- 87
- 1 392 534
GACHI TV Online
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 31 ก.ค. 2018
Gachi TV Online ni channel ya kipekee unayojihusisha na ukusanyaji, utayarishaji na urushaji wa Habari mbalimbali ikiwemo Matukio, Michezo, Burudani, Siasa na Vipindi vya uelimishaji kwa jamii.
Karibu Sana, ili kuwa wanafamilia wa Gachi TV Online tafadhari usisahau ku bonyeza neno Subscribe kisha alama ya kengele, pia Share, like na Comment katika video zetu.
Kwa mawasiliano zaidi ya kikazi tupigie kwa namba 0615806116.

ASKARI MGAMBO ZAIDI YA 425 WAPEWA NONDO | KARETI KUSIMAMIA UCHAGUZI | USIGUSE HAWA NI HATARIII
ASKARI MGAMBO ZAIDI YA 425 WAPEWA NONDO | KARETI KUSIMAMIA UCHAGUZI | USIGUSE HAWA NI HATARIII
มุมมอง: 224
วีดีโอ
TAZAMA!!! MAZISHI YA GRACE MAPUNDA | RC CHALAMILA NA MWAMPOSA WASHINDWA KUJIZUIA
มุมมอง 51312 ชั่วโมงที่ผ่านมา
TAZAMA!!! MAZISHI YA GRACE MAPUNDA | RC CHALAMILA NA MWAMPOSA WASHINDWA KUJIZUIA
KAMANDA MURILO AELEZA HALI YA KIUSALAMA ILIVYO JIJINI DAR ES SALAAM
มุมมอง 14514 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KAMANDA MURILO AELEZA HALI YA KIUSALAMA ILIVYO JIJINI DAR ES SALAAM
GRACE MAPUNDA (TESSA) AACHA URITHI KWA DRANAZ | HUU NDIO UTAJIRI ALIOKUWA NAO KATIKA INDUSTRY
มุมมอง 3.8K16 ชั่วโมงที่ผ่านมา
GRACE MAPUNDA (TESSA) AACHA URITHI KWA DRANAZ | HUU NDIO UTAJIRI ALIOKUWA NAO KATIKA INDUSTRY
KIMEUMANA!!! MAKONDA NA MKURUGENZI (AUWSA) MAJIBU YA PAPO HAPO | AMJIBU WE HUOGOPI | Idara ya Maji.
มุมมอง 32214 วันที่ผ่านมา
KIMEUMANA!!! MAKONDA NA MKURUGENZI (AUWSA) MAJIBU YA PAPO HAPO | AMJIBU WE HUOGOPI | Idara ya Maji.
MCHEKESHAJI NDARO POLISI KISA VIDEO YAKE HII👆👆👆👆 AMTUHUMU ASKARI KUMTAPELI
มุมมอง 57021 วันที่ผ่านมา
MCHEKESHAJI NDARO POLISI KISA VIDEO YAKE HII👆👆👆👆 AMTUHUMU ASKARI KUMTAPELI
SERIKALI YARUHUSU KUMILIKI BUNDUKI | kwa Mujibu wa sheria | POLISI_ WAAGIZWA KUSALIMISHA SILAHA WA
มุมมอง 4.2K21 วันที่ผ่านมา
SERIKALI YARUHUSU KUMILIKI BUNDUKI | kwa Mujibu wa sheria | POLISI_ WAAGIZWA KUSALIMISHA SILAHA WA
🔴PUTIN ATUPA DONGO IPU | DKT. TULIA SIJAMWAGIZA AWAFOKEE |She said she is not a God nor an Angel.
มุมมอง 9K21 วันที่ผ่านมา
Tafadhari usisahau ku bonyeza neno Subscribe kisha alama ya kengele ili kuwa wanafamilia wa GACHI TV Online Asante.
MEJA JENERAL MBUGE AFARIKI DUNIA LEO | MKUU WA JKT | MKUU WA MKOA WA KAGERA.
