Fetty na zena mutaumbuka kwa Aibu mingi mara hiyi nyie wote wake wenza mwewote jela ala musimuhukumu Tina 🇧🇮 mimi waburundi nitasema kwanini zena n'a fetty wakati wanalala n'a Ally hawaiukumbuja kama wanalausiano n'a Tina 😂😂😂 afu fetty geuza mavazi haakufai kbs 😂😂😂😂😂ninao wakera musinicukie Mimi napenda sema ukweli
Hajakosea kuolewa na ally kama wewe mwanaume unamuachaje mtu anaekupa furaha na kama mwanamke unamuachaje faraja yako wale wote wamependana Kwa hisio sio mihemko
Ila thina ulishindwa kujiongeza unaona wake wawili nimeacha mojawapo dadako, halafu leo unathubutu kwenda kuolew na Ally, fety na zema mpeni adhabu huyo anahistahili
Ivi ni wanaume wa dar ndo wapo ivi ama 😂😂😂ashi ana kazi lkn bado anataka kulelewa wai watoto wa kiume mnakuwa ivi 😂😂😂na kwanini ally usiame apo utafte nyumbani nyingne na ifcn kwa fety utoke 😢😢unammyima raha mwenzio bhna
Sasa wew Tina ulitaka zena akuchekee wewe kuolewa na shemeji yako hata kama Zena ana matatizo yake , haukustail kumfanyia hivyo kama sababu ni kulala na Beni kipindi hicho undugu wenu haukujulikana yani ,Tina ,Ally na Baba mtu wote nyie mmekosea zena ,
@@Ahmed5Mambo Kila mtu alee kwa uref wa kamba yake ila kama tina kakosea wao wamekosea zaidi kama tina kakosea haikupaswa kumfanyia fujo ss wao wanataka wema half wana fanya fujo huoni Tina atakuwa mshindi half wao watajuta Mara Mbili walitembea na Mpenzi wao huku wakijua kabisa hata kama zena hakujua ni dada ake alijua Mpenzi wake walifnya makusudii kumkomoa tina amkoae benii leo au na sahivi wanfnya kumkomoa Tina huoni Zena na fatima wanamakosa kiufupi zena angetulia alee mwanae na zein huwenda yule mama ake zein angemfikiria wakakubaliwa kuoana ila anayo fnya vikija mshinda aseme arudi Tena palee Ndio hapat Nafasi acha amfuate fatuma ana tumia pesa yKe Vibaya
Nyie wake wenza wacheni ujinga bnaa, musha pewa talaka bdo tuu munafatilia Ally, muacheni aendelee na maisha yke, ila Tina hangeolewa na Ally hpo alikosea kabisaaa
Sefuuu na mmbea mwenzako! Mnatishaaa
Boss Ali na Zein nyota zenu za mahaba zilifunikwa kitambo😅😅😅
Wambie zizi watoto wa elfu mbili balaa😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤🇰🇪
Fetty na zena mutaumbuka kwa Aibu mingi mara hiyi nyie wote wake wenza mwewote jela ala musimuhukumu Tina 🇧🇮 mimi waburundi nitasema kwanini zena n'a fetty wakati wanalala n'a Ally hawaiukumbuja kama wanalausiano n'a Tina 😂😂😂 afu fetty geuza mavazi haakufai kbs 😂😂😂😂😂ninao wakera musinicukie Mimi napenda sema ukweli
Mamampika nyungu, babangu mnganga wq kienyeji ,babu mpigq raml na nyanyangu muonsh maiti, ziz umepigaje apo 😂😂🎉🎉🎉
😂😂😂😂Mcharuka
Ziz weee Umejua kunishangaza 😂😂😂😂 Weee kwakuchamba huko aaaaa
🎉aliy napeda Tina sana
Hajakosea kuolewa na ally kama wewe mwanaume unamuachaje mtu anaekupa furaha na kama mwanamke unamuachaje faraja yako wale wote wamependana Kwa hisio sio mihemko
