Congratulations 👏👏👏 👏 👏 People are people they dig holes for you when they are smiling to you Wale watu tunashida nao ,tunakula nao tunacheka nao wengi ndio Maadui wakubwa God atatupigania Lets love rule never cause tears in peoples life ,never be a backstabber ,usiwe MTU wakutakia watu mabaya or kufurahi muanguko wao .....every one listening to this song just know clean heart ainuniliwi dukani let's spread love ,don't do evil to other people ,let's be true friends Umuthaniye siye usiomuthani ndiye Ukuumiza big time Let's hold on God I love you bro continue preaching through music ......allow God to fight your battles ,allow God speak for you Tupendane vile mungu anatupeda zote
Mukozi wimana kasolo nakusalimia katikajyina lá yesu Cristo Niko Apa Moçambique nayitwa pérolabnaomba number yasimo t Yako tuhonguei vizuri nataka fique hapa Moçambique nitasubiriya gibu tafazari ni gibu haraka amen
Exactly watu niwakuongopewa mwenye umamuonanga ndio rafiki Wa kweli kumbe ndiye adui mkubwa ,heri tu kuukaa ngani ya yesu juu ndiye mwaminifu,God bless yu so much kasolo,,mpaka maadui washangae
WAKATI MWENGINE ILI UFIKIE MAHALI AMBAPO MUNGU ANATAKA UKAE, NI LAZIMA AKUONDOLEE WATU AMBAO ANAONA HAWAFAI KUWA NAWE KATIKA IYO LEVEL MPYA, JAPO INAUMIZA SANA UNAPO ACHANA NAO MAANA WANAKUWA NI WATU WA KARBU NA MUHIMU SANA KWAKO, LAKINI FAIDA YAKUWA MBALI NAO NI KUBWA KULIKO MAUMIVU YA KUACHANA NAO, YESU NI KILA KITU SHIKILIA HAPO UTAONA MAMBO 💪
Amen mbingu zinene Kwa ajili yangu pia, umdhaminiye siye. Mbona uu wimbo unaniongelesha. Stephen Kasolo this is very true. You have really blessed my heart God bless you
Mimi nilikujulia tu kwa mtandao lakini nazipenda nyimbo zako Sana maana zinanibariki. Kwa kweli unayo kipawa kutoka kwa mwenyezi mungu. Aendelee kukupa nguvu ya kumtumikia
Honestly Steve ua a living testimony each time I listen to ua songs hakika zanipa tumaini la kuendelea kumtegemea Mungu🙏🙏🙏🙏barikiwa sana solo ua a blessing to many souls🙏🙏❤❤
Ogopeni is another hit, after another. You were born to do this Kasolo!! Keep on doing Gods work! You bless my soul with each song! Great worship song! 🙌🏾🙏🏾👏🏾✌🏾
safi sana mtoto wangu mie nimewaogopa muda sanawatu
Dada rose
Asante mamangu. Nakupenda
Ooh yes
Amina
Sister Rose ❤️
Ogopeni watu mpendeni Mungu!! Barikiweni!! Thank you for the support family. You mean alot in this Ministry. I love you all. ♥️
Wow amazing and inspirational piece. God bless you Mtumishi
Wow,,such a blessing song 🔥🔥
True ....God bless you mtumishi
Tutazama kwa Yesu mileelee🙏..A great song Mtumishi..God bless you with more Hits👊🙏🔥🔥🔥
Am amazing song of the year👏👏👏keep up steve
Huu wimbo umeniguza sana mwanangu una wimbo bora mno
Jitie moyo brother Mungu yupo upande wako
God never disappoints his people. He uplifts his people from zero to hero 🙏🙏🙏
Amina 🙏🏿.Akiwa upande wake nani aliye juu yake
Asante dadangu
Congratulations 👏👏👏 👏 👏
People are people they dig holes for you when they are smiling to you
Wale watu tunashida nao ,tunakula nao tunacheka nao wengi ndio Maadui wakubwa
God atatupigania
Lets love rule never cause tears in peoples life ,never be a backstabber ,usiwe MTU wakutakia watu mabaya or kufurahi muanguko wao .....every one listening to this song just know clean heart ainuniliwi dukani let's spread love ,don't do evil to other people ,let's be true friends
Umuthaniye siye usiomuthani ndiye
Ukuumiza big time
Let's hold on God
I love you bro continue preaching through music ......allow God to fight your battles ,allow God speak for you
Tupendane vile mungu anatupeda zote
True justina.
