I personally appreciate almando sana kwa mawazo yake, anaona mbali na anafahamu music. Pia kua mkweli kwa wasanii, maana ni upendo alokua nao kwa wale anowapenda. Na kuwa na ujasiri huo bila yakuwa na hofu yakuchukiwa ni huge skill si kila mtu anaweza kujitolea kuwa mkweli. Much respect 😊
Huyu saraphina, mtaftieni kazi nyingine au kipindi kingine. Kumkatisha mchambuzi kuchambua au kujibu swali kwa kumpandishia swali tofauti ni kuharibu mjadala. Muondoeni kabisa hafai
Sarafina mchache sanaa kwenye vitu vya mziki hujui unachouliza na hata ukiuliza huna uwakika na unaforce upewe jibu unalotaka EL-MANDO akikurudishia swali huna jibu unajng'atang'ata bado sanaa endelea kujkaza
My dia Sarafina next time mpe mtu uliyemuita nafasi ya kuzungumza,uliza swali fupi kaa kimya best, pia don't interrupt unnecessary,jamaa ana vitu vingi vya music ila umemkata sana,for the kove of Digital Media ❤
El Mando uko sahihi sana lakini Sarafina ni kama anataka kuku fanya ukubali Harmonize najapo msani wake kiukweli hafanye vizuri. Hata kwa tano bora mwaka 2024 hayupo kwasababu utataja Diamond, Marioo, Zuchu, Mbosso, Chino, Rayvanny, Alikiba, Jux,… another thing you can’t compare Diamond to any artist in East Africa right now. That’s a fact not a matter of argument.
Kiukwe ukiwa shabiki lazima umu maind huyu mtu...hasa ss tunaempenda hamo maana hua anamponda sii kwa kumkosoa na harafu kwani kakosea wapi...ye mwenyewe mbali alikuenda labda Kenya.. huwezi hata kumhoji mzambia kwa kingeli..lakini kuponda jitihada za watoto waliyokulia mtaani..we unafkili ni rahisi kufika walikofika
Kama Mimi nina ma Ngoma mengi sana Tena nzuri Kweli katika Kiswahili, kingereza, Kiswahili Na kingereza ila Mimi sitamani kuwa Mwana mziki, tatizo ni Nani anaweza nisikiliza nimupe Tu Ngoma moja Tu,apime Tu then he'll come back to me and ask me what's next. Kindly fikisheni habari Kwa wasanii wakibwa, tunazo ma Ngoma makali kinoma.
Dogo katoka mbali kupambania brànd yake mfano ile story ya clouds na mond , Ruge alimtaki msanii mmoja wa WCB (harmonize) akapige show bure mondi akagomea kuwa hapa ni biashara mambo za bure hakuna ndio ugomvi ukaanza hapo
Elmanda yuko very objective..but the lady yuko somehow biased..kuna namna ni kama hamkubali diamond n she's forcing Kiba n harmonise to be on the same level with simba..sadly diamond is way ahead..kama ni mbio atakua ashawazunguka mara kama kumi..
I personally appreciate almando sana kwa mawazo yake, anaona mbali na anafahamu music. Pia kua mkweli kwa wasanii, maana ni upendo alokua nao kwa wale anowapenda. Na kuwa na ujasiri huo bila yakuwa na hofu yakuchukiwa ni huge skill si kila mtu anaweza kujitolea kuwa mkweli. Much respect 😊
El mando anajuwa muziki kabisa nakubali bigi❤❤
Leo nime Shiba sana maarifa ya music. Asante sana jamani
Brather elmando anaeshima sana mi Na muamini toka mwanzo.
Uyu kijana el mando ana akili saana ya uchambuzi,
Siyo mwaka wa 2024 Tu, Toka DIAMOND PLATINUMZ atoke Alikiba Iko chini sana Sana sana
Elmando anaakili kubwa sana👍
Wa nne jamani ,like 4 zinanitosha😂😂😂
Nionee likee
Upo vizuri elmando
Nikweli brother elmando
Huyu saraphina, mtaftieni kazi nyingine au kipindi kingine.
