Sababu moja kuu nywele zako hazikui

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 19

  • @omaryabdy1784
    @omaryabdy1784 2 ปีที่แล้ว +1

    Yangu ina chelewa sana

  • @zabibually3100
    @zabibually3100 3 ปีที่แล้ว +1

    💞💞💞

  • @maryvomo4217
    @maryvomo4217 2 ปีที่แล้ว +1

    Sijafanya utafit kwani niliamua kunyoa ,unaweza kuniambia kwa makundi hayo matatu ili nikikuta Niko wapi nitumie,asante

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  2 ปีที่แล้ว

      Ukiziosha ziangalie, kama zinawahi kuloa na kukauka basi ni high porosity, kama zinachelewa ni low porosity

    • @chedielmjema9921
      @chedielmjema9921 2 ปีที่แล้ว

      naomba no yak

  • @rahabujoram313
    @rahabujoram313 2 ปีที่แล้ว +1

    Zangu ni high porosity!je waweza kunisaidia kufahamu protein treatment natural za( home made)

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  2 ปีที่แล้ว

      Treatment nyingi za homemade/diy ni protein treatment darling.
      Mfano ya parachichi, asali na yai

    • @rahabujoram313
      @rahabujoram313 2 ปีที่แล้ว

      asante

  • @rjsbeautycare
    @rjsbeautycare  3 ปีที่แล้ว +1

    umeshajua porosity ya nywele zako?

    • @mwakaghali8536
      @mwakaghali8536 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa kupitia SoMo hili nimefahamu Sasa, lakin hapo awali nilikuwa simfaham hii kitu, thanks madame and be blessed

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  3 ปีที่แล้ว

      @@mwakaghali8536 karibu

  • @maryvomo4217
    @maryvomo4217 2 ปีที่แล้ว +1

    Zangu hazina dawa,na ziko karibu karibu sana ,pia ni nzito,nitumie nini??

    • @rjsbeautycare
      @rjsbeautycare  2 ปีที่แล้ว

      Ukizimwagia maji zinawahi kuloa na kukauka au zinachelewa? Ili tujue utumie nini kwa usahihi lazima tujue uwezo wake wa kufyonza na kutunza maji.

    • @RoshanAlkarim-jo4oe
      @RoshanAlkarim-jo4oe ปีที่แล้ว

      ​@@rjsbeautycare to

  • @zuwenamohd3175
    @zuwenamohd3175 2 ปีที่แล้ว +1

    mimi zangu ni high porosity

  • @yumyum7424
    @yumyum7424 2 ปีที่แล้ว

    @Yumnammanga