Very true our sister
Wow ❤️ my sister.
@@StephenKasolo congratulations kasolo aky mungu akupe nguvu kila wakati ninapo sikia nyimbo zako hua zinanipea nguvu sana🙏🙏🙏🙏🙏
I like vile mnarelate ak mungua awape neema akie bro steve
Uuuuuuuwiii kweli kumbe siye umthaniaye 😭 zile vidonda nikonazo za tumbo zimesababiswa na watu . For sure ogopa watu !!!! Big up kindus feel loved
Mimi nimekwama hapo kwa fake kisses
Niko hapa ukweli kabisaaa ila mungu Yuko hata upitie mangapi mungu ndiye mponyaji
@@stargirl5880 Kweli kabisa
@@ekaituneene ahahhhahha uma kisini piuuu
Very true...kasolo you have been my mentor for long ,,,,siku inakuja nitakuwa kama ww
Kabisa kweli Yesu pekee ndiye mpenzi wa kweli
Nguvu za Mungu zina tawala
Lovely to our brother kasolo a Kenya 001 male artist👌👌👌👌🔥🔥🔥🔥🔥🔥wapi likes kama unagree kasolo Ndo number 1 Kenyan gospel
Nce song kasolo
Kabisaa kasolo number one kenya
Nimeipenda sana hii, sijui imekuwaje ni ya 2 years ago na sijaiskia
Mukozi wimana kasolo nakusalimia katikajyina lá yesu Cristo Niko Apa Moçambique nayitwa pérolabnaomba number yasimo t
Yako tuhonguei vizuri nataka fique hapa Moçambique nitasubiriya gibu tafazari ni gibu haraka amen
YESU kila kitu kimbilio kila wakati.YESU rafiki mwema
Humdhaniye ndiye siye kweli...chunguza sana watu....
Ogopa watu wanakukula pole pole after all they starting smiling at you am testimony be strong in lord
Hooooo my God....kasolo thankc you for your information....wewe mungu amekupa hekima Sana.
Wow hii imenitoa machozi..umdhaniae ndiye siye ongopa watu...songa mbele solo
Yes I support you 💯%fake friends and pretence love hatutaki...maagizo ya mukweze tosha...yesu niwe minyanyae wawo
Amen amen amen haki nimrmbarikiwa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ni kweli mwanadamu ni mtu hatari sana (ni kujificha tu ndani ya YESU
tuko nawe mpaka MWISHO mheshimiwa kasolo one Day people will know you serve the living God
Amen
Aki ,na vile mm nilishaolewa na nyimbo zake tayari
King of kamba nation Gospel artist,,,#Stephenekasolokitole
Mungu ndiye AJUE moyo wa mwanadamu ....Yesu kristo ndiye rafiki wa kweli wengine ni mapito tu
Napenda sana nyimbo.zako kaka always makes me stress free here Oman kwansa iyo ya.mukwenze.God bless you so much bro.kasolo
You are amazing the king of Gospel ogopa ujumbe kali 🙌🙌🙌
amen amen ..umdhaniaye ndiye siye...on another level...keep it bro
Kasolo nue king wa gospel
Exactly watu niwakuongopewa mwenye umamuonanga ndio rafiki Wa kweli kumbe ndiye adui mkubwa ,heri tu kuukaa ngani ya yesu juu ndiye mwaminifu,God bless yu so much kasolo,,mpaka maadui washangae
Woow cogrant solo you never disappoint 🔥🔥🔥
th-cam.com/video/RHE-vvKYEgA/w-d-xo.html
Wow ! Nice song
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥umudhaniae ndie siye ogopa watu,Yesu ndie kimbilio kwa wakati wote🙏🙏🙏❤❤
Kasolo Kwan hukuwa umekua kwamba kuna kiss za judas. Yesu alisalitiwa sebuse wewe.ur going another level.watching from saudi.
