Ulikotoka na ulipo fikia kwenye ngoma hii uko vizuri. Chamsingi kaza kama ndo unaanza utakuwa mkali ikwenye kuimba na video queen. natamani ata niwemshauri wako kwajinsi ulivyo tamba katika ngoma hii. Hongera Amber
Amba lulu anze kujiheshimu ili uendelee na mziki.wewe ni msanii mzuri na unajua sana.Fanya mziki utakuweka mahali pazuri.Tafuta collabo Kenya na utakuwa juu tu saana.Love you Amba
kwake Ngoma nimeipenda yani duh iko fireeeeeeeeee noma sana kaza Buti mamaaaa tena sana Ngoma bila chupi iko poa achana Na wanao jidhalilisha kwa kuonesha uchi wao nasikiliza nkiwa Dubai UAE,abudhabi
licha ya ngoma kua kali what special kwako is your voice na uwezo ulio nao wa kujituma na kujikubali nakuona sehem flani hivi baada ya miaka 2 so keep it up! this song is so awesome who is with me gys?
Huyu dada mshenzi sana,kanizulumu pesa yangu ya uber,nimemtoa masaki kwenda kinondoni nimemzungusha mwisho wa siku ananitoloka bila ata kunilipa, yaan wewe amber lulu unazalau sana kazi za wenzio. Hainan noma
wossup furaha sifa...am a kenyan rnb/pop singer and since you from chicago....kindly subscribe to my youtube channel...i need fans from there too,,,soo tell all ya friends to subscribe...kindly sifa
Tunayoisikia hii nyimbo 2024 gonga like
Tuliokuja baada ya interview ya mama zuri
💯💯💯💯
Wangapi wana skia huu wimbo 2024😅❤
Nani anasikiliza from June 2024💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿 jini kisirani 👌
Tunao skia huu wimb 2023 tujuwane ❤
Hahahaha 🤣😂😂
Tunaosikiliza huu wimbo 2024 tujuane hapa❤❤
Nani bado anaisikiliza hii 2024😊😊
Mimihapa
Mimi
@@AishaAli-c4l safiiii karibu sanaa
@@BlessingIma-v9u safiii hongeraa
Wanao sikiliza 2025 gonga like hapa
Kama ww ni fala hutoipenda wimbo huu basi kaza mavi yako # jini kisirani lv u amber lulu best girl ni tz wowwww kama mshabiki kama mm like and comment
Kama ndio Mala yako ya kwanza kuangalia hii video 👍
Hawa wadada nawapenda Sana Amber Lulu pamoja na Gift mapesa aka Giggy money🇰🇪🇰🇪🇰🇪💋❤️
Lulu don't give up hata kina diamond walianza hivi hivi so dear utafika mbali Kwa uwezo wa mungu good song amazing voice love you lulu
Achana namiiii jyn kiss rany😈 💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Ulikotoka na ulipo fikia kwenye ngoma hii uko vizuri. Chamsingi kaza kama ndo unaanza utakuwa mkali ikwenye kuimba na video queen. natamani ata niwemshauri wako kwajinsi ulivyo tamba katika ngoma hii. Hongera Amber
Hii ndo ngoma Kali sana kwa Amber lulu, haya ni maoni yangu.
Kugombana na mm bado"salute saaana 💪💪💪
duhhu umber lulu we mkalii pamoja sana
Hii nyimbo haiishi hamu nairudia kila wakati 👏👏👏👏👏👍
Yan hii nyimbo hata siwez kuchoka kuisikiliza...Love you amber Lulu keep going 😍😍
same here the song is highly addictive
Me tooo
Hahahaha kwaiyo huchoki kwel
Hamisa mobeto alinifanya nikajua huu wimbo, such a nice song indeed 😍😍😍👌
Hii nyimbo mi naipenda sn kha Amber lulu kaimbaa wa c masighara wallah
Jini kisirani uko juu Amber Lulu kwa hiyi umetisha sana
Ngoma nzuli sana lulu safi sana
Wimbo huu nasikiliza ad Leo mara sitasita yan naipenda ad bhac asa unapoimba kugombana na mim Bado na kuendelea yan amber lulu we fire
This song z fire. I like her bcoz she admires herself ñ that z habit of most short women like I💋
nimekubaliiii saaaana arifuuuuuuu.
I'm on dat #month.AprlDaaahhh #kweri Jini kisirani #2021. Aseee like hapa tufahamiene Jini vijini kisirani.
