Mr president❤ … mungu akuweke kiongozi wetu … tunakupenda sana na asante sana kwa kutupambania wana yanga 💚 .. na kutuheshimisha … Mungu akupe afya , umri na kila la kheri na ww Hersi❤️
Mr Eng mimi mala nyingi naongelea usajili,bt upande wa mashabiki kuja uwanjani,hapa ni kujenga uwanja au kubadili namna ya kutafuta watazamaji cse hii style INAYOTUMIKA ,MTAKUWA MNAPATA WATAZAMAJI WALE AMBAO KWANZA ALWAYS WANATAKA KUSHINDA TU MCHEZO,BT ALSO KULIPA VIINGILIO VIKUBWA HAWAWEZI,HUKU MITAANI TUPO WATU TUNAANGALIA MPIRA NA BIA JUU NAMAANISHA WENGI WANAOVUTIWA KUHUDHURIA MPIRANI KILA MALA HAWAWEZI KULIPA VIINGILIA HALAFU UWANJANI USTAARABU ZIRO.UKAAJI HAUHESHIMU ULIPAJI WA VIINGILIO. MJENGE MAZINGIRA YA KUVUTIA WATU WENYE VIPATO VIKUBWA HATA WASTANI
Naiangalia hii exclusive interview ya Eng. Hersi, nikiwa Atlanta, Georgia, nchini Marekani. Nikijaaliwa kurejea Dar salama, ningependa kuonana naye ana kwa ana, pale Mjengoni Jangwani. Ntamtafuta mimi mwenyewe.
Eng Hersii Wewe ni Mkombozi Wetu wana Yanga nimeacha kufuatilia Premier League maana shabiki wa Man utd kwa ubora wa Yanga uliopo ... Keep it Up naomba uwanja uwe kama wa al ahly wanachama Bora Tule Bata Yanga Arena Isiwe just a stadium
Aziziki mungu akulinde na raisi wetu😊
Hongera sana Raisi Tupo pamoja mpaka tutimize malengo yetu.
Mr president❤ … mungu akuweke kiongozi wetu … tunakupenda sana na asante sana kwa kutupambania wana yanga 💚 .. na kutuheshimisha … Mungu akupe afya , umri na kila la kheri na ww Hersi❤️
Kaka unaweza mungu akurinde kwa busara kubwa tunavimba vifua kwa uwezo mkubwa wa akiri yako
Big up 👏👏👏daima mbele nyuma mwiko🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mungu atusimamie baba etuu
Daah afu unakuta mashabiki kuenda tu uwanjani mnashindwa hamuoni juhudi anazo zifanya rais wa club engeniar
Kazi nzuli mdogo wangu ukovizuli hongel 9:35
❤❤❤❤❤naipenda.❤❤yanga❤
Hongera Rais wetu na pole watu hawajui unavyopambana acha wazidi kuropoka na Mungu azidi kukupambania na kukupa maisha marefu Eng Heris
Ndo maana aziz k nae anaipenda yanga sana hata mara nyingi akifunga goli anaingalia nembo ya yanga kifuani kwake huku akikimbia kwenda kushangilia
Great mind always at the peak
Jamni yanga naipenda Sana mungu aendelee😊kumpa uwezo Aziz k
Yanga tamuuuu
Kaka Mungu akuongoze katika njia zako ukuwa ndani ya Yanga na hata nje ya Yanga ❤
Mungu akutunze raisi 🔰💚💛✅🟩🟢
Mr Eng mimi mala nyingi naongelea usajili,bt upande wa mashabiki kuja uwanjani,hapa ni kujenga uwanja au kubadili namna ya kutafuta watazamaji cse hii style INAYOTUMIKA ,MTAKUWA MNAPATA WATAZAMAJI WALE AMBAO KWANZA ALWAYS WANATAKA KUSHINDA TU MCHEZO,BT ALSO KULIPA VIINGILIO VIKUBWA HAWAWEZI,HUKU MITAANI TUPO WATU TUNAANGALIA MPIRA NA BIA JUU NAMAANISHA WENGI WANAOVUTIWA KUHUDHURIA MPIRANI KILA MALA HAWAWEZI KULIPA VIINGILIA HALAFU UWANJANI USTAARABU ZIRO.UKAAJI HAUHESHIMU ULIPAJI WA VIINGILIO. MJENGE MAZINGIRA YA KUVUTIA WATU WENYE VIPATO VIKUBWA HATA WASTANI
Nakubali yanga miaka 100❤
Mungu ukupe afya njema uzidi kuipambania yanga
Hongera Enginear hersi Mungu akulinde
Aamiin
Daaaa unaakilia sana kaka yanga itafika mbali sana
Huyu Rais mwenye akili na maarifa makubwa kongore mh. Rais
KAZI nzuri saana
Naiangalia hii exclusive interview ya Eng. Hersi, nikiwa Atlanta, Georgia, nchini Marekani. Nikijaaliwa kurejea Dar salama, ningependa kuonana naye ana kwa ana, pale Mjengoni Jangwani. Ntamtafuta mimi mwenyewe.
Rais msela👏👏👏
Kaz nzur sana Mr president 💚🙏
Duh inajituma kaka hongera siyo km mengine yamekaa tuu
Ukatoa hela nyingi
Wap mangu mangu and try again makolo Bado sana
Eng Hersii Wewe ni Mkombozi Wetu wana Yanga nimeacha kufuatilia Premier League maana shabiki wa Man utd kwa ubora wa Yanga uliopo ... Keep it Up naomba uwanja uwe kama wa al ahly wanachama Bora Tule Bata Yanga Arena Isiwe just a stadium
Congragulation engeneer
👏👏👏👏💚💛💚💛
Sasa ona matunda ya kuteseka Leo tunaweza kumsajilu mchezaji yeyote kupitia performance ya Aziz na wengine hakuna atakaegoma maana tushakuwa wakubwa
Daaaaaah salute sana 🙏🏻🙏🏻
Mwamba Eng. Hersi Said raisi wa ball
Big up sana mwanetu
Wewe jamaa ni bonge la kiongozi
Safi sna ...💚💚💛💛💪💪
Hongera kiongozi wetu
🎉🎉🎉 president 🎉🎉
I'ma kijwelo
Raisi tunae
saf
Pambana mzee wa yang
Huyu ndio kiongozi tumepata wananchi hongera raisi watu
Ndio sababu nalipa kadi kila baada ya miezi 6
🔥🔥
8:22 brain man
Sasa kwa ujasili huo wa raisi wa yanga mangungu ataweza
Apa 2melamba dume wananchi tawala miaka 100 yanga sisi wananchi 2ko radhi na atuitaji Tena uchaguzi chaguo letu ni ww miaka 1000 mpaka useme basi
GOD
Yanayonong'ona yanakera
Izi Ninondo kwelkwel
huyu ni Rais mwenye ushawishi mkubwa Afrikan
President huyo
Midomo ndo wa Tz
❤q1
Helis sio ulaisi wa yanga Yani ata waichi umepita Wana yanga tumeshakupitisha
Yah kweli
Saf
Huyu jamaa anujua mpira ila naogopa kwa uaminfu wote asije kutuhujumu,yanga ni kama timu ya taifa tangu wazee wanapigania uhuru kutoka ukoloni.....
Yaani atauza jengo la yanga au unazungumzia hujuma gani labda?
raisi wa mpira
Msisahau kusubscribe jaman
Rais wa mpira uish miaka buku
Kuitwa Engineer sio coincident 🙌🏾