YAJUE MAGEREZA YA KIROHO ILI UFANIKIWE KATIKA MAOMBI YAKO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
- #HaleluyaTv #ProphetRolinga #OmegaMinistriesChurchofAllNations #OCOAN
Kuendelea kupata Shuhuda mbalimbali na Maneno zaidi, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:-
Facebook : / prophetrolinga
Instagram : / prophetrolinga
TH-cam : / haleluyatv
Audiomack : audiomack.com/...
🙏🙏🙏👏 Haleluya Haleluya ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu nabarikiwa sana na huduma yako Prophet 🙏🙏✝️✝️
Asante Mtumishi wa Mungu 🙏 kwa neno lako kuu takatifu na lenye kumpendeza Mungu baba nakushukuru kwa hiki kitakatifu baba naomba maombezi yako unifungue katika hivi vifungo pia Mungu 🙏 akubaliki na kukutunza asante baba mtumishi amen
Imenigusa sana hii Kama unaniongelea Mimi Mtumishi wa Mungu aliye hai katika jina la Yesu Kristo, napokea kwa jina la Yesu Kristo
Ameeeen prophet Rolinga wamehiba ndoa zetu tunahabgahika atutulihi kwa ndoa Baraka zetu vile umenena tumefunguliwa
Amen mtumishi barikiwa sana
Amen mtumishi niombee mm na ukoo wangu tutoke ktk gereza la uzizi
Asante baba kwakunitowa mumagereza yakira modere miye na familiya yangu yote nakutupatiya uhuru mukira kitu mumaisha yetu amen
Niondoe kwenye gereza la umaskini, Fungua maisha yangu, ondoa watoto wangu kenye gereza la kuto fanya Vyema shuleni
Neno la Mungu ni nyundo💪Ubarikiwe sana mtumishi.
Amen Amen natoka kwa hiyo gereza katika jina LA Yesu
Through watching you from TH-cam, my life will change in Jesus mighty name 🙏
Precious holy spirit of God help me to pray so that see spiritually the problems I have
Jesus I trust in you. Ahsante Nabii wa Bwana.
Yes nimefunguliwa kutoka kwa Gereza la poverty kwa jina la yesu. Connecting from Mombasa Kenya
I'm delivered in Jesus name.Thank you for the message.
Ahsante Bwana yesu
Ahsante Roho mtakatifu
Hoo my God very touching message I receive freedom In my life in Jesus name
Lazima nirudishiwe vyangu vyote nilivyo nyanganya mujina la YESU KRISTU amen
Amen mahali popote nilipoibiwa ninarudisha in Jesus name
Natoka kwenye Gereza kwa Jina la Yesu mimi na watoto wangu mume wangu na familia yangu KWA JINA LA YESU
I receive freedom from now on in mighty name of Jesus
Mungu nawatoa watoto wangu wote katika vifngo na magerezani In night name of Jesus Christ
Powerful message!! Dear Lord protect my Son's, in Jesus name.
I RECEIVE FREEDOM ME AND MY SISTERS AND BROTHERS AMEEEEN
Asante mtumishi kwamaombi.Nimeibiwa kweli
Ndio, short msg but powerful. Nashangaa... powerful really.
Baba Niombee maisha yangu ibadilike
Mungu fungua maisha yangu 🙏
Wow,nifuguliwe Leo in Jesus name,connecting from kenya
I receive my freedom in the name of Jesus christ Amen
This is fire. Am blessed.
Amen. Mahubiri yenye baraka kwangu. Kumbukumbu na nyota yangu mtoto/uzao wangu uliomo iliyoibiwa narundisha kwa jina la Yesu. Mtumishi wa mungu nikumbuke katika maombi Mimi na mtoto wangu.
The blood of Jesus set me free....more grace servant of God
Yani mungu Acha aitwe mungu nilikuwa na usingizi wa ajabu ghalfa usingizi topu Ila nipo TH-cam namtizama omega uwezi amini ghalfa usingizi hata ulipo potelea sijuwi mkavu macho na usingizi haupo nilipolimsikiliza nabii omega mashalah mungu uweke uyu nabii
May God continue empowering you
Hallelujah hallelujah asante Mtumishi
Amen, chochote kilichoibiwa kinarejeshwa katika jina la Yesu.
