MAOMBI YA SIKU 21 KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SIKU YA 20

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024
  • Karibu Kuungana nasi katika Maombi ya siku 21
    AGENDA: KUOMBEA MAONO/MIPANGO YANGU 2024 SEHEMU YA KUMI NA TISA
    (AGANO LA URITHI )
    KUOMBEA AKILI ILI KUPATA UFAHAMU WA JINSI YA KUFANIKISHA MAONO YANGU
    Mwl. Renald Mlawi
    +255 758 306 109
    +255 677 968 604

ความคิดเห็น • 17

  • @odinamigowe2430
    @odinamigowe2430 8 หลายเดือนก่อน +2

    Naamini katika pumzi ya Mungu ya uhai, nimepokea akili mpya katika maono yangu yote. Amen 🙏

  • @witnessphilmoni5470
    @witnessphilmoni5470 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen🙏🙏🙏🙏🙏

  • @beatherkatani2779
    @beatherkatani2779 8 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi wa Mungu hakika Mungu akukumbuke kwa huduma hii njema. Mungu awabariki wana NGUVU YA MAOMBI , TUMEMWONA BWANA.

  • @liliandavid854
    @liliandavid854 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu atanipa akili katika mambo yote

  • @adelinendesanjo5328
    @adelinendesanjo5328 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen🙏🏻

  • @adelinendesanjo5328
    @adelinendesanjo5328 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe akili katika maono yangu yote🙏🏻

  • @adelinendesanjo5328
    @adelinendesanjo5328 8 หลายเดือนก่อน

    Akili yangu na ya uzao wangu imetakaswa na Damu ya Yesu🙏🏻

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 8 หลายเดือนก่อน

    Bwana ninaomba unipe akili katika mambo yote siku zote za maisha yangu Amen 🙏

  • @gilliangillian6748
    @gilliangillian6748 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu unipe akili amen

  • @MustaphaChimbalanga
    @MustaphaChimbalanga 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu nakushukuru kwa ajili ya ibada hii 😊🙏Umenibariki akili zangu na ninaenda kukaa level za juu Amina Katika Jina La Yesu Kristo wa Nazareth aliyehai ❤🙏

  • @efgeniasirito4410
    @efgeniasirito4410 8 หลายเดือนก่อน

    Yesu naomba akili katika mambo yote

  • @QueenLyimo-hu4dj
    @QueenLyimo-hu4dj 8 หลายเดือนก่อน

    Bwana atanipa akili katika mambo yote...barikiwa mwalimu

  • @OresterKaguo
    @OresterKaguo 8 หลายเดือนก่อน

    Napokea maono mapya ya akili yangu

  • @winnielyimo1454
    @winnielyimo1454 8 หลายเดือนก่อน

    Naombea akili zangu akili za familia yangu yote na akili zetu zikawe mpya kwa jina la Yesu kwa damu ya Yesu Mungu na anipe akili kwa mambo yangu yote

  • @gilliangillian6748
    @gilliangillian6748 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu anipe akili tena katika pumzi yake.

  • @fatemajohn3195
    @fatemajohn3195 8 หลายเดือนก่อน

    MUNGU Naombea akili zangu pia na akili za familia yanga yote

  • @gilliangillian6748
    @gilliangillian6748 8 หลายเดือนก่อน

    Bwana atanipa akili katika mambo yote.