MBINU ZA UPELELEZI(Vumbua hazina na miliki yako katika Mungu)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • INVESTIGATION METHODS IN OWNERSHIP. Apostle Mtalemwa in this lesson, explains the important steps to follow and focus on when you want to conquer and rule. We should not rush to take a title, possession or rule without doing enough to investigate what you want to own.
    Follow this lesson to discover your treasures in God and gain possession and dominion
    (swahili)
    MBINU ZA UPELELEZI KATIKA KUMILIKI.
    Apostle Mtalemwa katika somo hili,anaelezea hatua muhimu za kufuata na kuzingatia unapotaka kumilii na kutawala.
    Hatupaswi kukurupuka kuchukua cheo,milki ama utawala bila kufanya Upelelezi wa kutosha juu ya jambo unalotaka kulimiliki.
    Fuatilia somo hili kuvumbua hazina zako katika Mungu na kupata milki na utawala.

ความคิดเห็น • 77

  • @arnoldkihaga8831
    @arnoldkihaga8831 2 ปีที่แล้ว +1

    Muda wa kukopa kopa umeishaaaaaa!!! Kwa jina la Yesu Kristu wa Nazareth!!!

  • @dottosahani3973
    @dottosahani3973 3 ปีที่แล้ว +1

    Nmebarikiwa sana apostle GOD bles you

  • @lucyezekiel3755
    @lucyezekiel3755 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana Apost Mtalemwa Yesu akutunze uendelee kulilisha kanisa la Mungu amina

  • @josephmeivukie212
    @josephmeivukie212 3 ปีที่แล้ว +1

    Apostle unanipa chuo hakika,na hapa ni mtumishi nina wito,hakika unanipeleka mahali, you bless my life

    • @josephmeivukie212
      @josephmeivukie212 3 ปีที่แล้ว

      I wish nianze sasa lkn nakuwa muoga mno ingawa ninakubalika ktk madhabahu niliyopo sasa na huduma yangu inapendwa nipatapo nafasi ya kusimama,na Nabii wangu niliye chini yake naye anakipenda karama yangu na amekuwa akiniambia anataka anipe huduma mahali na alitaja hilo eneo yeye na ni nje ya mkoa niliyopo sasa arusha lkn kila nikijaribu kumuuliza Mungu anifunulie namm ikiwa ndiye aliyekusudia niende huko lkn sikuwahi kupata jibu,naomba ushauri wako je kuhani anaweza akajulishwa wito wako na mahali pakwenda pasipo Mungu kusema na muhusika?

  • @lilianluhasi5053
    @lilianluhasi5053 3 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Mungu unasema kweli katika jina la Yesu Kristo

  • @penuelfullsalvationchurch3350
    @penuelfullsalvationchurch3350 3 ปีที่แล้ว

    Naona mashambulizi makubwa juu yako yajayo kwa namna ya neema lkn ni yenye kutawnyisha kondoo wako n kunyamazisha utumishi wako kuwa makin mtumishi Ooh Jesus #tunkuombea mtumishii ....uendlee kusimama sawa na mapenzi ya Mungu maana kuna vita inaandaliwa juu yako..

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 3 ปีที่แล้ว +1

    Makosa yakifanywa zamani na wazazi kuto tupa elimu ya maisha na biashara na kuijua dini vizuri kutuumiza mathehemu ya zamani walokole mmewapika kete mbali kwa makosa yao tunashukuru kwakunipa elimu yako kujuwa vitu vingi Asante

  • @jacquelineelly6684
    @jacquelineelly6684 3 ปีที่แล้ว

    Kyala tufigwe 🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @vailethkinabo7961
    @vailethkinabo7961 3 ปีที่แล้ว

    Amen napokea muda wa kulilia umeishaa

  • @shadrackymangalachuma8779
    @shadrackymangalachuma8779 3 ปีที่แล้ว +1

    Naombamaombi kumilik uchumi

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 3 ปีที่แล้ว

    Its time to rise and shine. In JESUS CHRIST Amen

  • @josephinemwandikwa8458
    @josephinemwandikwa8458 3 ปีที่แล้ว

    I thank God for connecting me to your channel,learning more and making new steps each day,God bless you more

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 3 ปีที่แล้ว

    Nitatawala bali sitatawaliwa katika jina yesu

  • @gladysgladys7393
    @gladysgladys7393 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah wonderful message am blessed servant of God

