Asante sana kaka, nimefurahi KUONA na familia Yako wote wako YANGA MUNGU AKUBARIKI KILA JAMBO LAKO NA KUILINDA FAMILIA YAKO MSALIMIE MKAMWANA WANGU BRO🙏🙏🙏🙏💛💛💛💛💛💚💚💚💚💛💛💛
Kah huyu jamaa kweli ynga dam mana anaonekana kabsa Yuko serious na kuipenda yanga Tena mapema kashaanza kuwarifhisha na madogo du hongera mwananchi daima mbele nyuma mwiko🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ujinga mtupu hizo ni njaa ww watoto unawapaje majina ya kampuni ili uonewe huruma au na vp siku huyo gsm akijitoa hao umepewa na mungu wape majina yenye maana Kwa huyo alie waumba

Asante broo, naipenda sana yanga
Hongera sana Mwananchi 🎉🎉🎉
Safi sana baba, watoto wazurii😂😂😂😂
Asante ndg, naipenda sana yanga hao ni wanangu
Hongera
Asante ndg
Kah huyu jamaa kweli ynga dam mana anaonekana kabsa Yuko serious na kuipenda yanga Tena mapema kashaanza kuwarifhisha na madogo du hongera mwananchi daima mbele nyuma mwiko🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante ndg, naipenda sana yanga
Kweli kaka Leo ndo ligi inaanza❤🎉🎉
Naam
Hongeraaa sana
Asante ndg
Asante ndg
Hongera kaka kwa kuipenda Yanga. 🎉🎉🎉
Asante ndg
Duh umetisha kaka
Asante ndg
Yanga rahaaaaaaaaaaaaaaa
Du 😂😂😂😂mtoto anaitwa yanga kwel yanga Raha saan
Na mwingine anaitwa GSM, ni wanangu
Na mwingine anaitwa GSM
Hatariiiii 😂😂😂😂😂
Huyu mzee hatari majina ya watu kuitwa yanga yapo mengi lakini hili la gsm yupo pekee yk
Kabisa npo peke yangu