SENZO MTHETHWA MFALME WA REGGEA BADO YUPO HAI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Mzee Senzo Mthethwa, msanii wa reggae wa Afrika Kusini alikuwa maarufu katika miaka ya 90 na aliweza kunasa mashabiki hadi Afrika mashariki na kati alizushiwa taarifa ya kuwa amefariki dunia, Bado yupo hai.
    #Senzo #SenzoMthethwa #Reggea

ความคิดเห็น • 13

  • @lengachapati3728
    @lengachapati3728 ปีที่แล้ว

    Dah watu wabaya sana kumbe mtu yupo hai

  • @johnambrose7223
    @johnambrose7223 6 หลายเดือนก่อน

    Tuliokuja kujua kumbe yupo hai

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 ปีที่แล้ว +1

    Senzo aliyekufa alikuwa mchezaji mpira nafasi ya golikipa, ndipo zilipozukia taarifa za Senz0 Mtetwa kufariki

  • @stephanocornely130
    @stephanocornely130 ปีที่แล้ว +1

    Haaaaa kumbe bado mwamba yupo? Jamaa nyimbo zake n noma aisee

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 ปีที่แล้ว +1

    Tangu mwaka 1999 niliaminishwa Senzo alifariki ukitafuta habari zake hazikuwa na jibu lenye hakika nilifurahi 2021 kuisikia tena sauti yake japo haiko sawa kama zamani ila 2022 tunaendelea kuona maajabu akirudi kidogo kidogo Hakika Mungu mwema Bado tupo pamoja na Senzo kwenye dunia mashabiki wako tupo pia

  • @EliyaJoseph-pb9xm
    @EliyaJoseph-pb9xm 10 หลายเดือนก่อน

    Dube ameonewa tu kumbe

  • @alfakanchu6174
    @alfakanchu6174 10 หลายเดือนก่อน

    Yuko wapi nahitaji kumuona kwa garama yoyote

  • @alfakanchu6174
    @alfakanchu6174 10 หลายเดือนก่อน

    Yuko wapi nipo tiari kumuona kwa garama yoyote na kumfanya ainuke ushirikiano kujua alipo ili nimfikie

  • @emmanuelsosoma625
    @emmanuelsosoma625 ปีที่แล้ว +1

    This is really?

  • @giliadmrema1292
    @giliadmrema1292 3 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa nimefurah kisikia yuko hai.

  • @athumanjafar2776
    @athumanjafar2776 ปีที่แล้ว

    Hajafa kumbe

  • @livingstonekabantega
    @livingstonekabantega ปีที่แล้ว

    Huyu ndio alie sababisha lucky dube apingwe risasi kwanza angewaomba msamah mashabik kwa hilo.

  • @alfakanchu6174
    @alfakanchu6174 10 หลายเดือนก่อน

    Yuko wapi nipo tiari kumuona kwa garama yoyote na kumfanya ainuke ushirikiano kujua alipo ili nimfikie