Wakristo wajanja kweli🙄hio gari si yabure🙄😭Wanamvuta kwenye ukristo vijana tafuen pesa kwa jaaho lenu😭Msihadalike Subhanallah Mola wetu tupe mwisho mwema waja wako ctoi fatwa lkn nahisi kama hapo ameshatoka kwenye Uislam huyu Kijana 😭😭😭Yarabbyyy rehmatik🤲🤲🤲اللهم اجعلنا آخر كلمنا من الدنيا لا إله إلا الله محمد رسول الله صلى الله عليه وسلم 🤲🤲🤲🤲
Wanapiga vigelegele Utazani iyo Gari Amenunua Uyoo Nabii Mkuu Kwa Pesa Yake kumbe Wamenunua Waoo Washirika Wanao piga kelele Sadaka zao zimenunuliwa Gari na kupewa Uyoo Muuni
Kumbe wew unavopelekaga sadaka kanisani ni unampelekea mtu na sio Mungu? Ukishaapeleka sadaka kanisani jua hyo sadaka haikuhusu tena bali imebakia kua ni mshahara wa mchungaji, yaani ni riziki ya mchungaji kwa maana mtumishi wa Mungu anakula madhabahuni, madhabahuni ndo ofisi yake kwahyo kile alichokipata basi tunaita ni pesa zake na sio za waumini sawa? Ni kazi ya mikono ya mtumishi wa Mungu, imeandkwa mtumishi hujipatia riziki zake madhabahuni kuwa mwelewa kumbe ndo maana hampelekagi sadaka kanisani kumbe mnaamini kua mnampelekea mchungaji duuh akili ako feki kabisaa
Hao ni matokeo ya dunian mungu amemuandalia kila mtu njia ya mafanikio so you never know how he feel don't blame him bali mshukuru mungu kwa kumuoneshea njia iliosahihi kwake
Hivi ni movie ao ni kweli? Kafanya ndoa kihalali,nimesema hawa wa komedia Njaa mbaya wakanicheka,kenya kuna jamaa kanunuliwa Tv ili atoe ushuhuda akaritadi badae Kaslim upya,na huu mkaliweni kama sio movie ataslim upya, Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un(Verily we belong to God, and verily to Him do we return.
@@upendomwasamboma7967 astaghfir.llah cku malakalmaut akikujia ndio utajua dini ni nin ?? Mungu akuongoze ndugu yako ww ni mkubw ila bad akil ya kitot pole Kwa ilo
Wanaoamini kua mkali wenu kaupiga mwingi mikono juu
Wakristo wajanja kweli🙄hio gari si yabure🙄😭Wanamvuta kwenye ukristo vijana tafuen pesa kwa jaaho lenu😭Msihadalike Subhanallah Mola wetu tupe mwisho mwema waja wako ctoi fatwa lkn nahisi kama hapo ameshatoka kwenye Uislam huyu Kijana 😭😭😭Yarabbyyy rehmatik🤲🤲🤲اللهم اجعلنا آخر كلمنا من الدنيا لا إله إلا الله محمد رسول الله صلى الله عليه وسلم 🤲🤲🤲🤲
Vijana fanyeni kazi msipende vitu vyabure vitawagarimu siku moja
Wanapiga vigelegele Utazani iyo Gari Amenunua Uyoo Nabii Mkuu Kwa Pesa Yake kumbe Wamenunua Waoo Washirika Wanao piga kelele Sadaka zao zimenunuliwa Gari na kupewa Uyoo Muuni
Kumbe wew unavopelekaga sadaka kanisani ni unampelekea mtu na sio Mungu? Ukishaapeleka sadaka kanisani jua hyo sadaka haikuhusu tena bali imebakia kua ni mshahara wa mchungaji, yaani ni riziki ya mchungaji kwa maana mtumishi wa Mungu anakula madhabahuni, madhabahuni ndo ofisi yake kwahyo kile alichokipata basi tunaita ni pesa zake na sio za waumini sawa? Ni kazi ya mikono ya mtumishi wa Mungu, imeandkwa mtumishi hujipatia riziki zake madhabahuni kuwa mwelewa kumbe ndo maana hampelekagi sadaka kanisani kumbe mnaamini kua mnampelekea mchungaji duuh akili ako feki kabisaa
Gari la watu kadi atuonyeshe ya gari gari used imetumika
Vijana waleo wamekua wavivu wakupambana kutafuta maisha yao wanasubiria kuhongwa vitawatokea puani
Nilikuwa sijui kumbe jamaa ni muislamu? Daaa! MWENYEZI MUNGU UTUPE MWISHO ULIO MWEMA"
kisa gari mhhhh i love you Allah
Nakuaga nikifurahi kumuona mwislam kuokoka mungu nimkubwa kabisa piga korasi kaka
SubhannAllah!!
Kijana wa hovyo sana
Na goti umempigia binaadam mwenzio?
Safi sana
Dah njaa mbaya jamani huruma kwake unaritad kwa gari2
inalilah waina ilaiihi rajiuni
Subhanallah ivi umebadilisha dini kisa gari😏😏😭
Acha makasiriko
Hao ni matokeo ya dunian mungu amemuandalia kila mtu njia ya mafanikio so you never know how he feel don't blame him bali mshukuru mungu kwa kumuoneshea njia iliosahihi kwake
Alafu huyo mkewe aliyemuoa kwa ndoa anaangalia hii clip😴
Hivi ni movie ao ni kweli? Kafanya ndoa kihalali,nimesema hawa wa komedia Njaa mbaya wakanicheka,kenya kuna jamaa kanunuliwa Tv ili atoe ushuhuda akaritadi badae Kaslim upya,na huu mkaliweni kama sio movie ataslim upya, Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un(Verily we belong to God, and verily to Him do we return.
sasa tujue kaokoka Kwa kupewa gari ama vp
Huyuuu ni wakuuwawa
God z good
Karitadi ndo kapewa gari? Subhanallah furaha ya leo kilio cha kesho umekaribishwa kwenye ukristo kwa BMW ? Mtihani
Wakristo syo watu au Kwa Mungu akuna ubaguzi
Hoja iliopo kuw ameritad mamb ya ugabuz utajua mwenyew
Subhanallah Allah atupe mwisho mwema 👏👏
Kila mtu ana uhuru wa kuchagua kinachompa furaha dini ni nn kwani kwani hii Tz ya waislam khii🤣🤣🤣
@@upendomwasamboma7967 astaghfir.llah cku malakalmaut akikujia ndio utajua dini ni nin ?? Mungu akuongoze ndugu yako ww ni mkubw ila bad akil ya kitot pole Kwa ilo
Eh !!
Nchi ina vijana wa ovyo hii 😂😂😂 ila vya bure duuh
Ata ungekua wewe nani anataka umaskini si bora kapata kwa kumtumikia Mungu
eeeeeeh mkali wenu kaokoka
hajaamini kuwa kapewa gari
Njaa nibaya wa Muslim ☪️ wameokoka 🤣🤣🤣🤣