KENYA:Huu ni uwanja wa kisasa TALANTA SPORTS STADIUM, ramani yake ni kufuru, utabeba wato elfu 60

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.co...

ความคิดเห็น • 118

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 7 หลายเดือนก่อน +10

    Hongereni Saaana majirani, Kwa kifupi huo uwanja uko kwenye jumuiya yetu pia, Mungu ibariki Kenya , Mungu bariki Afrika mashariki

  • @MaryamAbubakar-c2d
    @MaryamAbubakar-c2d 6 หลายเดือนก่อน +6

    Uwanja wai ni mzuri sana Kenya hongereni

  • @ibrahimathiane2434
    @ibrahimathiane2434 7 หลายเดือนก่อน +9

    Nice pic proudly to this stadium so beau tiful only the one in Africa from Senegal ❤️❤️❤️❤️

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 7 หลายเดือนก่อน +12

    Hongera kwa majirani, kwenye maendeleo tupo pamoja pia kwenye kutaniana ni jadi yetu

  • @gibbs1320
    @gibbs1320 7 หลายเดือนก่อน +22

    Congrats Kenya Majirani.

  • @TradeIQ_Profits
    @TradeIQ_Profits 7 หลายเดือนก่อน +6

    Wanajeshi watafanya kazi mzuri..kazi imeanza

  • @totodavis1949
    @totodavis1949 7 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks brother's zetu from Tanzania we love you guys bt pia bado kuna stadium nyingine inafaa ijengwe Mombasa majaliwa.

  • @kimah9855
    @kimah9855 7 หลายเดือนก่อน +10

    Wakenya we are happy ❤❤❤❤

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 7 หลายเดือนก่อน +14

    Hongereni majirani jitahidini ukamilike kama ulivyokusudiwa watu wasile rushwa.

    • @mastertrainer5001
      @mastertrainer5001 7 หลายเดือนก่อน

      What are you trying to insinuate ?

    • @alihoka_001
      @alihoka_001 7 หลายเดือนก่อน +1

      Rushwa tunakula na kazi tunafanya, raisi wa Tanzania pekee ndio hutaja nchi jirani kwa hotuba yake, tena hutaja kwa uhasidi, sijasikia Uganda, Sudan wala Ethiopia na Somalia imetaja Kenya, aibu, raisi mzima wa Tanzania kukiwa na blackout Kenya ashajua, ni lini atafocus kuendesha nchi yake, huu ni uhasidi, hakuna siku rais wa Kenya ametaja Tanzania mahali, why should they in the first place??? Because Tanzania is no match, hata football za wanawake tunawafunga, bei ya mafuta kupanda, raisi wenu vitisho, "tumepata wawekezaji kutoka Kenya" sawa, je saa hii , pesa yenu umefizidi thamani kwa pesa ya Kenya? Nyinyi ishini life yenu, we not competing guys, munajitesa bure, unafukuza mtu mwenye anatembea na hajali, sgr ya stima mutaongea Karne nzima, sisi ofisi za UN kuletwa Nairobi hata hatujali, wacheni uswahili ndugu, na ulimbukeni, everything is a big deal to you , nkt... compare yourselves with Burkina Faso not Kenya, we are top three na hatujali

    • @alihoka_001
      @alihoka_001 7 หลายเดือนก่อน

      Am a script writer from Kenya , which of the best Tanzanias programs you know which zinaandikwa na Tanzanians? After Huba coming soon is another hot one, I will give you the tittle

    • @GanymedeAxis
      @GanymedeAxis 7 หลายเดือนก่อน

      Rushwa lazim italiwa humu, hivyo ndivyo viongozi kote duniani walivyo. Hata China na Marekani rushwa huliwa kwa wingi sana.