Kgombana na mimi bado naona kama unanuka papa bado facebook twitter huzijui bado ata insta live huijui bado 👌👌👌
Amba lulu anze kujiheshimu ili uendelee na mziki.wewe ni msanii mzuri na unajua sana.Fanya mziki utakuweka mahali pazuri.Tafuta collabo Kenya na utakuwa juu tu saana.Love you Amba
safi sana my dear
This woman is doing well this days,I'm always watching this video that is why I'm in love with the song.
Ingoma aichuji atali sana lulu gonga like hapa kama unamini ilo
Amberlulu ushauriiii wangu tu saiv piga collable na diamond maana wote nyinyi kwa tz ni balaaaaa
Huyu demu atatoboa sana kwenye huu muzik,me sijawah kuona wimbo mbaya kwake....
kabsa hana nyimbo mbaya atafka mbali
Kweli aseee
amber nimekupenda kweli my dda nice song dr
This is EXACTLY What i call the POWER OF MUSIC. 👊👊👊
Nice artwork this song has reminded me Nyota ndogo song watu na viatu. Nice job lady Amber
Mashonga wananda hii inawahusu ama kweli jini kisirani kama unaikubali ngoma like hapa tujuane team jini kisirani.
namkubali sana huyu dada
diva rechol naipenda sana hii
😂😂😂😂Teamjinikisirani😂😂😂😂😂😂
Kna watuu; kma hao duuu mia
Mh
uu wimbo nilikua naupendega bali nilikua cjue kama kaimba uyu mwanamke ..... big up 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Baada ya CORONA Nani anaangalia♥️ tujuane hapa👇
Nipo
NA WOTCH KWA TV HASWA NIME CONNECT🇨🇿
@@fekechezidg2036 qaç
Corona yenyewe jini kisirani
Nipo
Kipaji unacho sema umezidisha kujirahisisha sana ...tulia amber Fanya mziki kipaji unacho
Nani mwingine kaurudia kuanagalia km .. Mm 🔥 🔥
bary Tz mm
umetisha Amber Lulu good song
Imetsha
Iko juu mbayaa
mimi hapa nimeirudia mara nne
😅😅
2925 tujuane ❤❤
Love her energy 😭❤️ ever since 8th
kwake Ngoma nimeipenda yani duh iko fireeeeeeeeee noma sana kaza Buti mamaaaa tena sana Ngoma bila chupi iko poa achana Na wanao jidhalilisha kwa kuonesha uchi wao
nasikiliza nkiwa Dubai UAE,abudhabi
Omg the first time I listened to song I loved it so much. I LOVE AMBER LULU. Her hair is gorgeous . I love pink. Ambers voice is outstanding.
amberlulu we ni mkali ile mbaya sema wekeza kwenye mziki utatusua sana 💓🎶
Umeua mama you always makes me proud of you since nimesikia naiee remix
Amber lulu unajua nyimbo zako zote nzur kaza mwendo utafika!
Amber Lulu....Kenya we love mwanzo mm .... haters nyinyi n majini kisirani....# jini kisirani ....😍😍
Súcilizuii
amber lulu big up xn....yaan sichoki kusikiliza nyimbo zako.......mambo ni fire
I just love ur personality amber😍😘😘
Hata human hair hujui bei yake bado na unataka kushindana na Mimi.....love you Amber Lulu 🇰🇪
Yan hii Kali🔥🔥🔥🔥🔥
Dada yangu big sanaa kwa nyimbo nzuri sanaa unajuwa kabisa...
Who is here to day fireeeeeee
Nakama bifu nimebobea atauende kuroga weh kuna maneno unaongea kumbe una nguvu za soda woooow amba lulu big up oyooooooo mupoooo wadau vp
Am in love with the song, enjoying from 🥰🇰🇪
Video nzuli kweli bila dowa na vile vi nusu uchi Kila mara kumbe Mzee bagu na basta ndo dawa ya wakaa uchi wa 🇹🇿 Awiiiii🗣️🎙️
nice song
ckuiz kuna majini visiran weng sana na yawapande👌👌👌
Good job lulu ❤❤❤❤❤❤💕👌🙏
ujawahi kukosea amber lulu, your so mwaaaaaaaaaaaaa
Mummy..hii ni kali.kaza utafika mbali"wishing you the best
2021 still appreciate this song 🔥 amberlulu you're so amazing
Tamu sanaaa
Haichoshi yaaani inahit kila siku
Pa 1
Ebhanaeee Ngoma imetulia sana itawagusa wote majini visilan pga kaz dada
Ngoma Kali Kama umepanda Bei gonga like twende sawa mwaka huu 2020
Diana Elieza nimetizama leo hii 10/3/2020 LuLu aimba hivi siku zote angekuwa mbali sana 😘
@diana elieza mimiii ila sioni kwenye mdundoo.com naomba audio
Me pia naungana na ww dr
@@grandeemalisa8329 nenda audiomack
2021🤗
Dada liimba kweli kabisa 🔥🔥🔥🔥🔥
Yaan Amber mziki wako mzuri,,,,mhimu jitahid kurejebisha tu zle skendo mbaya zle naamini wee ni msanii mkubwa sana tu mara 40 ya Giggy
Hi nyimbo kilA siku pake niisikize,naipenda ajabu nyimbo Kali,kazi nzuri hongera mno
Nice sis
Kwanza unanionaje kilasiku napanda bei Amber Lulu hinyimbo kila siku napenda kuisikiliza nakuiyona unaweza sana Mungu akuongoze
ni nomaaaaaaaaaa...mambo ni hivi 💣🔥🔥🔥🔥
hapo sawa nyimbo tamu Sana c lazima uoneshe uchi ndio nyimbo itoke hapo sawa Amber Lulu
big up 💓🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My favourite ❤artist
Kwanza unanionajeeeee
kila SKU me ninapanda beiiiiooo 💞💞💞
pendezaaaa sana ktk hiii song 😙😙😙😙😙😙😙😙free
Safi mzma
Jichunge usifwate zangu nyayo... ukifwata zangu nyayo utapiga sana miayo🙌💥
Jini kisirani🔥🔥🔥...