มุมมอง 14K28 วันที่ผ่านมา
MEJA JENERAL MBUGE AFARIKI DUNIA LEO | MKUU WA JKT | MKUU WA MKOA WA KAGERA.
🔴HATIMAYE RPC ASHINDWA KUJIZUIA | ATOA TUSI ZITO KWA WAPUMBAVU | HUKU WANAWAKE WAKIKANA WAUME ZAO.
มุมมอง 28228 วันที่ผ่านมา
🔴HATIMAYE RPC ASHINDWA KUJIZUIA | ATOA TUSI ZITO KWA WAPUMBAVU | HUKU WANAWAKE WAKIKANA WAUME ZAO.
HUYU HAPA ALIYE MUUA ISRAELI KWA KUMPONDA UUME NA KORODANI - ARUSHA
มุมมอง 52828 วันที่ผ่านมา
HUYU HAPA ALIYE MUUA ISRAELI KWA KUMPONDA UUME NA KORODANI - ARUSHA
HABARI MPYA_BONIFACE JACOB ATAMKA MAZITO BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA | NIPO TAYARI MNIUWE | SIRUDI
มุมมอง 355หลายเดือนก่อน
HABARI MPYA_BONIFACE JACOB ATAMKA MAZITO BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA | NIPO TAYARI MNIUWE | SIRUDI
D VOICE na MBOSSO nani anatoka na YAMMY????
มุมมอง 96หลายเดือนก่อน
D VOICE na MBOSSO nani anatoka na YAMMY????
ZUCHU ATINGA MSIBANI AKUTANA NA EX WA DIAMOND, "PENNY WA MONDI"
มุมมอง 2.2Kหลายเดือนก่อน
ZUCHU ATINGA MSIBANI AKUTANA NA EX WA DIAMOND, "PENNY WA MONDI"
EXCLUSIVE : CHINO "AFUNGUKA MAZITO KIFO CHA DIDA" NILIKUWA NA NDOTO.
มุมมอง 64หลายเดือนก่อน
@Wasafi_Media @Gjestibeba@chinokidd @dplatnumz @CrownMediaTZ
TAMKO ZITO LA RPC | MARUFUKU MHALIFU KUPIGWA
มุมมอง 139หลายเดือนก่อน
TAMKO ZITO LA RPC | MARUFUKU MHALIFU KUPIGWA
MSAMAHA WA WATANGAZWA | WAMILIKI WA SILAHA BILA KIBALI WATAKIWA KUZISALIMISHA KWA HIALI
มุมมอง 740หลายเดือนก่อน
MSAMAHA WA WATANGAZWA | WAMILIKI WA SILAHA BILA KIBALI WATAKIWA KUZISALIMISHA KWA HIALI
MAJIBU YA WANAFUNZI NI HAYA | KUHUSU NDOTO NA MALENGO YAO | TAZAMA HII
มุมมอง 165หลายเดือนก่อน
MAJIBU YA WANAFUNZI NI HAYA | KUHUSU NDOTO NA MALENGO YAO | TAZAMA HII
TUKIO!! WATOTO 03 WANATEKETEA KWA MOTO BILA MSAADA MDA HUU | WOTE WA FAMILIA MOJA | MAMA YAO AZIMIA
มุมมอง 4.3Kหลายเดือนก่อน
TUKIO!! WATOTO 03 WANATEKETEA KWA MOTO BILA MSAADA MDA HUU | WOTE WA FAMILIA MOJA | MAMA YAO AZIMIA
MCHUNGAJI HUYU APONZWA NA UKARIBU KWA P DIDDY | OBAMA NA TRUMP WANAHUSISHWA | ORODHA YATAJWA!!!!!
มุมมอง 307หลายเดือนก่อน
MCHUNGAJI HUYU APONZWA NA UKARIBU KWA P DIDDY | OBAMA NA TRUMP WANAHUSISHWA | ORODHA YATAJWA!!!!!
