MashaaAllah
MashaAllah aunty u are the best👍
MaashaAllah very nice it looks yammy
Mashaallah habibty
Mashallah yummy
MashaAllah tabarakAllah..Shukran sis
Masha Allah masha Allah inavutia
Mashalllah naic
You the best cooker ma shaAllah 👌
MashaAllah
Mashaalah..!! KiZanzibari khalisi Shukran sana 😋😋😋😋
Hongera na asante
Yummy🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
MaashaAllah, ahsante kwa mafunzo mazuri ya Biriani ya Kizanzibari.
Asante sis jazakallah khayran😋
Maashaallah shukran hbbty tutapata kupika kibiriani 😍
Asante hii ndo recipe ya simple niloona mpaka sasa. Asante
looks good!
MashaAllah MashaAllah, ahsante kwa recipe na maelezo mazuri, Allah akuhifadhi
Shukran sana
Thank you
Assalaam aleykum
Queen of Sheba
I love your food and when I cook
I really enjoy ishaAllah Allah bless u from canada
Leo napika hili biri for lunch. I can't wait. Wait for my feedback queen👌
🤭basi bb sinmesahau kupga ata picha. Mana utam umenkolea mpaka nkasahu. Mashallah ilkua tam ajjab
My Queen Chakula kizuri Maasha Allah nilijaaliwa kupika ... Pls naomba ufanye video ya pilau na aina zake tofauti hata in 3 series kwa kila pishi video yake like ya kizanzibari,Somali,na kibongo kwetu hahaha me nachanganyikiwa kujua ... Jazzakallahukhair
Kuna darasa la wali aina tofauti na vitafunio yani bits aina tofauti darasa linaanza soon kama unataka nikuunge ada ni elf 35000 tu.
Helo qweenshiba mama na mimi tuna pika he biriani asanta sana for recipe yako 💕
Kiasi ya city ulivotumia
Ma shaa Allah. Nasubiria na recipe ya sambaro nipate nipike.
queenshibas kitchen wewe tutumie hiyo sambaro uone mambo yatakavyokuwa sister
Mashallah tunaomba na sambaro video isichelewe
@@queenshibaskitchen9130 a alaykum aunt vipi Hali yako eti ukitaka kufanya visheti vilaini vizuri unafanya vipi
Sorry dear uzuri suala liendane na upishi ulivo, hapa sitiwi recipe kwa mandishi kwa sasa in shaa allah ikifika time yake nitaweka. Shukran.
@@queenshibaskitchen9130 ok basi ukipata mda tunaomba visheti maana vya watu wengi tumeona ila tukijarib vinakuwa vigum Lakin vyakula vyako tukijarib vinatoka parfect mashallah tumependezwa na ufundishaji wako wa ukweli
Asalaamu alaykum looks delicious!! Your biriyani recipe doesn't include tomato paste, do u not need it? Xx
Mchele ganii unatumia dear
Recipe hii Inalisha Watu wangapi?
Tupe jinsi ya kukaanga vitunguu vyako vinaonekana na rangi moja vyote please
Nimevikaanga kama kawaida mafuta yalikuwa size sio kidogo kama nlivoandika 1L mafuta na nimekuwa nikiviangalia na kuvigeuza hadi ilipofikia vinaanza kuwa light brown nikavitowa na kuvitandaza . Vipowe na kujichuja mafuta.
Kiasi ya vitu ulivotumia
Nimeandika kwenye description below.
Click hicho ki ero cha grey chininya video
Nice hebu rusha WhatsApp mpenzi nimekumiss on one on one.mie dr mariam
Mchele aina gani unatumia
Dear suala lako ni gumu mana mie sijui uko wapi ila basmat(pishori) yotote ni mzuri kupikia chakula kama biriani.
P
Hueki tomato paste dear
Habibty nimeandika na nimesema siweki na na kiasili hasa haiwekwi kwenye Zanzibar biriani kabisa.
A.alykum unaweza kuchanganya vitu vyako vyote kwenye nyama halafu ukaweka kwenye friji ukamalizia siku ya pili?
Mashaallah tabarakallah