Ila hapa wangetafuta uhalisia yaani hapo kwa mzee Simba alitakiwa mtu ambaye Ni mkristo ingebamba zaidi hahahahah msikie mzee Simba eti choma choma chomaaa😂😂😂
Mii niseme huyu dada alitumwa aka lipize kisasi basi naomba usifanye hivyo zaidi ya kuomba mungu kwani haikua dhamira yako kufanya hivyo maombi dada omba ukiwa hapo kazini basi muhusishe mungu kwahilo huyo alikutwa asahau nauedelee nakazi
Jmn if u believe in God say hi nawapenda saaana nyote ❤️❤️🇰🇪🇸🇦♥️🥰
Hiiii movie nimetokea kuipenda mno natamani ata isihiche napenda nijitambulishe kwetu 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🥀🌹🌺
Big up Sana jamani muliigiza vizuli Sana naomba like kama hautojali👏👏
Yes wakenya nimewatangulia leo tujuwane hapa❤❤❤
Zakayo massive
Zakayo must go maana zile tabia zinaendelea kwa hii movie ni tabia za zakayo😂😂😂😂anyway much luv from 🇰🇪
😂😂😂😂😂😂😂😂
shetani. ashindwe katika jina la yes ameni
Mwenyenzi Mungu yupo pamoja na nyie kwenye swala lakuua kweli
Nina mpenda sana huyu yesu hajawi kushindwa Na jambo lolote kazi nzuri mzee simba
Nampenda sana mwana . Halafu naomi arudi basi tumemmisi
Mbona mmebadilisha mganga jamaniiii 😂😂😂😂😂 kazi imeanza upyaaa duuuuuuuuh 😅😅😅😅😅😅
Ila dada na kaka siwame chakazana😂😂😂😂sana jamani mana kila mda shuli
Mdabanguroo tuu😂😂😂😂
Mzeee Simba unajuwa hadi unakela❤❤❤
Mungu awalinde wote mnaotazama hii movie amen🙏
Mzee simba angekuwa anahubir namuona live ningecheka aisee. Uchungaji kazi kweli 😂😂
Mzee cmba pastor anatoa maombi aibu naona mie😂😂❤
Teketeza moto wa Jehanum baba 😮, muwe serious kidogo 😅
Aki wakenya 😂❤😅😂
Mbwa shetani 😀😀
Yaani mzee simba kuwa pastor wala haikupendezi 😂😂
Nzuri sana 🌹🇹🇿
Mwenye kiti bado hajaiva uigizaji anaongea mpk pressure 😅😅, ila pambana mdogo mdogo tu utafit
😅😅
Mungu abaki kuwa mungu tu Siku zote
Waaah na hii ndio asili ya shetani kawaida yake hakubali kushindwa
Hongeren napenda movie zenuu Wana comedy plus
Chezea maombi ya mzee simba 😅
Sema mzee simba kuigiza past imekukataa mana mwislam sana
Kabsa
Mzee simba ni muislam?
@@LucyPeter-sp6ez kajitahidi
Kwani mzee simba ni muislamu?
Sasa mwenyekiti mbona kakimbia 😂😂Suzi ana mimba ya beby kaka
😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉shetani yupo kazini
Mzee simba umejikakamua jamani daaah🎉🎉🎉
Yaani hafananii kabisa kuwa pastor 😂
Ila hapa wangetafuta uhalisia yaani hapo kwa mzee Simba alitakiwa mtu ambaye Ni mkristo ingebamba zaidi hahahahah msikie mzee Simba eti choma choma chomaaa😂😂😂
Kazinzuri sana
Mwenyekiti Imani yako ni ndogo 😂😂😂😂
@@fatuma6011 🤣🤣
Kwa imani tutashinda uyu shetani🙏🏼
𝐛𝐞𝐥𝐢𝐞𝐯𝐞 𝐧𝐢 𝐆𝐨𝐝 𝐬𝐚𝐲 𝐀𝐦𝐞𝐧 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 𝐧𝐚𝐰𝐚𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐒𝐚𝐧𝐚 ❤❤❤❤
Lkn kwenye hii movie mmechemsha sana watu wangu
Kazi nzuri watching from Kenya 🇰🇪
Mungu mbele katika kila jambo
🎉🎉🎉❤❤❤
Wa kwanza naombeni like🎉
Courage ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mii niseme huyu dada alitumwa aka lipize kisasi basi naomba usifanye hivyo zaidi ya kuomba mungu kwani haikua dhamira yako kufanya hivyo maombi dada omba ukiwa hapo kazini basi muhusishe mungu kwahilo huyo alikutwa asahau nauedelee nakazi
Mimi ninachoona akamushilikishe baba mwenye nyumba rabda watapata suluhu
Big up sana ❤
Nice movie ❤❤❤🎉🎉
Shetani kaitawala dunia😢😢😢😢
Jamani 😢
Wowo🎉🎉❤❤shetani npo mapema
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hii movie ni nzuri sana kiukwel
❤❤❤❤
Shetani muchenzi sana 😅😅😅
Uyu pasta apendezi kuigiza dinii yetu akiwaga sheee ndo anakuwa mwaa
Wap kelele z mzee simba
Sasa mtu kaombewa kidogo kidogo tuh,,,, lmani ndogo sana,,,,
Weeeeeee noma sana ebu n mm leo munipee like jameni 😢hila sijaona naomi mbona🤔🤔🤔
Kazi mzuri bhailam
Apo kwenye maombi mmmm😢😢😢😢
Wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮 naomb link 3
😅😅😅😅ushaka uzijanehe?😅😅
Mzee Simba hujapendeza upasta
❤❤❤❤🎉🎉🎉😂
Heee mimba tena😢😂
jaman mm nimewahi mtu wa shetani maana mm napenda kuwa upande wa jambazi
❤❤❤❤😂😂😂
Na enjoy Tu kutoka united states Nipe like zangu ❤❤❤
😂😂😂😂 mgaga kafanya yake😂😂😂😂
Jamani yangu niagalie shetani sijawai mulata like
hujawah kupata au mulata😂
Nimewahi Leo jmn mauwa yang
😮😮😮😮
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Unyama ✊
Tangu niangalie hii movie sijapata like
Hii movie ina mafunzo sana isee 😢
Wakwanzaaaa🎉🎉🎉🎉
Amosathuman npitie nmekupitia pia ✅✅✅
❤
Kipipa amekuwa handsome siku hizi alafu msafi
Alikua mchafu?😂😂
@@aishaomar2287 sijamaanisha alikuwa mchafu ila sasaivi anavaa vizuri sana,piya nywele zake amezisafisha vizuri
Mbona mganga wa seoson one sio huyu seoson two inakuaje hapa??
Changamoto hutokea
Mchungaj wa mchongo
Nice
😂🎉🎉🎉
Huyu mganga huyu anaboesha nae
Npitieko 😂😂
Like zenu please 🙏
😂😂😂😂😂ivi laki mbili za TZ Kenya ni ngapi😂naona nitaamia uko
10k tu
Duuh shetani wewe
❤❤❤❤
❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