Ali Kiba mtu wangu tangu zamani...huyu ndio mfalme kimuziki hapa Africa ya mashariki...I'm Rwandan and Kiba niko nae tangu muaka 2006, wakati nilikua badoo niko shuleni secondary. Ana kipaji kamili tena kamili. I'm a die-hard fan!! Keep it exception Kiba...ni wowe number1!
This Alikiba's new song is like a musical love potion - his lyrics are so sweet that even diseases contemplate taking a break when he sees his crush. "Moyo ungekuwa na kioo, ujione mwenyewe" is the kind of line that makes the heart say, "Mirror, mirror on the wall, who's the lovestruck of them all?" It's as if his love is a saxophone serenade that even mosquitoes pause mid-bite to appreciate. Alikiba, turning heartache into harmony and making illnesses second guess their priorities - now that's a prescription for a good mood. You've got a dedicated fan here who's dancing to the rhythm of your talent every time!
Unique Talent, mr King Talanta, umeua verse zoote mzee, simple chorus, fantastic song, good production from Mocco Geneus(fantastic saxaphone, good house beat , good vocal arrangement, good keyboard, beautful meleody), Kings music on top again, 2024 anthem….kila la kheir Sultan/Emir/Leader/Chifu/Mfalme KIBA
Rei continua sendo rei bom trabalho, á África agradece ter privilégio e benção de ter um músico compositor como King kiba. Aqui em mozambique te amamos muito. Parabéns pelo seu trabalho musical!
YoH Ali im going to play this song for my beloved hubby usiku😍🥰🥰..this is such a beautiful song Masha Allah ..."Moyo oh ungekua na kioo ujionee mwenyewe.....haloo nakuita my love" Oh I love this song .....shurkaan for this beautiful song..I think this is my 10th time replying this song❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥
Alikiba unaifikiliaje Ngoma hii Kali sana Tena sana ltolee video mwanetu utufulaishe mashabiki zako
Safi sio kila siku miampiano ww fundi king wamziki yeee baba
Ali Kiba mtu wangu tangu zamani...huyu ndio mfalme kimuziki hapa Africa ya mashariki...I'm Rwandan and Kiba niko nae tangu muaka 2006, wakati nilikua badoo niko shuleni secondary. Ana kipaji kamili tena kamili. I'm a die-hard fan!! Keep it exception Kiba...ni wowe number1!
Nyooooh alo
Hata na wazazi wako sebleni unaza sikiliza hii ngoma yenye viwango vya "TBS",,,hakuna tungo tata yenye kiashiria cha tusi!🔥🔥🔥,,@kingkiba
namkubali mwamba saana,,,much love from kenya 🇰🇪
This Alikiba's new song is like a musical love potion - his lyrics are so sweet that even diseases contemplate taking a break when he sees his crush. "Moyo ungekuwa na kioo, ujione mwenyewe" is the kind of line that makes the heart say, "Mirror, mirror on the wall, who's the lovestruck of them all?" It's as if his love is a saxophone serenade that even mosquitoes pause mid-bite to appreciate. Alikiba, turning heartache into harmony and making illnesses second guess their priorities - now that's a prescription for a good mood. You've got a dedicated fan here who's dancing to the rhythm of your talent every time!
