Yona || Usinge SDA Church Choir || Tabora , Tanzania.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Neno la Bwana lilimjia Yona, mwana wa Amitai, likisema - "Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa, ukapige kelele juu yake...", ila Yona alighahiri wito - Kitabu cha Yona.
Audio & Video by: @FMMusic123
Trainers: Gilbert & Innocent
Nambari za Simu:
+255 745 634 745 - Mwalimu Gilbert
+255 743 983 645 - Mzee wa Kanisa
Mungu awabariki sana kwa ujumbe🎉❤🎉❤
pia nkiwa mshiriki,natama i sana,mungu unisaidie tu sana ,nyimbo zanibariki tu sana
Congratulations 4 u SDA Usinge choir 4 gd song God bless u 2 be with long life
Nmeupenda sana huu wimbo ,hasa kwny makambi haya,,,mbarikiwe
Nawapenda wote na mungu awabariki ,Amen❤
Mbarikiwe sana wanakwaya wa Usinge SDA 🎉🙏🏽
Saf sana kazi nzr sanaaaa wana ufunuo
safi kabisa mungu awajalie msongembele kwa kazi yake.
Safi sana , kazi nzuri sana
Nyimbo nzuri sana
❤ barikiweni Sana
Asante kwa ujumbe mzuri, Mungu awabariki
Amina. Wimbo mtamu!
Ujumbe umefika ,haleluya.
Mungu atukuzwe xan
usenge sda mbalikiwe sana mungu awashike kwa mikono miwili msonge mbele
Usinge
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤙 Nimependa sana.
Oii
Amina sana
Blessed 🙌
It's reality with tripo of heaven so to be doing God's work🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
It's reality with tripo of heaven so to be doing God's work🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
.nimebarikiwa na wimbo wenu
Mbalikiwe san
Ameni🎉🎉
Poa