BALAA ZITO!!! LAIBUKA CHADEMA ( BAWACHA) WAANZA KUCHOMA VITENGE VYENYE PICHA YA RAIS SAMIA | WAKIIMB
มุมมอง 3.6Kหลายเดือนก่อน
BALAA ZITO!!! LAIBUKA CHADEMA ( BAWACHA) WAANZA KUCHOMA VITENGE VYENYE PICHA YA RAIS SAMIA | WAKIIMB
SHUHUDIA | MSAJILI LAINI ALOVYOTAKA KUCHINJWA KAMA KUKU | BAADA YA KUIBA SIMU
มุมมอง 1.3Kหลายเดือนก่อน
SHUHUDIA | MSAJILI LAINI ALOVYOTAKA KUCHINJWA KAMA KUKU | BAADA YA KUIBA SIMU
HARI YA MBOWE NI TETE | MADAKTARI WANAENDELEA KUHANGAIKA | INASEMEKANA KAPEWA SUMU DAH!!
มุมมอง 1.2Kหลายเดือนก่อน
HARI YA MBOWE NI TETE | MADAKTARI WANAENDELEA KUHANGAIKA | INASEMEKANA KAPEWA SUMU DAH!!
TAZAMA!!! UZEMBE WA DEREVA WASABABISHA VIFO 11 NA MAJERUHI 20 | POLISI YATOA TAMKO KWA MADEREVA NCHI
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
TAZAMA!!! UZEMBE WA DEREVA WASABABISHA VIFO 11 NA MAJERUHI 20 | POLISI YATOA TAMKO KWA MADEREVA NCHI
TAZAMA POLISI WAJITOA KUOKOA BINTI ALIYETEKWA KWENYE JUMBA BOVU | RISASI NA MABOMU YATUMIKA MDA HUU!
มุมมอง 191Kหลายเดือนก่อน
TAZAMA POLISI WAJITOA KUOKOA BINTI ALIYETEKWA KWENYE JUMBA BOVU | RISASI NA MABOMU YATUMIKA MDA HUU!
BONIFACE JACOB KWENDA JELA TENA | HAKUNA DHAMANA | AWA MPOLE SANA KIPINDI HIKI | MAJIBU YALIMPONZA
มุมมอง 1.7Kหลายเดือนก่อน
BONIFACE JACOB KWENDA JELA TENA | HAKUNA DHAMANA | AWA MPOLE SANA KIPINDI HIKI | MAJIBU YALIMPONZA
TUKIO LA AJABU!! MWILI WAKUTWA KWENYE BUTI UKIWA KIFUA WAZI | MASHUHUDA WASEMA NA SIMU ILIKUWA KWENY
มุมมอง 14Kหลายเดือนก่อน
TUKIO LA AJABU!! MWILI WAKUTWA KWENYE BUTI UKIWA KIFUA WAZI | MASHUHUDA WASEMA NA SIMU ILIKUWA KWENY
WATU 03 | WACHOMEWA NDANI YA GARI HADI KUFA | NA POLISI YAANZA MSAKO.
มุมมอง 10Kหลายเดือนก่อน
WATU 03 | WACHOMEWA NDANI YA GARI HADI KUFA | NA POLISI YAANZA MSAKO.
SHUHUDIA POLISI WA KIKE ALICHOFANYA BAADA YA MWANAJESHI KUKATAA KUKAMATWA. HII HATARIII!!!!!
มุมมอง 585Kหลายเดือนก่อน
SHUHUDIA POLISI WA KIKE ALICHOFANYA BAADA YA MWANAJESHI KUKATAA KUKAMATWA. HII HATARIII!!!!!
Habari MPYA | MBOWE AWALAUMU CHADEMA | TURIKUBALIANA MKANISALITI | KWENYE MAANDAMANO | SIJAPENDA
มุมมอง 10Kหลายเดือนก่อน
Habari MPYA | MBOWE AWALAUMU CHADEMA | TURIKUBALIANA MKANISALITI | KWENYE MAANDAMANO | SIJAPENDA
Warudi kwny rangi nyekundu
ata mimi ningegoma mana ukikamatwa na askali wa kike anaweza akakuzalilisha mbele za watu mm akija wakiume ntatii shelia.