Ghai jamani nimelia kweli.. Niliodhania ni marafiki zangu wamekuwa miiba
WAKATI MWENGINE ILI UFIKIE MAHALI AMBAPO MUNGU ANATAKA UKAE,
NI LAZIMA AKUONDOLEE WATU AMBAO ANAONA HAWAFAI KUWA NAWE KATIKA IYO LEVEL MPYA,
JAPO INAUMIZA SANA UNAPO ACHANA NAO MAANA WANAKUWA NI WATU WA KARBU NA MUHIMU SANA KWAKO,
LAKINI FAIDA YAKUWA MBALI NAO NI KUBWA KULIKO MAUMIVU YA KUACHANA NAO,
YESU NI KILA KITU SHIKILIA HAPO UTAONA MAMBO 💪
Kabisaa mia mia
Kabixaaah
Kweli kabisa
Annoint napenda nyimbo zako#Usikimbilie ndoa..be blessed
True kabisa
Awesome, Kaliiiii. Keep going bro, Baraka zikufuate.!!!!!!!!!!!!!!!!
Huu wimbo unadai mtu akona hekima ya mungu do auwelewe.....asant kasolo I still love your God.
Ogopa watu ukweli wenye unadhani ni marafiki😭😭😭lovely song Mungu achunguze moyo
Wonderful..ngoma safi..yenye mafunzo tele....barikiwa sana
Mwanadamu Hana wema
Very very true
God bless you solo❣️
Kasolo hii imenifunza.. enyewe umdhaniaye ndiye siye.. nimeanza kuogopa watu
They bless you in your face and curse you when you show then your back.Their praises are short lived but they constantly fight you.
Beware of Man...that's a great inspiration.God Bless You Mtumishi
Kweli kabisa ogopa watu.Keep yo faith in God brethrens 🙏.
Ukweki watu si wazuri ogopa sana God is there for everyone
Kabisa umudhaminiaye kuwa ndiye siye...but is glory after glory
Good work daddy shine my God uplift up your ministry
Ooh yes nitaishi na Yesu,nduniani akuna wema
I can't hold my tears😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭be blessed kasolo
Nimechunguza moyo wangu nanikaamua kumpenda Mungu,wanadamu hawana wema,rafiki wakaribu alinisaliti.
Touching song😥🙏
Ogopa watu!
Kasolo to the world 🌎..sifu Bwana kabisa kaka.
👌👌👌👌Iko top sana
Kilichonipata wacha nibaki na Mungu wangu
Solo mbingu haindanganyi..umdhaniae sio niukweli.mimi na mbingu tutakuelewa maana umdhaniae ndio sie ogopa binadamu
AMEN
AMEN
AMEN
Congratulations my Son, you never disappoint. God bless you, I love you❤️❤️❤️
wow..kasolo again..thank you very much for good ministry
Nice song
Surely my brother mwanadamu hana wema tumutumikie Mungu peke
Wow congrats ogopa watu tumpende mungu.......umenikumbusha Mukwenze may is soul continue R.I.P...
Great work Stephen Kasolo,, you deserve a long life,💪💪
Wooow...it's a true song Solo na iko 🔥🔥🔥🔥sana...may GOD keep on blessing you bro
Ogapa watu, especially friends
Ni kweli kabixa kuwa Mungu ndiye mdhamini wa kweli kabixa
Amen mbingu zinene Kwa ajili yangu pia, umdhaminiye siye. Mbona uu wimbo unaniongelesha. Stephen Kasolo this is very true. You have really blessed my heart God bless you
Ukweli bro ungopa watu Mie niliwaongopa kitambo
Glory,,,Imekubalika.God bless your ministry
Honestly I like kasolo's designer... He/she never disappoints.