Kumkatisha mchambuzi kuchambua au kujibu swali kwa kumpandishia swali tofauti ni kuharibu mjadala. Muondoeni kabisa hafai
Safi Sana kaka wambiye
Elmando🇨🇩🇨🇩❤️🔥🔥🔥
SARAFINA mshukuru sanaa EL-MANDO yani kajitahd kuziba makosa yako yani mchache sanaa
Siku nyingine usimuite mmoja wawe waandishi wote wakubwa then ndy mjadala unaweza ukawa mtamu
kibahasha chamondi kimemtuliza elmando
google iyo
Ilaa muhimu kiba apige mziki kibongo bongo na mondi apambane njee maana hapa tayari amekalisha
Sarafina mchache sanaa kwenye vitu vya mziki hujui unachouliza na hata ukiuliza huna uwakika na unaforce upewe jibu unalotaka EL-MANDO akikurudishia swali huna jibu unajng'atang'ata bado sanaa endelea kujkaza
Kichaaaaa huyu 😂
My dia Sarafina next time mpe mtu uliyemuita nafasi ya kuzungumza,uliza swali fupi kaa kimya best, pia don't interrupt unnecessary,jamaa ana vitu vingi vya music ila umemkata sana,for the kove of Digital Media ❤
Facts🔥🤝
Kiukweli kwasasa hujawahi kumkosoa MOND .
Kaziyake kumponda harmonize
El Mando uko sahihi sana lakini Sarafina ni kama anataka kuku fanya ukubali Harmonize najapo msani wake kiukweli hafanye vizuri. Hata kwa tano bora mwaka 2024 hayupo kwasababu utataja Diamond, Marioo, Zuchu, Mbosso, Chino, Rayvanny, Alikiba, Jux,… another thing you can’t compare Diamond to any artist in East Africa right now. That’s a fact not a matter of argument.
Dakika ya 8:10 ndo diamond kaanza kuongelewa
Asantee
Be blessed
Asante
😅😅😅😅😅😂😂😂😂 Bibi alikuwaa kivutioo aseeee were dadaa😂😂😂😂
❤ this
Chawa
👏👏👏👏
Me mwenyewe sikwelewagi wajamaa
Kiukwe ukiwa shabiki lazima umu maind huyu mtu...hasa ss tunaempenda hamo maana hua anamponda sii kwa kumkosoa na harafu kwani kakosea wapi...ye mwenyewe mbali alikuenda labda Kenya.. huwezi hata kumhoji mzambia kwa kingeli..lakini kuponda jitihada za watoto waliyokulia mtaani..we unafkili ni rahisi kufika walikofika
Elmando fala huyo
Kama Mimi nina ma Ngoma mengi sana Tena nzuri Kweli katika Kiswahili, kingereza, Kiswahili Na kingereza ila Mimi sitamani kuwa Mwana mziki, tatizo ni Nani anaweza nisikiliza nimupe Tu Ngoma moja Tu,apime Tu then he'll come back to me and ask me what's next. Kindly fikisheni habari Kwa wasanii wakibwa, tunazo ma Ngoma makali kinoma.
hii media ni timu harmonize na kiba so hapo wamekutana na mtu anataka kuweka sawa basi hawapendi😂😂
Ni kwetu
So far dada ni mjuaji na yuko subjective na sio objective
Mtangaxaj acha kuga vibes za Salama kuwa wewe
Wapi anaiga
Huyu dem amekuita but nimuoga😢
Dogo katoka mbali kupambania brànd yake mfano ile story ya clouds na mond , Ruge alimtaki msanii mmoja wa WCB (harmonize) akapige show bure mondi akagomea kuwa hapa ni biashara mambo za bure hakuna ndio ugomvi ukaanza hapo
Elmanda yuko very objective..but the lady yuko somehow biased..kuna namna ni kama hamkubali diamond n she's forcing Kiba n harmonise to be on the same level with simba..sadly diamond is way ahead..kama ni mbio atakua ashawazunguka mara kama kumi..
Tatizo Kuna baazi ya watangazaji ni wanafki sana nikama chawa na sio
Na watatuu ni mmi
Je wewe unakosolewa nanani???
Semaa nn? Unakityuu mama
Fally ipupa anatowa nyimbo nzuri na zina hit bila promotter.
Acha uongo
Elmando hamna kitu
Elmando ni mfanya kazi wa Diamond platinum
Huyo ni mdogo baba levo kenge wewe
Achana na Jina ALIKIBA
Nyoko wewe
We huna akili nyumbu wewe@@RutahushaSafari
@@RutahushaSafarikumbe we mburu kenge 😅