Kwasababu ni wanafik mno
Hakuna.raia.sasahivi.wanoimani.najeshi.lapolisi.kutokana.namatokeo.rabda.watoto.waowalowazaa.wenyewe
Nakubal makamanda
Mwanajeshi ana makosa
huyo police alijichukulia hatua kumkamata muhalifu ilikua kz ya police mwingine
Stori ya Kawaida ila umeivalisha bonge la cover hongera
Lakini aliyefaa kuja kukamata ni asikari wa kiume siyo asikari wa kike
Wange bakia waasisi.wa nchi na picha za wanyama Kila rais akiwa madarakani awkiweka picha itakua sio sawa
Ndiyo maama kamara alisi 0
Karume .mwinyi na nyerere ndiyo wenyeawe akaee kushito tumechoka
Hongera Trampo
Hongera Trampo
Barahaaa
Sasa yeye nani adi ajiweke picha yake kwenye pesa
Kila rais ata badirisha ela au
Kwenye ku act wako poa sana ila sio kwenye uhalisia
Sasa mwanajeshi amehusikaje, maana hatujasikia mkisema kama huyo kijana alikuwa mwanajeshi
Kama alifaniki kufika police sipati picha kichapo alicho pewa
Msitutanie msituletee utani nyie mafisadi nyie.kipi kichosababisha kwanza .
Huyu mwanahabari ni mchochezi hana weledi
Haipaswi kuingiliana ktka kazi
😂😂😂😂😂
Watanzania hamna elimu kwani mtuhumiwa hamuwezi mkampigia simu Aje mwenyewe AU mmtumie Barua Aje mpaka mmkamate Kuma mtangazaji
Ww pia unaye tangaza cyo mungwana kweli hii nchii imekua ya kipumbavu sana police ni walinzi we2 kweli ss ndio mabosi wawo ila awa police ndio wamekua kama wao ndio mabosi pia ss watanzania tumekua Wapole sana Shelia inalusu kweli alichokifanya huyo dada uyo cyo mbuzi kwa mtu mwenyewe alikua anamtuumu kweli tunautopolo jaman
Kimu ndugu yangu
Nimeipenda sn hii maana wkt mwingn ndio mtu anatekwa hvyo
Hiyo noti haifai kabisa mama aibadilishe
😂😂😂 nchi hii inamochezo mingi sana
Kwanin wasiweke picha ya Magufulu huyu siyo
Mara paaaap,not picha ya mama kwenye not then kwenye uchaguzi wa rais kashindwa,patam hapooooo😂😂😂
Uyo jamaa alikua sahihi
wp anaenda kukamataje akiwa mwenyewe
Unyanyasaj gan alifanyiwa nilitaka kulichafua jesh
Wao Kila sku wanazalisha raia Wala taarfa haztowi
Wwe mtangazaji ni mbwa tu
Tusiwe wanyonge kisa wamevaaa mavazi yao ndio tuwaogope tusionyeshe woge kwako mana siku zote wapo kutupa kesi sio zetu wanatufunga sana kwa makosa sio yetu
Hanahaki yakuweka pichaake ilitakiwa awekwe magufuli
Sawa
Weken ya picha ya mtetez wetu jpm magufuli ❤
Amani upendo vtawale ktk maishs yetu tuwaombe makamanda wetu
Ww jamaa ni mchochez sana yan kuna taarifa nying za unyanyasaji wa raia unashindwa kupost unakuja kutuletea huu upuuzi
We mwandsh ni mnafik sas mwanajesh amekataa asikamwatw ivi wakikushtak si utasem wanakuonea
Hii picha au kitu gani mbona sielewi
why
Nimeipenda mama oyeeee😮❤
Kumbe mazoezi
Kuna unyanyasaji gani hapo askari kafanyiwa?
Hmmm police huwa wanatabia ya kusema twende polisi kwa lengo la mahojiano ukifika tu unaambiwa vua viatu mkanda ingia ndani Yani akunaga mahojiano polisi nimeshuhudia mara mbili ni unyanyasaji tu.