Mdomo koma.. Usipende sema mambo ambayo hujapatapo kuona.. Kama MAMA yako yupo hai basi Mwombee Dua kwa Mwenyezi Mungu .. Kuna watu wamelelewa na Mama sio wao na wamewakuza na wamekuwa utasema amenyonya titi la Mama Mzazi...
Wakti kama huu tunaelekea culture ndio ulikua unatuburudisha kwel mungu akurehem kigogo wanyimbo za mahaba akufungulie mlango wa jannah naakusamehe yote
Mashaallah nyimbo zake ajab hakuna tena kama yy Allah amrehemu amueke pahali pema peponi amsamehe madhambi na makosa yake
Hajazaliwa kama Bhalo. Mola akusamehe mapungufu yako......🙏
Old is gold ALLAH akupe jannat nagheem na akusamehe alipokosea.
❤ moto usichoke
Nice from 🇸🇦🇸🇦 mzee wetu ulikuwa mtunzi kweli Allah akurehmu sote wataraji marhem❤❤
1 Nataka nyimbo
"mama wa mtu si mama, mama ni aliyekuzaa".
2. Happy birthday (mama)
Mdomo koma.. Usipende sema mambo ambayo hujapatapo kuona.. Kama MAMA yako yupo hai basi Mwombee Dua kwa Mwenyezi Mungu .. Kuna watu wamelelewa na Mama sio wao na wamewakuza na wamekuwa utasema amenyonya titi la Mama Mzazi...
Mungu awarehemu wote walotanguliya mbele za haki
Allah akulaze pema peponi juma bhalo mikipenzi wa nyimbo zako
Moyo penda usijali waelewa mambo yote nema haiko mbali palipo majaliwaaa❤❤❤❤💋💋💋
Nice song
ரொம்ப நல்லா இருக்கு
அருமை
Hsantaa bhaloo
Hiyo alikuwa rafiki wa baba yagu Mohamed yusuf bakari Muji malindi shela mugu aweremu aziweke roho zawo.peponi Amin
Allahuma ghfirlahu warhamhu waskinhu fijjannah
Moyo penda usijali waoooo bhalo kipenzi changu Allah akulehem
Leo wa kwanza bro kuiona moyo thanks kijana cha Golden voice
Karibu sana brother
Wakti kama huu tunaelekea culture ndio ulikua unatuburudisha kwel mungu akurehem kigogo wanyimbo za mahaba akufungulie mlango wa jannah naakusamehe yote
Allahuarhamhu Allah amughufirie DHAMBI zake amuweke pema peponi AMIN 🤲🤲🤲😭😭😭😭😭😭😭 wallahi naliya kwa huyu mzee nikumbuka na nikisikiza nyimbo zake
Amin amin
Allah amemjaalia kipawa. sauti. pumzi. lugha. jambo lililofanya kupata wapenxi wengi. Africa Mashariki yote.
Wapenzi wake wako hata nje ya Afrika Mashariki.... Pembe tofauti za dunia.
@@AhmedJumaBhalo hi inaitwa makumbuko ya generation
Moyo 😀nikisikiliza ii nakumbuka nyimbo ile hunitaki kunisumbua ya nini nice song
Eeeemame hunivua,,,Allah swt akuweke kwenye waja wake wema peponi Yarabb
Usivawe... Ameen thumma ameen
Amin yarrabal allamin 🤲 yarrab taqabal duaa
Africa Mashariki yote mpaka leo. hajatokea kama yeye. اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك
Shukran kwa maneno yako
🥰
Yuliya mbyeshi
Watukumbusha zamani
plz post ( hunashukurani moyo ) the best song also my late uncle used to sing alot
Usivaveee hahahaha umenigusa hapa lol
Thanks kwa kutukumbusha mbali kamwe bhalo hasaulik Allah 🤲 amrehem huko aliko amsameh makosa yk Ameen
Old Is Gold... Ameen Thumma Ameen.
Ameen rabbil alamin 😥😥🤲🤲🤲
Nice
@@AhmedJumaBhalo nice
Moyo tulia mabo hashi
Mzuri hakai
Waoo
Please bro post twalaba ya moyowangu.
U