Zizi waa wajua kuchamba wewe 😂😂😂😂😂😂
Nimependa hapa wakumbuke waripo kua wanarara na beni 😅😂😂 emetokeatuu yani mushikirie mumeo hao wa sikutishe
Ila Zizi nyiee mauwa yake jamani 🎉🎉🎉❤❤❤
Tina alikosea kuoelewa na ally movie nzuri
Ww ulikuwa wap mpaka unasema ivyo
Tina nilipenda sana aswa kwenye misimamo na upole lakini kwenye kuorewa na Ally umefeli tena umeferi mbari sana bola ungemsamee beni tu
Zizi unakosea kiongelea vjn wa 2000
Bila shaka nimekuwa wakwanzq hongereni sana team mmetuwahisha
Ila thina ulishindwa kujiongeza unaona wake wawili nimeacha mojawapo dadako, halafu leo unathubutu kwenda kuolew na Ally, fety na zema mpeni adhabu huyo anahistahili
Ila Ali naye kukula mdogo wamtu na mkubwa wa mtu we noma😂😂😂😂
Kweli Tina mpezi hukupaswa kuolewa na shemu wako dia hatakama ubay umwela hukupaswa
Jaman ni haki ya Tina kuolewa na Hali maana hata wao walikuwa wapenzi wa mchumba wake ben
Sio haki kwann? Aolewe na shemeji yake hata kama zena katembea na ben
Sefu na lina mnapendezesha mzecho
Naitaji like zenu wangp? wengependa movie hi ingeitwa visasi hasara
Ila hii ofc km sio ofic vile mavaz ya fetty yameptiliza kbsa kiofic
Hakuna Cha ajabu
❤❤🎉
Mchafueni tina nae😅aondoke kwa ally kwa nini aliolewa na shemegi yake Kweli
Anahaki ya kuolewa
❤❤❤wa kwanza jamani munipea like 🎉🎉🎉
Seif na Lina pokeeni maua yenu
Siku moja mtuonyeshe huyo mtoto wa Zenna pia huyo Ben mtuonyeshe pia
Mulifanya vibaya kuongeza filamu iyi, apo ilipashwa kuisha pale ambo Zena kafungwa
Ila zizi were nawe ulizidi kuambia lina hivo😅😅😅
😂😂😂😂😂ally we nlifikiri ukobna akili kumbe boys tu😂😂😂
Ila ziz unachamba hatar kiloba cha mkaa bana utakul mikat mbak ukos choo😂😂
Bado niko na Tina umekosea sana kuolewa na mume wa mdogo wako hata kama mukioendana na Ally ulivojua udugu wenu ucngekubali...
Angalia mwanzo wa movie then umulaumu tina
Ila zena kutembea na kelv alifanya poa ?
@@NeemaLulandalahakujua kama ni ni ndugu yake rakini
Ivi ni wanaume wa dar ndo wapo ivi ama 😂😂😂ashi ana kazi lkn bado anataka kulelewa wai watoto wa kiume mnakuwa ivi 😂😂😂na kwanini ally usiame apo utafte nyumbani nyingne na ifcn kwa fety utoke 😢😢unammyima raha mwenzio bhna
Mv Tu Wameweka,, ionekane Wanaume wana leelewa Ndio Manaa Ya Penzi Hasara,, hawajali Kitu
@jamilashabani8580 sawa sawa
Sasa wew Tina ulitaka zena akuchekee wewe kuolewa na shemeji yako hata kama Zena ana matatizo yake , haukustail kumfanyia hivyo kama sababu ni kulala na Beni kipindi hicho undugu wenu haukujulikana yani ,Tina ,Ally na Baba mtu wote nyie mmekosea zena ,
😅😅😅 Mkuke kwa ngurue 😂😂😂 kugongewa ni constant 😅
@@Ahmed5Mambo Kila mtu alee kwa uref wa kamba yake ila kama tina kakosea wao wamekosea zaidi kama tina kakosea haikupaswa kumfanyia fujo ss wao wanataka wema half wana fanya fujo huoni Tina atakuwa mshindi half wao watajuta Mara Mbili walitembea na Mpenzi wao huku wakijua kabisa hata kama zena hakujua ni dada ake alijua Mpenzi wake walifnya makusudii kumkomoa tina amkoae benii leo au na sahivi wanfnya kumkomoa Tina huoni Zena na fatima wanamakosa