Kaza utafika mbali....254 Weka like hapa 💕💕💕
penda sana amber lul
am the first one to like...have a request kindly subscribe to my youtube channel...lit video is coming with lit chareograpy...am an rnb singer
so cool beats ,n if she seriously for sure she will be far,n her crazy style was so cool, lezz go
Ilishi Ramzah hahaa nishaweka
Amber lulu umetisha my dada
Kwa wanawake WA bongo unawafunika sanaaa mdada wangu WA ukweeee
Jini kisirani💣💣
Tunao ikubali iyi ngoma adi 2021 tujuane 🔥🔥🔥🔥
I miss Bambi aka Leah Dubz.. She loved this song... Wangari wherever you are nakupenda sana
licha ya ngoma kua kali what special kwako is your voice na uwezo ulio nao wa kujituma na kujikubali nakuona sehem flani hivi baada ya miaka 2 so keep it up!
this song is so awesome who is with me gys?
Kawimbo katam Amber umetishaa unamzd Gigi money we Ni zaid ya 🔥🔥🔥
yupo vyema
kawimbo kazri mrembo jitahdi🎊🎊🎊
Wimbo mtani but mfupi mzur
dah umetishaaa mama Leo nimehindanayo hiii ngoma nasikiliza
Congrats unajua😘😘😘
One of the best singer on the planet. Keep up the good work.
Amber unajua snaaaaaa
Huyu dada mshenzi sana,kanizulumu pesa yangu ya uber,nimemtoa masaki kwenda kinondoni nimemzungusha mwisho wa siku ananitoloka bila ata kunilipa, yaan wewe amber lulu unazalau sana kazi za wenzio. Hainan noma
Yes yes yes Nice i like senegal 🇸🇳
Nimependa huu mziki sana. Big up amber. Silali bila kuusikiza huu mziki. Jini kisirani
Yaani hii ngoma naisikiliza Mara kumi kwa siku
Tunataka ngoma mpya nyngne kali Amber lulu mbna unachelewa aseeeee
What......... yani bado sijaamini ninacho kionaaaaa Big up sana dada lulu.. bonge la ngoma.... listening from Chicago USA 🇺🇸 nakupenda bureeeeeee
big up
wossup furaha sifa...am a kenyan rnb/pop singer and since you from chicago....kindly subscribe to my youtube channel...i need fans from there too,,,soo tell all ya friends to subscribe...kindly sifa
poa kaka tuku pamoja
nzuriii
Furaha Sifa hatar snaa
Wallah kaz wimbo umenkosha sana unangoma kal upo vzur sana yan mud wot nitaiskiliza hii ngoma
I don't understand the lyrics but yananipandaaa 💃💃💃💃💃💃💃💃
Mimi ni mkongomani drc ..so Amber Lulu ni Star mkubwa..so love end i apreciate the song
nimependa nyimbo na pia mwenyewe
unapenda jinadi....... kujikuta unajua kumbe mamb bado...... achana na mi mwenzio long time mpk leo gabo keep it!!!!!!
sweet and lovely...gonga like
Kama umeikubali gonga like
ase leo nimemuona waz waz jini kisarani daaaah!safi sanaaa nice song
In love with this song,i listen to it everyday.Much love lulu
Amber I just appreciate ur work naamini utafika mbali nakubali we mkali wengine kibatari unapepea