Bwana Ahmed Juma Bhallo, Kwanza shukurani nyigi kwa kutukumbusha nyimbo nyingi za mpendwa wetu Al maruhum Juma Bhallo, mwenyezi amrehemu na ampe makazi ya salama na amani huko katika Maisha ya barzakh( الهم امين) Sasa tunakuomba usiwe watuonjesha onjesha vipande vya wimbo husika! Bali weka full album kwani watutia tamaa ya biriani kwa kutukirimu biriani lenyewe halijai hata konzi moja!!! Wahenga wamenena ukitaka kumkirimu mwenzio acha kuwa na ukarimu wa mkono wa birika, kwa sababu haipendezi aslani.
Looking for lyrics. Can't seem to understand this song... iki kiswahili iko deep kidogo... anyone who can help get the main message of the song. Asante
Shukrani
Zilizopendwa Safi. Sana jumabalo
Mshairi maarufu afrika mashariki
Allah.akurehem.
Allah amrehemu na amtanganye na wema Alhamdulilah, Wakati wetu, Ameen Ameen Ameen Yarabi shukran
Ameen thumma ameen
Amiin yaa Raabil alamii
Shukran
Bwana Ahmed Juma Bhallo, Kwanza shukurani nyigi kwa kutukumbusha nyimbo nyingi za mpendwa wetu Al maruhum Juma Bhallo, mwenyezi amrehemu na ampe makazi ya salama na amani huko katika Maisha ya barzakh( الهم امين) Sasa tunakuomba usiwe watuonjesha onjesha vipande vya wimbo husika! Bali weka full album kwani watutia tamaa ya biriani kwa kutukirimu biriani lenyewe halijai hata konzi moja!!! Wahenga wamenena ukitaka kumkirimu mwenzio acha kuwa na ukarimu wa mkono wa birika, kwa sababu haipendezi aslani.
Jamani wazuri hawakai mungu akupe janaat firdaus hakuna mwenye sauti hi tena jb mungu akupe kauli thabit?????????
Wimbo.mwema wa kuburudisha.
Mola akujalie janatul firdous
Allah amghufirie madhambi yake....... Old is gold
Napenda sana nuimbo za juma bhalo
Finally this great artiste collection is been shared . To give him the digital mileage he so deserves .. thank you ..
😥😥😥😥 Allah ampe Janathul firthaus ameen
Mpo
Nice
Thanks again for this for the uk😊
Ameen!!!!!
Tuko pamoja
Nice memory. Just greeting u my schoolmate
Allah amrahamu, amsamehe makosa yake, sirahisi kuziba pengo lake,
Thanks my friend Ahmed,and rest in peace our father
❤❤❤❤❤❤❤❤
Thank you Ahmed....Beautiful songs from our beloved late Bhalo...bless you Allah
Mungu hamsamehe
wakati wetu zilikuwa nyimbo ni Balfagih na Professor na Maulidi.
Love this ..
OLD IS GOLD
Ha!aaaa OLD IS
Uncle Ahmed Ali hapa please tuekee full songs pleaaaaaseee mjomba
Powa. She he
Looking for lyrics. Can't seem to understand this song... iki kiswahili iko deep kidogo... anyone who can help get the main message of the song. Asante
Ni kipenzi cha wapenda taarab. Sija ona tena zaidi yake. Alikua na mahadhi ya kipeke ktk ulimwengu wa taarab
How do I get full songs