akiwaeleza maafisa wa uchunguzi kina ubaga namna alivyokatiza maisha yake. Wangari amewaambia polisi matukio ya kabla na baada ya kumuua nyanyake Beatrice Wangare Karanja nyumbani kwao Githunguri
People should know that everything on earth will come to pass but, but, the word of God will stand. If I don’t get inheritance it’s ok with me!
Kabisa
Exactly
True but also one should think on how to search for theirs too!
@@nelsonkiiru7252, I totally agreed with you!
Stop with this kind of reports coz all you are doing is insighting subconsciously!! Stop it! Stop it! Stop it!!!!! Trust me stop it!
I'm a Journalism student and I can tell you that is how Kenyan Media Works, They like reporting only on traumatic things.
@Inkalimeva TV regardless of whether it's a man or woman doing it! My point is the narrative being created is dangerous for the society!! Don't allow your ignorance dictate your thought process because you come out stupid! Sorry to say!
Mashirima your reporting is top notch!
Shukran 😊
Mashirima is my number one reporter and news anchor.keep up mashirima
Watu wa kiambu whats happening 🤔
Does she even know the meaning of love surely? I loved my Shosho kweli.. Ntk.!
Kiambu needs prayer and intercession.
So 22 has now become the new it in kiambu or what
Seems like it
I think the prophecies are coming to pass....Repent repent let's not cease praying and God will see us through
Kiambu needs prayer 🙏🙏🙏🙏
For sure💔
Sure
She doesn’t even look 22 yrs she looks old
You got it right
You nailed it
She's not 22
@Ndirangu 🥱🥱🥱🤭🤭🤭
@Ndirangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkistaajabu ya muranga mutayaona ya kiambu,,
🤦♀️🤦♀️🤦♀️
Ndio hiyo sasa bt imezid 😭
😎😎So sad aki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Laana umeachiwa dada, you will regret. Kizazi chako kimepata laana, justice for that cucu
But hata zaa si atafungwa maisha
but God forgive and forget
Kwa kiambu iko na shida gani kila saa kiambu
Watoto WA kiambu mtatuonyesha mambo huu mwaka
Sijui Huwa Mnapata Wapi Ujasiri Huu Wa Kuua.
Justice for shosh please
True justice for cucu
Laana imemutosha ata asipo uliwa haezi ishi na amani damu ya mtu haipotei bure
@@mumblessed001
True
@@mumblessed001 kabisa
Am also planning something
Hii ndio mwaka walisema restoration🤷♀️🤷♀️ mungu tuonekanie
Baba yako c ako na mikono miwili angetafuta zake , cucu alifanya kazi ngumu kutafuta hii mali sasa hamtapata
Nowadays watu hawataki kuchoka wanaona Hawa wazazi wamekaa hii ndunia Sana na the best thing to do to them ni kuwashughulikia haraka so that they inherit them but they should remember if your parent has not blessed you even if you take her wealth hutakaa na amani coz itakukula pia wewe
Exactly it will not multiply because ni haramu ata mbele ya Mungu
The grandmother explained her frustrations with the son to her out of what she believed was love for her granddaughter. The girl did what she did because she believed she was her 'daddy's daughter'. But did she stop to think that despite the wedge, when it matters most that the father is also 'his mother's son'. I'm sure the man mourned for his mother regardless of what they felt for each other.
Afungwe maisha
Kiambu iko na nini🤔🤔🤔
?? Ata wanjiru GP na Jeremy niwa kiambu 🤔
Ni mademoni.
Uko nkumoto si kwa ubaya siwezi kukuoa tulikua tunaskuma time sitaki kufah sai 🙌🙌🙌🙌,
You can vividly see the Cain's clan in Kiambu. Cain's relatives dwells Kiambu. Tumeelewana wenzangu?
True 100%.
"Not only cain´s clan but the boss lucifer! idont want to rule out that he made a stop over there before he was finally deported to the earth!! This i what we call "Laana ya shaba in some part of the republic!!
Oh yeah?! What happened to Cain roaming the earth? What made him get stuck in Kīambu? Nichanue jameni.
@@elizabethnganga Hahahahaaaaaa Cain got stuck in Kiambu coz he discovered that over 70% of Kiambu residents are lovers of money n the love of money is the root of all evil the Bible says sister. When the desire of money supercedes in ones spirit, nothing can deter that person from getting money even if it costs someone's life. That's the bottomline
Mungu atuonekanie
Congratulations detective jane
Kiambu kwina mbuu
Wazazi pelekeni watoto,, CHURCH
Hii ages 22 what's up with u??
muranga no mjei
Mercy mercy why 😢😢 pls usimwite mercy muiite jina lengine
Who between was involved, The 22 girl or other Man, I don't know if he's her grandfather
Jamani hapa kuna shida...eeh Mungu tusaidie
Waaa
Hawako pekee kiambu n hivo hivo 22years why this aki
This girl has watched too many csi episodes given that she even planned on how to cover up her tracks
Afrocinema NIGERIA moves ina changia uhalifu mwingi kwa jamii na familia nyinyi kusambaratika angalia wale walio bahatika kuona cinema ya kina MZEE PEMBEE, JUHA KALULU na mzee KAJWANG wengi wao wako na busara na hekima
She actually succeeded. If the investigations didn't lead back to her father, something she hadn't processed, she could have come out clean.
When Ezekiel Mutua thinks of banning these western movies, he is accused of discouraging talent and artistic freedom. Well here are the consequences.