  • @pasteurmardocheemwale2023
    @pasteurmardocheemwale2023 ปีที่แล้ว

    Wewe ni baba mtalemwa

  • @gladyssanta4656
    @gladyssanta4656 3 ปีที่แล้ว

    Wakati wangu ni sasa halleluya

  • @rihannabellion5636
    @rihannabellion5636 3 ปีที่แล้ว

    Na Amin ni wakat wangu kutawala

  • @suzanalemau6601
    @suzanalemau6601 3 ปีที่แล้ว

    Am so blessed it is very powerful be blessed man of God

  • @rachaellusava9326
    @rachaellusava9326 3 ปีที่แล้ว

    Natazama kutoka Kenya Nairobi kuanzia sasa naviteka vitu kwa jina la yesu, amen ameen, apostle nimebarikiwa sana

  • @getrudekimaro
    @getrudekimaro 3 ปีที่แล้ว

    Thank you Jesus, I am so Blessed

  • @الحمدلله-ذ7م7د
    @الحمدلله-ذ7م7د 2 ปีที่แล้ว

    Ameen meen and ameeen 🙏🙏🙏🙌🙌

  • @marthaalex5035
    @marthaalex5035 3 ปีที่แล้ว

    Ninateka na kutawala in Jesus name

  • @leahtimothy7273
    @leahtimothy7273 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @vickymahanga7734
    @vickymahanga7734 3 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @jacquelineelly6684
    @jacquelineelly6684 3 ปีที่แล้ว

    Hakika nguvu ya Mungu itashinda katika maisha yangu.

  • @annekangaikathuni9523
    @annekangaikathuni9523 3 ปีที่แล้ว

    amen

  • @amosjeremiar8006
    @amosjeremiar8006 3 ปีที่แล้ว

    Ameen apostle

  • @anamarykasimbazisa5998
    @anamarykasimbazisa5998 3 ปีที่แล้ว

    Nace pastor

  • @sharonnasambu6753
    @sharonnasambu6753 3 ปีที่แล้ว

    Wakati wangu ni sasa hivii

  • @agizanamariachina9456
    @agizanamariachina9456 3 ปีที่แล้ว

    Kuanzia sasa natawala katika jina la YESU.

  • @geofreysimpepo9945
    @geofreysimpepo9945 3 ปีที่แล้ว

    Amen,amen,amen mtumishi Mtalemwa.

  • @esterntandu1999
    @esterntandu1999 3 ปีที่แล้ว

    I receive

  • @barnabazawadi5686
    @barnabazawadi5686 3 ปีที่แล้ว

    Me Niko Amerika, ninakuelewa sana mtumishi!

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 3 ปีที่แล้ว

    My mentor.

  • @emmasidi9446
    @emmasidi9446 2 ปีที่แล้ว

    oooh yes wakati wangu ni sasa

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 3 ปีที่แล้ว +1

    PRAISE GOD 🙌
    Natawala sasa!!

  • @sarahwaswa5819
    @sarahwaswa5819 3 ปีที่แล้ว

    Natawala kwa jina la yesu👏👏

  • @episonfelician7670
    @episonfelician7670 3 ปีที่แล้ว

    Apostle Nakupata sanaaa kwa Mafundisho yako

  • @franciscambatha4314
    @franciscambatha4314 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen .this is my time to rise and shine Almighty oh Lord I fixed everything upon you.

  • @gloriatoo22
    @gloriatoo22 3 ปีที่แล้ว

    Wah...wanaokosa hii mahubiri anakosa hekimahasa...kwa upande wa ndoa kukimbilia boma usiyojua

  • @Mama-A
    @Mama-A 3 ปีที่แล้ว

    Kenya niko hapa

  • @evamwinga921
    @evamwinga921 3 ปีที่แล้ว

    Amina Mungu akubariki nimepata mafundisho mazuri sana, nitayafanyia kazi

  • @mauwashomari8160
    @mauwashomari8160 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki

  • @rosemarymallya4458
    @rosemarymallya4458 3 ปีที่แล้ว

    SOO SOO DEEP🔥🔥DIPILIZAA📌🔥📌🔥

  • @casmiralfred3299
    @casmiralfred3299 3 ปีที่แล้ว

    Natawala sasa.Jesus Nation.Glory to God

  • @fgkl8200
    @fgkl8200 3 ปีที่แล้ว

    Powerful am blessed may God lift you to another glory and more grace to serve God's people nimefunzika kweli

  • @solomonkivuyo7904
    @solomonkivuyo7904 3 ปีที่แล้ว

    @Apostle Mtalemwa Bushiri ,Ubarikiwe sana,I believe to do ,and this is another turning point for me.