th-cam.com/video/6VA-oLqU_JM/w-d-xo.htmlsi=PbDvAtrp_2BCdLtJ
This is the most appreciated reaction to this song...I feel your heart man 😂❤
King never give throne while he's still alive i,mfalme wetu bado yuko hapa.much love our king kiba...love from Rwanda 🇷🇼
Unique Talent, mr King Talanta, umeua verse zoote mzee, simple chorus, fantastic song, good production from Mocco Geneus(fantastic saxaphone, good house beat , good vocal arrangement, good keyboard, beautful meleody), Kings music on top again, 2024 anthem….kila la kheir Sultan/Emir/Leader/Chifu/Mfalme KIBA
Ali kiba we atarii unavyo lalamika iyo sauti balaa
Ngoma kali sana 🇰🇲 comoros tuna kuamini sana bwana m'falme 👑
Alo🔥💯😎💫⚡🎵🔥🎵🔥
Kiba ameamua kutufungia mwaka na bonge la mziki. Let's bow to East African King of Music. Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤🇰🇪🇰🇪❤❤🇰🇪🇰🇪
Hiii Ngoma wallah Kama king umeandikiwa alokuandkia Moja kw Moja pepon😂 na Kama umeandka mwenyw ata mwakan inshallah sikudai ngoma yoyte😂
Kuna ngoma nyingine trh 30 hy ndo funga mwaka
@@Shaibuchinde-mn1nw ngoma ndio hii ya mwisho
Niliwah kuandka king atatoa ngoma mbili tu funga mwaka
@@Shaibuchinde-mn1nw wacha tuingoje
We KING KIBA UMEPIGAJE HAPO... This Guy He Deserves More Than Overrated He Is Unique. Salute
Waaaaaa alikibaaaaaa my mentor my idol on this again 🔥🔥🔥🔥🔥
I love kiba so much 🎉
Top Top KIBA👑❤
ALO KING KIBA
Ngoma kali sema unge iachia mwanzo wa mwaka inge kuwa good brother one Love ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
"Yebabah only one king. Bana kibaaaaa
Naaminia sana bro ata wakuje vp lkn utabaki kuwa king bro salute sana
Oya hatuhitaji hizo jingle bells zenu goma la Christmas tayari tushalipata huku🔥🔥🔥
Jamaa kaamuwa
Leo mm wakwanz naomben like zenu kwa tunao mkibari kibaa
Nakupenda kiba wangu weee unajua mpaka unajua tena
Una sauti tamuuu uwiiii💕🌹💞💋💋
Unyama ni mwingi🔥🔥🔥🔥💪
Never seen a muscian mwenye ako na utulivu katika mziki kama KING KIBA ......ONLY ONE KING EAST AFRICA
Gonga like Kama unaamini kwamba King KIBA ndo Mfalme Wa Hizi Kazi 👏👏👏
Alo Alkiba ❤🎶🎧💃💃👌👌👌👌
Undisputed king of bongo flava.
Ngoma kaliiiiiii
#KingKiba ameamuwa mwaka huu hakuna kupoa kabisa. Twendeeeeeee
Mfalme mwenyewe kwenye ufalme wake
King Always 🤴 Hili Goma La Kufungiya Mwaka Tu , I'm Proud Of You My King 🤴 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kiba noma auwa sana
King never disappoint lyrics ingine tam sana❤
Kiba una baya❤❤❤
Umetisha
Sempre em primeiro lugar meu rei Kiba, estamos a fechar o ano em grande kings músic para sempre 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
King ni mmoja2 kwa africa mashariki na kati jamaa linajua sana halafu limetulia2
DONT EVER COMPARE ALIKIBA WITH ANY OTHER ARTIST IN E.AFRICA.....KIBA IS SOMETHING ELSE....BIG UP KING
❤beutifully song
KING BEFORE,KING AFTER KING ALWAYS🎉🎉🎉🎉
SWEET MELODY MUCH RESPECT KING
Weeh!bonge la Ngoma.
Happy new year to you all! Big up to you King of music! ALIKIBA
Alikiba nakupenda Bure, uko juuu aiseee
KING ALWAYS 🤴 HILI NI GOMA LA KUFUNGIA MWAKA
th-cam.com/video/QcB4lvgqEU0/w-d-xo.htmlsi=s3r4dhh6NVrejp8x
@alikiba#th-cam.com/video/QcB4lvgqEU0/w-d-xo.htmlsi=s3r4dhh6NVrejp8x
Huyu ndio king imself, yule wa Mdogo wangu, shamba, kalim, sabrina, hadith, njiwa,........ Umetisha
Sauti Dio uniua❤❤
kb umeupiga mwing kwagoma hiiloooo❤❤❤❤❤
🇨🇩penda sana wewe king
Uyo mtu atali sana nyimbo zake nzuri unasikiliza ata ukiwa nawakwe zako safi king kiba
Ngoma ya kufungulia mwaka 2024
We 👑 kiba umepigaje hapooooooo
Rei continua sendo rei bom trabalho, á África agradece ter privilégio e benção de ter um músico compositor como King kiba. Aqui em mozambique te amamos muito.