Kiambu Kiambu
Pepo mchafu hiyo shindwe in Jesus name
Waaaaa mara laurane kauwa wazazi mara mercy kauwa nyanya waaa kiambu pleople ombeni sana
Kiambuu tena
The reporter is leading this like poem
kiambu mmekua wauaji
Kiambu kuna shida
God have mercy shetani ametawala kweli
This is too much .watu wa kiabuu mnataka maombi.
Yani ukiwa kiambu na uko na mali ujue huna bahati ukae rada😂😂😂😂
😂😂😂😂 Exactly
Let’s change Kiambu to Kiawega
Kiangemi
Kana Kîamitheko. My Kiambu has been a nasty place for decades. Proximity to the capital has a lot to do with it.
@@kennygee5958 I used to be of the same opinion too. But Nairobi is surrounded by other counties too - Kajiado and Machakos. Their proximity to Nairobi hasn't had the same impact on them. Some have suggested that Kiambu was historically a place of much pain and wailing! Too much mauti long before the advent of colonialism. That the pain and wailing is written in the name. Deep prayers and repentance are needed to break the "murder and wailing" curse already coded in the genes. And that evil spirit appears to peak at the age of 22 years.
@@georgeodhiambo598 I have to agree with you on this ,as a Kiambuan. In my own family, there's murders and suicides going back to when Nairobi was a swampy grazing ground for Masais.
@@kennygee5958 Yeah. I picked some of those "place of pain and wailing" stories from a Kiambu friend of mine
At 22 our kiambu kids what's happening?
Very interesting! Some unknown force appears to overcome 22 year olds of Kiambu! Certainly prayers are needed for Kiambu in general, but in particular 22 year olds!
Wololo😭😭
Penina the grace I watched your videos are you back home? Welcome my dear waambie hawa watu vile kutafuta pesa ni ngumu
Dear world....when u have a lazy son or daughter with their own families ..let them stay far away from you.....and regarding inheritance kila mtu atafute mali .zake ...enough of this greed.....
🤔
Inherit ndio uuwe mtu dunia haibebwi na kichwa sasa nyanya alikufa nawe unaishia gerezani nkt
Am not tribal but why are these killing scenes coming from central?
You are tribal.. Kwani hujaona kabila zingine zikuana
It's only that they are reporting deaths from that region but people are dying everywhere.
Tena mtasema ni cinema ya killing the eve?hawa wamezidi pia hao wauwawe
Hiyo story ya cinema ya killing the eve was just an excuse. Kuna pepo mbaya blowing across Kiambu county. It is time to turn to God.
@@georgeodhiambo598 correct
Kiambu si mbadilishe tu jina haki tuone kama kutatulia kiambu nikumaanisha kuna duru🤔🤔 Sasa ona duru kila wakati
I propose Kiawega
Good one,,this place need to rename
Ward change the place
22???? Ak ata naogopa kufikisha kesho,,,juu iyo stage haileti shangwe
Aki magumu sana
Kwanini afanye hivyo nae pia auliwe...
KIAMBU,MURANGA NA SASA PIA KIRINYAGA KULE GICHUGU SIDE KUMEKUWA KUUA WATU WA FAMILIA NI KANA KUNYWA MAJI HAINA HATA KUFIKIRIA.
WATU WANGU MLIANI JARIBUNI MUWACHE UUAJI HOVYO HOVYO KWANI LAANA ITAONGEZEKA KWENU NA WAOTE WATAANGAMIA
Muranga no wira tu,but kiambu kunahitaji maonbi sana
😳😳😳😳😳😳woi
Who the devil is in this young generation😲😲😲😲😲
Kiambu wamezidi nao kwa mauaji
KIambu siku hizi sisi ni headline hitters on all the wrong things
Yaani .watu wakuwa malakul mauti jamani .mpaka wanawake roho zimebadilika .mungu tustitiri kwani n makubwa yajayo
Huyo msichana namuelewa kuna shushu wambya km mm kuna wakati nlikua naskia kuua mwenye amezaa mama roho ingne ikaniambia tulia na nkasema kwake sitawai enda 20yrs ss
cucu wengine ni wapumbavu
Hii ni to much 😭😭
Kiambu and age 22 tuna kamkutano...
22 years??
😪😪😪😪
Huyu anakaa mzee ndio mnasema at n mtu 22yrs
Heee rada n gani skuizi izi killings jooo
Hii kiambu kwani iko na murdervirus jeso
Washosho wana kaa wa repent mimi pia bwana wangu niwa githunguri na ana teseka sana.
What do you mean wasosho wanaka????bwana yako anateseka wacha aenda akatafute Mali yake nkt .....
.
Na huyu mchisana ako na afia juli ya kia kili kweli ??.....
Nyanza siraisi mtu auwe juu tunaogopa hata Western pia,sikuya mazishi kenye wana fanyia maiti inatengenezwa
Mad woman.
Watu SKU izi wanacopy warunge
This is b4 warunge
This case is older than Warunge's. Only investigations took longer, because it was less obvious. None copied the other. There is just some invisible "pepo mbaya" blowing across Kiambu county. Even Matiang'i can't be of much help. Spiritual warfare is called for. Solution ni maombi and deep repentance.
And karma is a bitch
Ngai baba turoreteku😭😭😭😭
From killing spouses to parents.
Hawa watu imekuwa mazoea kuua wenzao since time immemorial