Ee Mungu mwenye huruma rehemu nafsi yangu 😭😭🙏🏽💕
Eeeh Mungu nirejesheee nyota yangu baba
Watoto wangu Baraka saho sime hibiwa moja amesoma amepita kupata college or kasi vigumu Leo hi kupitiya kunywa chako prophet Rolinga wamefunguliwa
Amen! Nimekuwa mfungwa mwenye vifungo vingi ktk gereza la shetani, lkn leo kwa neno hili nimekuwa huru
Amen God remember my family
Me and my children, my family we received freedom in Jesus Christ Name
Hakika mtumishi leo nimetolewa kutoka gerezani ktk vifungo vya kushindwa ktk kufanya vyema ktk masomo na mitihani yangu, amina ,amina ,amina
Man of God pray for me to be remembered like nosephnitolewe kwa Gere za kwa jinala jesu
Amen 🙏 mtumishi wa Mungu,, niombee na mimi na Familia yangu tufunguliwe 🙏🙏
Thanks so much man of God I received freedom for God am free now
Amen .God give the power to break those chain and the light shine upon me forever.
Amen and I received freedom
Nimepokeya upoyaji kwa mwili wangu , aaaaaamen,from Kenya
Kazi ya mungu ikarudishwe
I connect with this annointing in Jesus Name! Amen!
Amen baba🏘
Hallelujah ni wakati wakutoka kwenye majereza
Mume wangu amefunguliwa kutoka gereza la Covid 19 ktk jina la Yesu
Kwa jina la yesu christo lazima turundishiwe
I connect my family to this alter Free my family in Jesus mighty name I command my freedom in the name of Jesus Christ
Powerful teachings
Amen 🔥🔥
Yes Sir🙏🙏
Amen Amen Glory to Jesus am Free and blessed
Ameeeeeen 🙏🎷📯🔥
I receive it in might name of Jesus christ
Man of God pray for me chochote kimeibiwe kikarudishe kwa jina la jesu
Ameeen nimepokea mjujiza wangu,hooooo yes
Amen nitie Nuru
Let my life be full of light in Jesus name
Thank you Jesus chochote nilicho ibiwa kinarudishwa
I know I was locked .but thanks man of God I feel free.be blessed
Ameeen
Amen Amen
This is powerfull be blessed man of God.
Amen 🙏🏻
Amina baba
Amen am restored in the mighty name of Jesus
Natoka kwenye kila gereza lililonishikilia Mimi na familia yangu yesu nisaidie
Pst may bless you may almighty God delivers me and y families
It was powerful
Eeeh Mungu nitoe kwa gereza la kukataliwa, gereza la giza, gereza la stagnation gereza la umaskini in Jesus Name
Blessed God servant
Eeeeh Mungu baba nifungue kwa gereza la kukataliwa , gereza la giza, gereza la stagnant in Jesus Name
Amen man of GOD
Powerful God fungua maisha yetu Jehovah
Free dom in jesus name a🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina baba yangu mpedwa 👍🙏❤
Ameen Ameen
I receive it in the MIGHTY name of JESUS CHRIST
Gereza la binti yangu kutopandishwa daraja na kupata mwenza ĺeo ndiyo mwisho kwa jina la YESU
Ameen
Amen let there be light in my life
Nitoe Yesu
Amen and Amen I receive.
I receive freedom in Jesus name🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Kutokujua una tatizo ni tatizo kubwa sana kuliko tatizo ulilo nalo. Kweli kabisa Nabii
Napokea kwa jina la Baba
Im restored in Jesus Christ Name
Ndoa yangu iwe Nuru, nalejesha Mume wangu
Following from Kenya
Àmen
Amen
Me and my family we are free and delivered from prison in Jesus Christ Name
My life will be restored IN THE ALMIGHTY NAME OF JESUS CHRIST 🙏🙏
Lord you have been greatfu,,l this teaching has made me recall of your goodness..Still trusting in you for more deliverance . God bless you for this informative and eye opening teachings
Amina
I RECEIVE it
Ubalikiwe mchungaji wangu wa mda wote
Niondolee aibu baba, niondolee Roho ya uchawi Roho ya ugonjwa
napokea nuru kwa pesa ya gari yangu kcu 965 A kwa Nina LA yesu