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ase kazi ipo hili nalo bado watu wanatukana wakati ni kuhusu kiwanja mmmm🙌🙌🙌

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 7 หลายเดือนก่อน +6

    Nimependa distance watakayoiacha kati ya uwanja na ambako mashabiki watakaa mashabiki watakuwa karibu na uwanja watamuona mchezaji vizuri sio Benjamin Mkapa uwanja upo hukooo

  • @JosephAlakonya
    @JosephAlakonya 7 หลายเดือนก่อน +10

    AFCON final itafanyika hapo

  • @EDWINKISIERO
    @EDWINKISIERO 7 หลายเดือนก่อน +4

    tushikane mikono twende mbele ndugu zetu

  • @hassansela1393
    @hassansela1393 7 หลายเดือนก่อน +9

    Kama mkenya nmefurahi kuskia hii habari

  • @tamimbinaltan1325
    @tamimbinaltan1325 7 หลายเดือนก่อน +7

    Contract ya Mwarabu naacha hivi naenda Kenya kufanya kazi na wajenzi ntakua hapo lazima niomoke na hii project

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 7 หลายเดือนก่อน

      HHH NDIOOO_🤦🏿‍♀️

    • @francisakatsa3178
      @francisakatsa3178 7 หลายเดือนก่อน

      Wakaribishwa kaka hatuna unafki njoo uwe miongoni mwa watu watakao kuwa kwenye mradi wa ki historia, it's been long yrs

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba kudeclare kwamba" uwanja ambao utakuw mzur mno na wenye kuvutia kwa design ni Samia Suluhu ktk Afrika mashariki..wengin mtafuata

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 7 หลายเดือนก่อน +5

    Pongezi kwa jiran Kenya

  • @jamesmunene8999
    @jamesmunene8999 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenye wivu ajinyonge tayari..

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 7 หลายเดือนก่อน +6

    Kuna mwengine inasemekana utajengwa mombasa

    • @totodavis1949
      @totodavis1949 7 หลายเดือนก่อน

      Wa Mombasa nitofauti

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hamna hela iyo ya kujenga huo uwanja ,, Ivory coast wameingia kwenye madeni makubwa kwa ajili ya viwanja vilivyotumika kwenye Afcon ,, so acheni sifa jengeni kulingana na uwezo wenu ....

    • @chimbukojnrbaraka2678
      @chimbukojnrbaraka2678 7 หลายเดือนก่อน

      Wacha wivu ujenzi ushaanza

    • @chimbukojnrbaraka2678
      @chimbukojnrbaraka2678 7 หลายเดือนก่อน

      Kama bado mna mawazo hamuwezi sisi twaweza maana ushuru uliongezwa na mapato ya taifa yameongezeka

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 7 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa wewe mtanzania unapata wapi nguvu ya kupambaa na kenya kihela hii si aibu jamani

    • @francisakatsa3178
      @francisakatsa3178 7 หลายเดือนก่อน

      Kasikie wivu na bado upon mwingine Mombasa utazinduliwa hivi karibuni mjinyonge

    • @francisakatsa3178
      @francisakatsa3178 7 หลายเดือนก่อน

      Kasikie wivu na bado upon mwingine Mombasa utazinduliwa hivi karibuni mjinyonge

  • @sharonvugutsa969
    @sharonvugutsa969 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 7 หลายเดือนก่อน +4

    michuano ya kwanza ni kati ya KENYA na TANZANIA iwe ni ya mingumi ama mpira na kama kawaida Tanzania hawatuwezi...🇰🇪

    • @umojamedia4167
      @umojamedia4167 7 หลายเดือนก่อน

      Kwenye mpira mkajifunze kwanza

    • @KELVINSOSPETER
      @KELVINSOSPETER 7 หลายเดือนก่อน +1

      Maybe corruption mwatushinda Tena sanaaa 😂😂😂😂

    • @alimwema
      @alimwema 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@umojamedia4167mlichapa kenya mwisho lini?

