Mbona wamuombea apate mke wa kheri na ashapata yaani we mama wataka wapate mke mwengine tayari 😂😂😂. Allah awajaalie wana wenye kheri adumishe ndoa yenyu ❤❤
Sawa ALLAH awafanyie wepesi ila namuomba alieweka picha hii seheme inayo mwonyesha Bi Harous zifute kwa 7bu katika Uislamu kuna vitu havipaswi kuviona yoyote isipokuwa alie muwoa na miongoni mwa hivyo ni Nywele na kifua.
Masha Allah Tanga yetu upendo wetu wa Tanga alhamdulillah Allah nijaaloe nipate mume mwema tupendane hadi kufa kwetu
Inshaallah Amiin na mie pia
Mungu nijalie mume mwema,💞🙏
Ameen
Mungu anijalie mume mwema
Masha Allah,nasi tulio bado kupata nusra nasi Allah atufanyie wepesi tuweze pata walio wa kheri
Ameen
Allahumma ameen
ameen, insha'Allah
Mashallah munqu nami anipe mume boraa amin
Uko wapi sister kwani?
Ameen Thuma Ameen,Masha Allah,Allah akujaalie mume wa kheri katika maisha yako
Mashallah
Amiina yaa rabbal a'lamiina
Allah atakupa mwenye kheri nawe
Mashaallah Allah tujalie tupat waume wenye kher na weny hofu ya mung
Mungu atasikia kilio chetu😰
Allahumma ameen
Amiina inshallah
Ameen insha allah
Amin thumma amiin soteni ambao bado yarraby
Mashallah ndoa nzur tang home
Mashallah namimi mungu atanipa wangu inshallah
In shaa Allah!!
Amiina yaa rabbal a'lamiina
Ameeen
ucjali dada mungu atakupa
Ameen inshaaallah Allah atakujaalia
Inshallah mungu anijalie mume mwenye khery na mapnza ya dht🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻💓💓💓💓
Amin kwetu soteni ambao bado
Inshallah namimi namuomba mungu anipe mume mwema mwenye hofu ya mungu
Mbona wamuombea apate mke wa kheri na ashapata yaani we mama wataka wapate mke mwengine tayari 😂😂😂. Allah awajaalie wana wenye kheri adumishe ndoa yenyu ❤❤
wallah nimekumbuka ndoa yangu namuomba m.mungu aidumishe amin
Ndoa nzuri mashallah tanga home
Sawa ALLAH awafanyie wepesi ila namuomba alieweka picha hii seheme inayo mwonyesha Bi Harous zifute kwa 7bu katika Uislamu kuna vitu havipaswi kuviona yoyote isipokuwa alie muwoa na miongoni mwa hivyo ni Nywele na kifua.
Naam mitihan inaanzia hapaa kwenye kuiga ndoa za kimagharib cjui wIslam tunakwama wapi wallah utaskia inshaallah mwnamme amejstir mwanamke nguo za mwanamke zko waz znaonyesha enyi waslamu wenzangu tumuogopen allah tusiishi kwa mazoeìa
hakika
Mashanllah,Allah anijalie nipate mume mwema Amina
Dua ya Wazazi hairudi
Mashaallah al hamdullillah mungu aibariki ndowa yakp thabet duwa ya wazazi
mashaallah mola nijaalie na mimi nipate aliye mwema
Upo wapi sister
kwetu kilimanjaro
@@utaani1 Mmmh ww watafuta tuu
Msshalha nami mungu anijlie nipate mume mwama amin
@@kijolijuma9259 na mm mungu anijaliee nipate mume mwem
Astaghfirullah
Astaghfirullah
Astaghfirullah
Bibi harusi maziwa nje
Mas kini honi haya Muta kwenda jib
Mbele ya Allah
Masha allah 🌹🌹🌺🌺
Happy marriages life
MashaAllah
الله علا جمالكم ياريت يكون نصيبي عندكم او منكم من المانيا
Mashaallah
Astaghfirullah bi harus yupo uchi zambi tupu Hapo Haifai
Wala kum salam
Mashallah harusi jemma
Asalaam aleykum
MaashaaAllah
Maa sha Allah
Mashallah
Honger
WHAT COUNTRY IS THIS AND CITY?
Tanzania the city is called Tanga
Nimependaaa san jaman naomb na mm mnitafutiyeeeeee mchumba mwenye ndugu me namb yanga hii APa 0659529460
Mm kazi yangu natafutia watu wachumba njoo whstp +96892064047
Ankolima Mimi
Kina mshihiri hawa ??
Zeinab Galya
soon yng inshallah
Masha Allah,Allah akufanyie wepesi
Masha allah
Nap ands Tanga
Mm natafutia watu wachumba sehem yoyote kama unataka njoo whstp +96892064047
Mm hapa natafuta mchumba uko wapi ss
Nusura Kajubu mm
Mtihani mume hatafutwi hapa 😁