Hio Ngoma nimeiskiza nikalia, Kasolo Mungu akubariki sana, Mungu amekutoa mbali, keep praising him, Mambo ya dunia usiyaskize.
Big one big daddy 🔥🔥 ogopa watu!!
It's on another level go bro 🔥🔥
Ogopa watu ata rafiki yako mwogope nice song Stephen kasolo napenda nyimbo zako
Usituambie mliachana na venye tulikua tunagoja harusi. Social media in laws we are heartbroken too. Take heart
touching piece of music, I also gave someone all my heart but ended in regrets, sorrows and tears. Enyewe ogopa watu.
The king of gospel 🔥🔥🔥🔥🔥
Kwa kweli ogopa watu, aim higher Solo na uinuliwe zaidi uendelee kulitukuza jina la Bwana
Kabisa bro Kasolo umudhania ndiye siye chunguza Sana,,, do further inspection,,, congratulations kasolo
Congratulations Bro,message is clear,ogopa watu.... jitie moyo my brother mung yup mwenye hawezi tuangusha
Gospel music on other level my brother
Mimi nilikujulia tu kwa mtandao lakini nazipenda nyimbo zako Sana maana zinanibariki. Kwa kweli unayo kipawa kutoka kwa mwenyezi mungu. Aendelee kukupa nguvu ya kumtumikia
Ni kweli watu niwakuogopwa hiyo wimbo inanijenga Kwa roho sana
Honestly Steve ua a living testimony each time I listen to ua songs hakika zanipa tumaini la kuendelea kumtegemea Mungu🙏🙏🙏🙏barikiwa sana solo ua a blessing to many souls🙏🙏❤❤
Congratulations 👏, your the king of Gospel 💪💪 keep on doing God's work
Love Stephen kasolo wow
True... not all people are happy when they see you....🙏🙏🙏🙏😢🙏🙏🙏
Umdhaniaye ndiye siye chunguza moyo,umdhaniaye ndiye siye ogopa watu.mbingu zinene mema solo ♥️♥️
Finally Ogopa watu is out,,keep the fire 🔥🔥🔥 burning,, 🎸🎵🎶,,God bless you 🙏🙏🙏 brother
Kasolo you're doing hits ,,and one million subscribers lazima tufike ,,kaa ni kavyu ,,mara ya tatu kurudia hii ngoma ,,,moto sana brother
Aki mjue Mungu hushusha wenye kiburi.wacheni kiburi nawaomba.
This a fact....trust on God....he is the only one who can't live you
More grace Sir,you are the David of this generation.
We were created the same bt born differently,Ogopeni watu🔥🔥🔥
Imenigusa sana ndugu kasolo may God lift u to higher level
mapenzi kizungumkuti, umdhaniae ndiye siye ogopa watu
Ogopeni is another hit, after another. You were born to do this Kasolo!! Keep on doing Gods work! You bless my soul with each song! Great worship song! 🙌🏾🙏🏾👏🏾✌🏾
This one is on another level💥💥
Very true, akika kuna Mungu milele🙏
Hio kweli Kasolo.... Humdhaniaye ndiye siye kabisa
One thing makes me to love God is that he searches our hrts, keep trusting God brother
The music is clear... music to Another level
We remain to respect the only God...you can't trust a human being
Wimbo huu umenitoa mashozi watu so wema umuthaminiaye siye 🙏🙏
A great lesson there... Ogopa watu! Many are sheep-clothed kumbe ni mbwamwitu wamekam kukumaliza.. God ashame them.
Why am i crying😭😭😭since nikiwa mdogo nikiskiza nyimbo zako nalia😭😭na ninmatumaini nitaimba nawewe siku moja kwa uwezo wa mungu
Please see this solo😢
Touching song 😭😭😭😭😭
Wimbo Unanigusa Rohoni Mungu Akubariki Mtumish
Nimewaogopa Sana Watu hawa
Saa zingine naskizanga nyimbo zako mpaka natoa machozi 🙏🙏🙏🙏🙏