Chuki ndo nyie mashabiki wa wasafi mnatengeneza nyie ndo mnaoua mziki wa Tanzania mkiona msanii kakua kaanza kujitigemea mnaanza kutengenezea bifu naye huo ni uxhamba
Kumbuka ata ulivyo toka kwenu mbeya ulikuwa aujui ata kuvaa kwaiyo unatakiwa kujieshimu sana dogo usiwe msenge sana jalibu ata ayo waandishi wa abari wapelekee ata kwenu
@@juxjemc5768 kumbuka ni meanakibuli zaidi, kutembea na Mondi, alidhani ako na Michael Jackson… kupanda jukwaa zile kubwa ilikua misheni za kina Salaam, sasa huko Clouds nani atampa mkono!!!
Watu wengi wanawatoa watu kimaisha suo mond tu na wanaendelea na maisha yao mengine Sasa nyie mnataka watu waendelee kukaa na Simba kwa sababu gani???ovyo kabisa
Chuii nexti levo misic na ravnnyn Chuiii
Utatrend xana iwe kwa uongo ama ukweri but uxijisahau kuna maisha baada ya hapo
Vanny boy 😍♥️🔥🔥🔥💯
Watz acheni ujinga diamond cyo Mungu msipende diamond asujudiwe mashabiki wa wcb acheni na ushabiki mandazi
Huoni Kama UNACHUKI
Chuki ndo nyie mashabiki wa wasafi mnatengeneza nyie ndo mnaoua mziki wa Tanzania mkiona msanii kakua kaanza kujitigemea mnaanza kutengenezea bifu naye huo ni uxhamba
Mbona umekonda bro
Hizi media zinafaa kuchunguzwa sana...wanaanzisha na kukuza chuki kwa manufaa Yao wenyewe wapate views na pesa bila kujali utu na maafa yake
Wcb imekupa muonekano chunga mdomo wako ukiropoka ubata tutakublock ng,ombe ww after miaka miwili ushuke kama chid benz
MEDIA WANAJARIBU KUMCHONGANISHA RAYVANNY NA DIAMOND AU WCB NA SIJUI KWANINI WANAFANYA HIVO
Ndio maana ina semekana mashabiki,ndio mnachonganisha,huyu ni msani km wengine tu,sasa uko kuchonganishwa diamond ni wp na wp
@@awadhisarai4331 SIKILIZA MASWALI VZURI UTAELEWA NINACHOMAANISHA...MEDIA IKIGOMBANISHA WASANII NDO KULA YAO INATOKA HAPO CSE WANAPATA CONTENT
Sam misago channel sikutegemea😞
Ravnny ngoma.kall sana Chilli NLM NLM
Mashabiki wa WCB Bado tunakupenda Ray huna ugomvi nasi. acana na hizi Media zinazotafuta views na pesa
VannyBoeeee 🔥🔥
Media za kibongo hazipo kuwaunganisha wasanii, maswali ya kipuuzi kuulizana Ili ujibu wakunukuu vibaya na vichwa vya habari visivyofaa, fuc*******
Si wanataka content? mabwege hao
Bado mshamba unaiga unyamwezi😁😁
Kabisa yani huyu jamaa anasifa
HONGERA VANNY BOY,KAZA MZEE NAFASI UNAYO.
Hizi media za uongo
siku zote mtu ambae sio muongeaji muogope huwa ni wanafiki sana bora wale waropokaji
Hajaongea hivyo aceni kuleta ugomvi kati ya Rayvanny na WCB
yaan ananikera na hiko kingereza chake 😒😒
Kwamba wasafi mlikua hamkutani na wasanii wengine? Wasafi tour mlikua hamchukui wasanii wengine? Au fiesta inachukua wasanii wote wa ndani?
Wasafi wanafanya yao pekeyao, ndio maana unasikia Ata mtu akienda kwenye shughuli atalipishwa 😔
@@kathojj789 nilikua nauliza zile tour walikua hawakutani na wasanii wengine
Nic thing you do ujuwe lil ommy kwaheli tena
Walkuwa hawapgi ngoma zake over 5 years ago kasahau tayar Aseee kadunia haka🤣😂 Eti alimis fiesta
mbona amekonda
Kumbuka ata ulivyo toka kwenu mbeya ulikuwa aujui ata kuvaa kwaiyo unatakiwa kujieshimu sana dogo usiwe msenge sana jalibu ata ayo waandishi wa abari wapelekee ata kwenu
Hakuna msani hataenda mbinguni yani wote ni wanafikii
Amekunywa kvanty ama😂😂😂
Hapa amenaswa kama vita kwa WCB!! Anayo safari dogo.. kwani watu ni ishirini na tatu???!!!
Brooo dogo akiwa na heshima atatoboa ila akiwa na dharau hatoboi
@@juxjemc5768 kumbuka ni meanakibuli zaidi, kutembea na Mondi, alidhani ako na Michael Jackson… kupanda jukwaa zile kubwa ilikua misheni za kina Salaam, sasa huko Clouds nani atampa mkono!!!
Ndo kuvimba hvo
Hongera
Hivi vingereza tunavyoiga sasa
Midia msiwechanzo chakugombanishawatu
Mbn vany Kawa m.baya au mach yang t 😂
Jmn😄
Kama Bozozo 🤣🤣
Unity na umoja wasanii wetu bhana🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
😂😂😂😂😂🙌
Wasanii lazima tukue kifikra .... Safi hii....
fact
Hao mabodgard vp mbona wafupi km yeye ila umekua mwamba pambana
Pouwa kabisa canny kiumee
Mshamba atabaki kuendelea kuwa mshamba t hatabadilika maisha
Nilijua tu toka mwanzo huyu dogo ni snitch mkubwa na bonge la nyoka.
Chui
Huyu ndio chui wazee
Chuiiii kakua sasa
Watu wengi wanawatoa watu kimaisha suo mond tu na wanaendelea na maisha yao mengine Sasa nyie mnataka watu waendelee kukaa na Simba kwa sababu gani???ovyo kabisa
Mijinga kama wewe ndo mnapiga piga kelele nani aliwakataza wasiondoke
Usiseme umemiss kitu huko hakuna mafanikio kina barnaba mpaka leo hakuna walichoambulia usijisifie ujinga hawana ela hao tena utakopwa kuku wewe
Acheni wivuu
@@mohammedkazembe7786 wivu iyo clouds ina maajab gan kwamtu kama msanii mwenye Bet nawewe hau hujui mzik ww
Wcb MBNA kuna kina lava lava na mbosso hawana maajabu mwacheni chuii afanye yake