The difference between your show and other tanzanian shows is the amount of attention you pay to the quality of videos you shoot. Excellent lighting and editing, great sound, and targeted at the interview and showcasing your sponsor's product. Investors kama wanajua biashara wamiminike hapa tu. Love from 254!
Kama sikosei nadhan atakua ni x wa Aslay uyo. Jiko litanogaje. Leo nimewahi likes zenu tafafhali. Pia madam wema tuletee na diamond platnumz hapo tunatamani sana

Wema kipenzi chetu, you looks beautiful as always baby ♥️♥️♥️💕💕💕
Nakupendaaa wema kutoka kenya
Kama sikosei nadhan atakua ni x wa Aslay uyo. Jiko litanogaje. Leo nimewahi likes zenu tafafhali. Pia madam wema tuletee na diamond platnumz hapo tunatamani sana
Wenyewe oggiii
Wema kazuri kazuri kazuri Tena. Baki hivi hivi E. African sweetheart 😍🇰🇪❤️
Wema & Tessy ♥️♥️💋
Wapenda mlenda tujuane😋😋😋😋😋
Beautiful Wema ❤❤❤
Namaji mimi nipo Burundi naomba sana muwe mnatuwekea na sisi wa TH-cam video nzima...
U can pay thru her app wema app
Wema ana viswali vitam😅🥰
My wemaaa❤❤❤
Nakupendaga tu
Jameni hamisa na diamond......
Tuletee Diamond jaman kam kupika ajui atamayai Nimewamiss pamoja 😢❤
Wallah tena hata mimi natamani kuwaona
Weeee acha unataka Zari aje a home jiko la Wema? Huyo diamond ni asije na asije tena🤣🤣🤣
@@maramara5621 🤣🤣
ONGera wema mimi nipo Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩
Nakupenda chimama
❤❤❤
wema apunguze kingereza kwenye show anawapa watu mtihani jmn
Mnyiramba aache kupenda mlenda
Umeonaaa eeeh 🤚
Ni binti mdogo sana . Lakini mume wake aslay akija apo utabaki nae
Nice
U look stunning nowadays
Next time mlete hamisa mobeto
Sauti kama katotori❤❤❤❤❤
My queeen W ♥️♥️♥️💋♥️♥️♥️
😍😍😍
Wem😘😘
sepenga
Tule na Diamond aje atupikie na yy, chochote tumewamiss mkiwa pamoja
Naomba ukiwa unapika usishike nywele na nguo kwa usafi Zaid maana umeshanawa mikono
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Manywele wazi. Ndo wapishi gani
Wapishi wa mchongo
Sipendi ugali labda uweke fresh milk na butter ukapikia ndani ya ugari nitakula kwa mboga yeyote
Siku ukimleta Diamond hata vocha ntakopa
Chimamy
Hizo nywele sasa kila saa zinashikwa na pamoja kunawa mikono
Manyele hayo sasa kila wakati kuyagusa,lazima chakula kitakuwa na manywele
She looks like a baby
Sipendagi Ugali labda uwekwe chunvi ndy ntaonja kidogo🤣
🤣🤣🤣Na chumvi tena
@@زينبعليعبدالله-ز3س Toky lini M Zanzibar na ugali
Alafu na ndimu kidogo
@@sharifabahar9905 Ndimu tena
@@ruwaidaal-ismaily9099 ndio yani mtamu atari
Tunamtaka Wolper na Richi @wemasepetu
Asije akamwiba rich uyu haelewek zoa! zoa! Uyu
Sauti kama katitoriiii❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