kiufupi zena angetulia alee mwanae na zein huwenda yule mama ake zein angemfikiria wakakubaliwa kuoana ila anayo fnya vikija mshinda aseme arudi Tena palee Ndio hapat Nafasi acha amfuate fatuma ana tumia pesa yKe Vibaya
@@saumuwakesho4717 umeona eeh wanaumia walivo fnya hawakuona
Nice movie ❤❤❤❤🎉
Ilaa ziziy😂
Movie ishaaanza kuboa Sasa Hawa wake wenza nao tangu Lin wakaelewan bhn na huyo Tina nay ajielewi
Ugomvi ndo unanogesha muvi wew, wapatane halafu iwej
kiloba cha mkaa jmn unapenda kula ww
Naaaam kazi kariiiiii sana
Wa kwanza 🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤waaaaaaa
Mashallah ❤❤❤❤❤
nko apa kutoka Kenya ❤🎉
Inacekesha san iyo kwamundogo wak Tina anaadab
Tina mweshim shemejiakk
Fetty nawe tafuta nguo z guvaa mwili mdogo alafu unavaa nguo za ajabuajabu
Huyo kilobo Cha mkaa anamchukulia seif kama boys fulani😂
Wa tano leo🎉
Nyie wake wenza wacheni ujinga bnaa, musha pewa talaka bdo tuu munafatilia Ally, muacheni aendelee na maisha yke, ila Tina hangeolewa na Ally hpo alikosea kabisaaa
@@SdFft-j5g 𝐀𝐚𝐚𝐡 𝐱𝐢𝐨 𝐤𝐰𝐥😹😹
Analipizza kizazi😪😪
Inaezekana bana ally kumuoa Tina acheni kuwasimanga jmn
Kazi tamu
Msimlaumu saana Ali na Tina mjue kuwa Hawa watu wawili walianza kupendana kabla ya undugu kujulikana😅
Alafu faith kumbe ana viguu km vyangu..😅😅
😂😂😂😂😂
Zana unastahili azabukubwa
Tina umeyatimba ao hutowaweza😂
Wakati Zena alipokuwa analala na Ben alikuwahajui ni mume wa Tina Wala Tina hanakosa hapo
Zena umefanya kosa
Hii umeanza kuudhi😏😏😏😏
Haly hukupasa kumuowa Tina ulikoseyasana
Ali we sio mty utj kul kuk na mayai yk
Sas mbona mnachangany vipande mnatanguliza vya mbele alaf mnafata vya nyuma yaan mmechangany changanya hovyo tyuu
Tin kumb ulikua unatmn kitnd cha mdg ako
Tina iyo ndo autistic ndani kwa Amani kuona gisi Zena nafethi wanaungana.boss Alli naweye ulifanya kosa kumuoa mama yako mkwe.
Ubaya ubwela
Ila zizi 😂
😂😂
Watot wae 2000 mbn mnamatatiz lkn jmn
𝐅𝐞𝐭𝐭𝐲 𝐧 𝐳𝐞𝐧𝐚 𝐧𝐚𝐰𝐚𝐚𝐦𝐢𝐧𝐢𝐚😅😅😅😅𝐓𝐢𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐤𝐮𝐩𝐚𝐬𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐥𝐞𝐰𝐞 𝐧𝐚 𝐀𝐥𝐥𝐲 𝐬𝐡𝐞𝐦 𝐰𝐤𝐨😢
Mbna zena alijua tina ni dadaake na beni ni mchumba wa tinna na bado akawa anatoka na benny
@olicej7837 𝐇𝐚𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐣𝐮𝐰𝐚 𝐮𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐢𝐚 𝐯𝐳𝐫𝐢 𝐡𝐳𝐨 𝐄𝐩 𝐳𝐭𝐞 🙀🙀
Ni kweli Zena hakujua kua n ndugu yake ila wote walipaswa kua waaminifu Kwa mume wao @@priscahmahenzo642
We nae unaongea nn mbona wao wametembea na Ben?
@SakinaHassani-xm7ti 𝐤𝐰𝐚𝐧 𝐡𝐮𝐣𝐚𝐬𝐦𝐚 𝐡𝐭𝐚 𝐩𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐡𝐮𝐨𝐧𝐢 𝐧𝐧𝐢
Mbon haina xaut
Tina shikiria wa sikutishe
Fety na zena muache ubay
Zizi