    • @alimwema
      @alimwema 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@KELVINSOSPETERhata mpira huwa hamuwezi kutupiga

    • @festomwakabulutu3589
      @festomwakabulutu3589 7 หลายเดือนก่อน

      Chakula tu kinawashinda mtatuweza sisi wenzenu tuna mkapa stadium tayari pamoja na amani Zanzibar pia kuna vya almashauri vitatu vinajengwa pamoja na big stadium tatu zinajengwa Arusha Dodoma na Zanzibar kimoja sijui mtatupatia wapi hizo fly over Dar Arusha Dodoma Mbeya Mwanza na Zanzibar zinajegwa nane nane kwenye hiyo miji na Tz ya leo sio ile mlioizoea poleni wajaruo magufuli aliazisha miradi mingi mikubwa mama Samia anaimalizia tu soon mtajionea wenyewe na udaku wenu wa kuifatilia Tz 😂😂

  • @SALIMMpimbi-e6o
    @SALIMMpimbi-e6o 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wakijenga huu uwanja nimekaa paleeeee
    Mniite mbwa

    • @Hamisi8465
      @Hamisi8465 7 หลายเดือนก่อน +3

      Mbwa

    • @DawnOchieng-yo4el
      @DawnOchieng-yo4el 7 หลายเดือนก่อน +3

      Hivo ndivyo tulijenga Thika super highway, Nairobi Expressway,SGR nyinyi mkiwa mumelala mki wish hatuwezi.Tuna endelea nyinyi mkizidi na kinyongo.Huu uwanja mkandarasi ni mchina waki shirikana na jeshi.Weka macho na uzidi kusikia uwivu.

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kawaida ya watanzania mdomo mwingi na upuzi kwa vichwa zao no wonder nakuita mbwa maana uwanja uko almost kuisha. Stupid.

    • @bensonmugambi700
      @bensonmugambi700 6 หลายเดือนก่อน

      Kazi imeanza tayari

    • @Gersah
      @Gersah 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

  • @highlandartsacademy6892
    @highlandartsacademy6892 7 หลายเดือนก่อน

    Sisi kama wakenya tuna furaha sana na nafkiri huu uwanja utakua uwanja Bora na wakipekee kwa East Africa

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 7 หลายเดือนก่อน +3

    Bongo 😊😊😊machawa tu

  • @jumahamadkali4683
    @jumahamadkali4683 7 หลายเดือนก่อน

    Sawa na amani comlex tu

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mama afanye jambo basi jamani.

  • @alihoka_001
    @alihoka_001 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nisikie mtu akifananisha kenya na Uganda na Tanzania, nkt!!!!

  • @CedOG
    @CedOG 4 หลายเดือนก่อน

    Rwanda is next level! The Amahoro Stadium is the 1st and none comes second!💯🍾

  • @juressemabili5133
    @juressemabili5133 7 หลายเดือนก่อน +4

    Hui uwongo tu kenya tu sizani

  • @JulioBob-qi2te
    @JulioBob-qi2te 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tafuta mkeo umdaganye...picha ya Bernabeu alafu mwabandika ngao za kenya😏

    • @chimbukojnrbaraka2678
      @chimbukojnrbaraka2678 7 หลายเดือนก่อน

      Chuki ya Nn jirani uwanja tayari unajengwa

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 7 หลายเดือนก่อน

      Ukaskie vibaa huko kawaida Kenya ni baba yenu economically

    • @francisakatsa3178
      @francisakatsa3178 7 หลายเดือนก่อน

      Subiri utaona kwenye runinga ukajinyonge

  • @piterasifa3757
    @piterasifa3757 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nasisi tunajenga bana hawatuzidi pesa hawa

    • @jumandegwakazee
      @jumandegwakazee 7 หลายเดือนก่อน

      Hata mukitaka

    • @theeKK101
      @theeKK101 7 หลายเดือนก่อน +1

      Nyinyi wa kina nani😅😅😅😅 unajua dollar millioni mia ww hizo ni matrilluoni huko kwenu😅😅😅😅

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@theeKK101kama ni matrillion mbona tuliweza jenga wa Benjamini Mkapa, ndio mjue sisi tunahela kuliko nyie

    • @MeddyClever
      @MeddyClever 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@theeKK101$100 million equal to 235 billion Tz money, hiyo ni pesa tukijenga Mkapa stadium 2007.

