Umasikini sio chachu ya kupata Utajiri - Misana Manyama.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Ni jamii kubwa sana ya watu ambao wanaamini umasikini au mazingira magumu ni chachu ya mtu kuyatafuta mafanikio.
    Ninaamini tofauti kidogo, kama umasikini ungekuwa ni chachu ya kupata utajiri basi masikini wote wangekuwa matajiri.
    Nisaidie kushare video hii maeneno mbalimbali ili watu wengi waweze kunufaika na masomo haya.
    LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
    #malengo #fursa #ujasiriamali #mafunzo #tanzania #biashara #daressalaam

ความคิดเห็น • 30

  • @yessemartin6164
    @yessemartin6164 8 วันที่ผ่านมา +1

    Somo zuri sana nimejifunza

  • @mahalawanamahalawana4019
    @mahalawanamahalawana4019 4 หลายเดือนก่อน +1

    Niko pamoja na wew

  • @AcrusioraymondmakombeRaymond
    @AcrusioraymondmakombeRaymond 5 หลายเดือนก่อน +6

    Baada ya joel nanauka nimehamia kwako kiukweli uko vizuri napata hamasa zaidi kila nikikusikiliza

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  5 หลายเดือนก่อน +1

      Karibu sana sana

    • @Moshy390
      @Moshy390 5 หลายเดือนก่อน

      Denis mpagaze kmcheki nae pi a

    • @MOTecnology
      @MOTecnology 5 หลายเดือนก่อน

      Me pia

    • @stanleyandrea5153
      @stanleyandrea5153 4 หลายเดือนก่อน

      Joel nanauka+misana+mpagaze +mfaume Hasan. Wanajua sanaaa mungu awabariki

  • @justinekayuti8833
    @justinekayuti8833 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dah Brother unanifungua Ufahamu Sana Mungu akutunzebuendeleee kutupa haya maarifa

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  4 หลายเดือนก่อน

      asante sana kaka nisaidie kuwashirikisha wengine kwa kushare link

  • @IbrahimDaudi-bo7ke
    @IbrahimDaudi-bo7ke 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran Mzee Wangu Unajuakufafanua Nimeanza Kukufatilia

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  หลายเดือนก่อน

      Asante sana karibu tuendelee kujifunza

  • @MOTecnology
    @MOTecnology 5 หลายเดือนก่อน +2

    Brother usije kuacha hiki unachofanya Unajua kufafanunua, Nakupenda kwa Ajili ya ALLAH

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  5 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sana kwa kunitia moyo nitafanya sasa kwa ajili ya feedback hii

    • @MOTecnology
      @MOTecnology 5 หลายเดือนก่อน

      Mungu Atuongoze InshaAllah.

  • @JohnGustaph
    @JohnGustaph 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi yako inaleta matajiri wengi sio md=nashukuru Mungu akupe afya njema

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  4 หลายเดือนก่อน

      Asante kaka, hii ni habari njema sana

  • @omarymohamedndondo1801
    @omarymohamedndondo1801 5 หลายเดือนก่อน +3

    Salute

  • @robertjaden9063
    @robertjaden9063 5 หลายเดือนก่อน

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe jamaa ni shida

  • @shaddaadkengwah8619
    @shaddaadkengwah8619 5 หลายเดือนก่อน +2

    Maisha ni kanuni lazima uweke kanuni

  • @ThomasHonorath
    @ThomasHonorath 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hata na mim nimependa San mafunzo yak

  • @allymihigo5293
    @allymihigo5293 5 หลายเดือนก่อน +2

    Good

  • @HafidhOmar-rs4ty
    @HafidhOmar-rs4ty 5 หลายเดือนก่อน +2

    Asnteb

  • @patriciadavid3684
    @patriciadavid3684 5 หลายเดือนก่อน +2

    Great lessons

  • @AmiliChikuyu
    @AmiliChikuyu 5 หลายเดือนก่อน +1

    asate

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 5 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks

  • @JustusJackson-bl5gk
    @JustusJackson-bl5gk 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka endelea kutupa maarifa na Mungu akubariki.

  • @maxmilianphilipo791
    @maxmilianphilipo791 5 หลายเดือนก่อน +1

    Exactly psychotherapist!!! Ahsntee