13 July 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe; Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea taarifa ya maboresho ya miundombinu ikiwemo jengo la abiria katika Kiwanja cha ndege cha Mpanda Mkoani Katavi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania Bw, Mussa Mbura mara baada ya kuwasili kiwanjani hapo tarehe 12 Julai, 2024 ili kuanza ziara yake ya kikazi Mkoani Katavi.

ความคิดเห็น •