    • @chimbukojnrbaraka2678
      @chimbukojnrbaraka2678 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@MeddyClevernan aliwaambia huu uwanja n dola milioni mia moja .Unapita na mkapa uwanja old fashioned Kama kasarani kwanza kasa unaenda kuupita baada ya renovations

  • @jacksonwilson5772
    @jacksonwilson5772 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa uwanja mkubwa na utakuwa mzuri hivo alaf unaitwa TALANTA SPORTS STADIUM. Jina la hovyo kbsa kuwah kutokea. 😂😂😂. Tafuteni Jina mzuri kupea kiwanja chenu mazee.

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 7 หลายเดือนก่อน +2

      Ujui kizingu😊

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 7 หลายเดือนก่อน

      Haikuhusu ya kenya fanya lenu😂😂😂

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@sponsor7882 kabsaaa😂

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@sponsor7882et kizungu kwan nyie mmeolewa na wazungu?

    • @jacksonwilson5772
      @jacksonwilson5772 7 หลายเดือนก่อน

      @@seneu.2128 jina lako lenyewe ni Seneu, jina la hovyo kbsa, so sishangai ukitetea. Mi ngedere, wew ni Nyani mkubwa A.K.A seneu.😂

  • @KELVINSOSPETER
    @KELVINSOSPETER 7 หลายเดือนก่อน +1

    Let us wait for corrupting neighbors if they shall accomplish that project 😂😂😂😂

    • @chimbukojnrbaraka2678
      @chimbukojnrbaraka2678 7 หลายเดือนก่อน +1

      😮the project is under Kenya Defense Forces who condone nothing and Chinese contractors so your expectations are already dead

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 7 หลายเดือนก่อน

      Jealousy

    • @jamesmunene8999
      @jamesmunene8999 7 หลายเดือนก่อน

      Tushaa wajuwa nyinyi.. sisi twaipea sifa TZ na nyinyi kazi yenu ni wivu kutuchukia.. Mnaboo..

    • @francisakatsa3178
      @francisakatsa3178 7 หลายเดือนก่อน

      Kizungu huwezi achana nalo, huwezi Tunga a simple sentence correctly dum head

    • @KELVINSOSPETER
      @KELVINSOSPETER 7 หลายเดือนก่อน

      @@francisakatsa3178 so what if I can't construct a simple sentence... message sent and delivered....we wa Kijiji Gani ujui hata ngeli 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🙌🤣🤣🤣🤗

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 7 หลายเดือนก่อน +2

    C dola milion 100😂😂😂eeeh

  • @Waberoya
    @Waberoya 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi Kenya wanacheza football? 😂😂

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hapana tutakimbia ju tumezoea marathon. Anyway bado hii uwanja iko kenya hata ka hatujui kuitumia

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 7 หลายเดือนก่อน +2

    Uongo mtupu, uwanja Kenya ujengwa kila mwaka

    • @hassansela1393
      @hassansela1393 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kamati ya roho chafu 😂😂😂

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@hassansela1393umeonaa ehh roho chafu,SnS anasante kwa habari hizi❤

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 7 หลายเดือนก่อน

      Wivu

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 7 หลายเดือนก่อน

      Wivu mbwaaaa😂😂

    • @theoriginals3240
      @theoriginals3240 7 หลายเดือนก่อน

      Lazima vijengwe kwa ajili ya afcon wewe pimbi

  • @TheCastorPod-ke
    @TheCastorPod-ke 7 หลายเดือนก่อน

    So someone buys a 3D Stadium model, puts a shield ontop n that makes it Kenyan.😂😂If I know my country folks well, this project will not suffice...let alone with the deadline at hand. The games will just be moved to Ulinzi Stadium n some paintjob at Kasarani n call it a day.