A alaikum Masha Allah wallahi napenda mapishi yako Allah akuzidishie Ameen wajua kilamtu anamapishi yake ningependa Sana kujua mapishi yako ya vibibi dadangu kwani kitumbua Chako kwa kweli nilijaribu hata sikuyapili bado kilaini Mimi nikitengeza kibibi huwa chakukutaa ladha nzuri lakini huwa nikikavu napendasana mkate wakumimina na vibibi na vitumbua plz naomba kujua kutoka kwako A alaikum.
Dear mie ntajuaje uko wapi? Ila butchers zote navojua mia wanauza nyama safi na nyama za mifupa. Lakin nimesema kwenye video nyama isokuwa na mafupa ndio haswa inopikiwa nyama hii (upishi huu) so kaama una beef ndio yenyewe👍
@@queenshibaskitchen9130 sorry nakudumbua sis nipo Birmingham ila wao huwa wana za steak ndio huona tu but shukran kwa jibu in sha Allah ntajaribu napenda mapishi yako
Mtu gani unotaka aseme? Viungo nimevi orothesha kwenye DESCRIPTION chini ya video mkono wa kulia kuna kialama cha grey ki bonyeze utaona full ingredient nimeandika.
Masha Allah, Masha Allah ❤❤❤
Masha Allah ❤❤❤
Mashallah shukran habibty ukhty
Afwan
shukran sana habibty kwaku tufunza hasaaa tuna nufaika tunaomba na pishi la bokoboko kwajili ya skuku ishaa Allah
MaashaAllah, moja ya Aina ya mapishi niyapendayo
Mashallah asante Habbty Allah akubark
mashalwaa nimependa I naonekana kwa macho kuwa tamu Sana
Wow mashallah
Mashallah hii nyama naipenda saana mate yamenitoka
Bismillah mashaallah
Tabaraka Allah
MaashaAllah MaashaAllah
Mashallah jaman wanitamanishaa
Mashallah shukran habibty
Shukran sana nafurahi sana nikiona Video zako maana vyakula vyakihalat
Haha za kihalat voo
A alaikum Masha Allah wallahi napenda mapishi yako Allah akuzidishie Ameen wajua kilamtu anamapishi yake ningependa Sana kujua mapishi yako ya vibibi dadangu kwani kitumbua Chako kwa kweli nilijaribu hata sikuyapili bado kilaini Mimi nikitengeza kibibi huwa chakukutaa ladha nzuri lakini huwa nikikavu napendasana mkate wakumimina na vibibi na vitumbua plz naomba kujua kutoka kwako A alaikum.
Waleikum salam shukran
Kwa vibibi nimeweka recipe sis znz tunaita chila. Angalia kwa jina la CHILA (queenshibas kitchen) utaviona
Mashaallah shukran
Maa Shaa Allaah
Tnx u, tunaomba na desert
Mashaallah
lovely
Nilikuwa naitafuta hii, kweli zamani tulikuwa tunapewa shughulini. New subscriber here🎉
Bora kichocheo hiki ambacho napenda sana
Asante Sana Dada,
Binafsi ninajifunza Sana kwako!! Keep up a good job and May Allah bless your work inshallah !
Amin yarabi
Mashallah shukran
MashaAllh nakumbuka kwetu jmnnnn
😋🔥
Mashaa Allah pambeee mpenzi 👏👏👏
MashAllah 😋😋
MashaaAllah
Shukran dear kwa kuitikia ombi langu😋
Afwan my dear nasubiri mrejesho japo wa maneno tu hahaha
@@queenshibaskitchen9130 inshaallah😘
MashaAllah bismillah MashaAllah yaani nyama naipenda hiii nakmbka enz toka 2ko wadogo cku hzi kwel ha2kuti tena maharcn , thanks kw ku2kmbsha 2lipotoka😍😍😘😍
Umeona eeh hata mie tangu enzi za utoto never miss, nlipoolewa zilikuwa zishapotea nyama za shughulini
@@queenshibaskitchen9130 ooooh i wish zama zle zirudi , nwy thanks kw ku2kmbsha 2tajarbu InshaAllah, be blessed alwys
Mie naomba pishi la mutabak plz
Mashallah
Mashallah ningejua uko wapi ningekuletea haluwa yetu , seif halwa.
Mashallah dada
Twao.ba kashata za mayai mpenzi
Kashata za mayai
😋😋😋😋😋😋😍😍
Jan sisi wengin hatujiw kusom hiv vitu yan spaiss zaitwajeeee?😅😅😅😅
alivo tiy
Click hapo kwenye neno more utaona nimeandika kila kitu dear ukitaka kwa kiswahili ziandikenkwa Google utapata manake in shaa allah
A.a,hii nyama haiwekwi mafuta?
Haitiwi
mrejesho mtu anakuletea wapi
Nitupia kwa private ya insgram msg. Queenshibas_kitchens ina underscores kati usishau
Dia nikulize huku kwetu sana hupata beef isokuwa na mifupa mm ningependa kujua ya mifupa unapata wapi shukran n I like ur nyama by da way
Dear mie ntajuaje uko wapi? Ila butchers zote navojua mia wanauza nyama safi na nyama za mifupa. Lakin nimesema kwenye video nyama isokuwa na mafupa ndio haswa inopikiwa nyama hii (upishi huu) so kaama una beef ndio yenyewe👍
@@queenshibaskitchen9130 sorry nakudumbua sis nipo Birmingham ila wao huwa wana za steak ndio huona tu but shukran kwa jibu in sha Allah ntajaribu napenda mapishi yako
Hamna hunisumbui mpenzi ila Birmingham siwezi kujuwa sehem gani ila itakuwa zipo. Shukran dear
queenshibas kitchen ok tnx
Tunaomba kashata za njugu na vileja, wengine tukipika vileja vinakuwa vigumuu, sijui tatizo nini.
Naomba mtu aseme hivo viungo kwa majina yake
Mtu gani unotaka aseme? Viungo nimevi orothesha kwenye DESCRIPTION chini ya video mkono wa kulia kuna kialama cha grey ki bonyeze utaona full ingredient nimeandika.
Oowh sawa thanks habibty nmeziona
You are welcome dear
Mie cjaona iyo description box
Ma maelezo nimemjibu mtu hapo habibty, sio box ni description below. Chini ya video kunamaneno yameandikwa more bonyeza hapo utapata ingredients
Jan sisi wengin hatujiw kusom hiv vitu yan spaiss zaitwajeeee?😅😅😅😅
Spices yaan Bizar hapo kaweka Uzile (Cumin)black paper(pili pili manga)na coriander powder (kotmir powder)