  • @feycharles1995
    @feycharles1995 3 ปีที่แล้ว

    Amen baba🙏

  • @godliverkaseko4221
    @godliverkaseko4221 3 ปีที่แล้ว

    Amen apostle ni wakati wangu wa kutawala

  • @nanapega3908
    @nanapega3908 3 ปีที่แล้ว

    From paris présente congo end burundi

  • @violethgaspar7674
    @violethgaspar7674 3 ปีที่แล้ว

    Amen ni wakati wangu wa kutawala

  • @jacquelinenyange5549
    @jacquelinenyange5549 3 ปีที่แล้ว

    Powerful. Thank you Apostle

  • @mundiajamesfurahia477
    @mundiajamesfurahia477 3 ปีที่แล้ว +1

    Hi munda wagu wakutawara nisa niombe

  • @krafydrafy7854
    @krafydrafy7854 3 ปีที่แล้ว

    So powerful... HALLELUJAH

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 3 ปีที่แล้ว

    Salaam toka Mwanza 🐟

  • @happymnanka1642
    @happymnanka1642 3 ปีที่แล้ว

    Niwakati wangu wa kutawala

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 3 ปีที่แล้ว

    Wewe mkuu wa nguvu za giza unayetawala eneo langu la kazi nakunifanya nikose amani ninakufunga na kukuangamiza katika jina la yesu

  • @rosemarymallya4458
    @rosemarymallya4458 3 ปีที่แล้ว

    God thank you for these LEVELS🙌🙌🙌HIGHER TO THE HIGHEST 🔥🔥

  • @VICTOR-ul1lo
    @VICTOR-ul1lo 3 ปีที่แล้ว

    amen, asante my mentor

  • @pascaledward295
    @pascaledward295 3 ปีที่แล้ว

    Mtumishi kumbe upo mbeya semina ipo sehem gani tunakufatilia vyema tunatamani tuwepo

  • @lulumwenda6922
    @lulumwenda6922 3 ปีที่แล้ว

    Thank you Chief, I receive

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 3 ปีที่แล้ว

    Naomba nijue maana ya walokole.nimesikia prophet s s rolinga akitamka tena hapa Nairobi. Please

  • @AIRINIjimy2004
    @AIRINIjimy2004 3 ปีที่แล้ว

    Amen,🙏

  • @georgemallya4311
    @georgemallya4311 3 ปีที่แล้ว

    Tumeshakumic huku dar baba tunaomba tujue unarudi lini.

  • @marychege1473
    @marychege1473 3 ปีที่แล้ว

    Namini ni wakati wangu wa kutawala,nikiwa kenya

  • @mauwashomari8160
    @mauwashomari8160 3 ปีที่แล้ว

    Wakati wangu ni sasa wakutawala kupitiya jina layesu

  • @samuelemahire9405
    @samuelemahire9405 2 ปีที่แล้ว

    Apostle hii diyo inatuuwa hasa sisi warokore? hatu pelelezi

  • @lugunyalehenrymichael399
    @lugunyalehenrymichael399 3 ปีที่แล้ว

    Niliwahi kuona maono kwa njia ya ndoto nipo kanisani kwako na nikawa nasubiri kupata nafasi ya kuimba maama mm ni mwimbaji na ulikua madhabahuni unakalibisha waimbaji ulipo shuka kunajambo ulisema nami lakini nilipo amka nilisahau

    • @davievonzelewisky1552
      @davievonzelewisky1552 3 ปีที่แล้ว

      Muombe Mungu, Ni Mungu pekee awezaye kutukumbusha ndoto zetu maana Ni yeye anayetupatia ndoto hizo

    • @lugunyalehenrymichael399
      @lugunyalehenrymichael399 3 ปีที่แล้ว

      @@davievonzelewisky1552 amen

  • @jacquelineelly6684
    @jacquelineelly6684 3 ปีที่แล้ว

    Kyala tufigwe 🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @fridahkn6193
    @fridahkn6193 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @hellenwanyama6608
    @hellenwanyama6608 3 ปีที่แล้ว

    Amen

    • @kajiamsangi271
      @kajiamsangi271 3 ปีที่แล้ว

      Napokea kutawala Mnazi lushoto