Parabéns pelo seu trabalho musical!
Ngoma kali
Nataka like za watu wenye kumupenda King kiba kama mimi
Huyo ndo king hakun kama kiba
@@SmilingDalmatianPuppies-gx2uv🎉🎉
King ❤
Hivi tukisema hakuna kama 👑kiba munabisha
Bisheni sasa 🎉🎉🎉🎉💐💐💐
Kali sana
This is more than a song, lots of love and respect from Kenya #King Kiba
Weee King Kiba , umepigaje hapooo😇
Ma Shaa Allah, nice song yn
Jiwe la mwaka noma Sana kinq
Eu adoro você ali kiba 😭❤️🇲🇿🇲🇿
Umetisha sana huyu ndo KING KIBA ngoma kali sana
I think Alikiba deserves music D'or
Unyamaa
Alikiba mwana kuritafuta❤❤❤❤❤
King wa mapenzi
King 🤴 hiiii ngoma umetishaaaaaaaaaaaa haki ya munguuuuu we ni zaidi ya msaniiiii hapa bongo
Ngoma iko juu sana walai🎉
YoH Ali im going to play this song for my beloved hubby usiku😍🥰🥰..this is such a beautiful song Masha Allah ..."Moyo oh ungekua na kioo ujionee mwenyewe.....haloo nakuita my love" Oh I love this song .....shurkaan for this beautiful song..I think this is my 10th time replying this song❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥
Ngoma kali sana
This is Magical Guys. Lyrics and Sweet Melody 🎶. True King😂😂😂
Wewe mufalme nakubali
King Kiba is a legend himself
Asanteee sana King👑 ❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
King kiba you’re my favorite artist in the world 😍 I love you from Congo 🇨🇩 may god bless your work 🙌
Yaani umenikosha sana kaka mkubwa
king always the king congratulations big up to you from people of kenya😄
Congratulations King kiba ngoma nzr nakuona mbali mfalme
Napenda sana voice yako kabixa wewe King kabixa 🎉🎉
King,,,love kutoka Kenya
always on top King 🇲🇼🇲🇼🇲🇼
Wow Alikiba king of bongo
Always king is fire 🔥 another hit in town
KingKiba Ufalme ni wako milele
What a masterpiece ❤😊❤king 👑 kiba ...king of bongo 🎶🎵
Wivu umewa ingiya mungu kakuonesha ishara ndege wanashangiliya halo nakuita my love king
You know the meaning of music my bother! Big up! I appreciate your work always you done
Hongera san king kiba
This is not a song.
This is an emotion.
Hot song❤❤ alikiba unasauti nzuri mwaya...
The Bongo Master, Respect King🔥🔥🔥
Anakubali sanaaaa✌
Alikiba wa Aje...! Ndo yupo humu ndani ngoma kubwa sana hii na itafanya vizul katka soko la dunia pamoja na ndani 🔥👑👑
Unyama sanaa
Love in air
Alikiba vocally no one like him in bongofleva 🎉❤
Yeah Yeah
King 👑👑 ni mmoja tu kazi nzuri bro 🔥 🔥🔥🎤 🎤🎤
Wewe ni maarufu kwetu Congo kila kona wimbo zako
Congratulations 🎉🎉🎉KING 👑🔥🔥🔥🔥🔥Keep up the good work 📌
Mwaaaaambaaaaa huyoooo
Quality is Quality. Zimbabwe 🇿🇼approves
#king
The chorus 🎉❤❤
Kiba tunakudai Goma moja.... La amapiano tuliliskia tunalisubiria kwa hamu
You killed it king kiba