WAZIRI UMMY AFUNGUKA / BIMA YA AFYA KWA WOTE - "HATABAKI MTU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 ปีที่แล้ว +3

    Mimi najiuliza hivi familia ya pale kijijini wataweza tshs 340,000 tatizo la serikali yetu nikutaka kukusanya pesa nyingi kwa mda mfupi na matokeo yake ni fujo.
    Serikali ingeweka uchangiaji wa afya uwe nchi nzima na sio vikundi
    Kwa mfano kila utakapo nunua bidhaa unakwata 50 shilingi na inaandikwa kwenye risiti ya tra ni ya afya yakifanyika manunuzi milioni 20 kwa siku ina maana serikali itakusanya shilingi bilioni kwa siku kwa mwaka 365 bilioni, halafu hizo kaya za watu sita, sita wakatoa shilingi 30000 kwa kila kaya tukipata kaya milioni kumi tutakuwa na shilingi bilioni 300, ukijumilisha unapata shilingi bilioni 660 haijawahi sekta kupata mgawo mkubwa wa pesa namna hiyo kama hiyo pesa itumika vizur kipimo cha MRI kunaweza fika 50000, chemotherapy 30000 kwa dose na huenda tukavutia utalii wa matibabu tanzania maana yatakuwa rahisi

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 ปีที่แล้ว

    Watanzania watapokea tozo ya bima ya afya kwa wote kwenye muda wa maongezi kwa moyo mmoja. Kulipa cash iwe kiasi kidogo Sana. Mbona REA hatujakataa.

  • @PhilipoMwita-ge2oj
    @PhilipoMwita-ge2oj 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanini Jamani msijadili na watanzania hii nchi sio ya watu wawili niyawatu wite

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 ปีที่แล้ว

    Ukitaka kumkamua ng'ombe mpe majani na maji ashibe kwanza ndiyo umkamue..shusheni vyakula Bei kwanza tule tushibe tuwaelewe.

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 ปีที่แล้ว

    Yani mnaona 340000 km niwepesi kwa sisi Masikini nyinyi mnakunywa maji ya uhai sisi tunakunywa maji ya chumvi.hiyo Pesa ni nyingi Sana kaaah

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 ปีที่แล้ว

    Hamna kitu mwizi mkibwa. Ndio.maana
    Magufuli.alikutema

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 ปีที่แล้ว

    Sasa Kama Sina hiyo pesa itakuaje aisee Kama mnapata pesa kilahisi na sio kwa watu wengine Yani Hali Ni ngum saana kwakweli Yani mtu yunifom tu zinamshinda je hiyo 300000 liangalieni kwa jicho la 20