Irene UWOYA: Dogo Janja AMECHEPUKA Kwenye Ndoa / SIWEZI / Ngoja Niachane na Hichi Kitu...!!!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- LilOmmyTV channel maalumu ya Burudani na EXCLUSIVE interviews kutoka kwa masta unaowakubali.
Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp, Facebook au Twitter.
Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com
for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea www.lilOmmy.com
Dah kama unaamin hapa dogo janja kashaachwa acha uoga gonga like hapa
wilonja hatua 😂🤣🤣🤣
wilonja hatua Hahahahahah
@@shekhekhandereizer559 sure
@Baraka Mgaya hajielewi huyu dogo d
atafute mtu mwingine
km ulipita hapa kujua hatma ya mdogo wetu dogo janja tafadhari naomba tujuane
hit like point
Mh ilo dude bhana
Lazima nije Irene kwenye club yako niku join de way I lv u! I must ...... 😍😍kweli #achaunafikihauendimbinguni. Unajielewa sana nice interview 😘
Omi u have good questions with evidence keep it up
Nampendaga huyu liliommy yani interviews zake ziko wow💖 love you liommy
Dogo janja umesha achwa kama unaamn hvy gonga like
Duh dogo janja amuombe Mungu saana kwakwel
janjaro usiwaze totoz wakali sana wapo zaid ya huyo uwoya so usiwaze sana kwanza u still young so uwoya asikuzubaishe kivile..maana jinsi anavyo jibu inaonekana usoni mwake kuna kitu anakificha na nidhahili kuwa yuko na ww kishingo upande.
felix benos bora janjaro atafute kina Amber ruti huyo irine ni ajuza kabisa bibi kizeeeee nawependa bibi kizeeeee bakupenda kikongweeee wasaniii wabongo wengi Vilazaaa tuuuu
Mmmm napita tu
felix benos
Na musemo wake unahosha kama wamesha acana na dogo janja kizazi sannn lil ommy nakukubari sann kutoka maheneho ya burundi!!!!!!
محمد العنزي v
Irene umeniumiza sana kwamajibu yako ya yes or no yaani mke ambae unajua thamani ya ndoa unashindwa kujibu hivo harafu unadanganya watu eti bado uko kwenye ndoa mimi ni kama janja kwamajibu yako sidhani kuwa kuna mtu mwingine atakae ijuwa ndoa yako zaidi yako mwenyewe ila kumbuka bado yupo na yeye anaonekana kuwa anakupenda japokuwa umesema kuwa anamichepuko chepuko
Kama unamkubali lilOmmy na Irene uwoya acha majungu gonga like yako hapa
Lilo my una bore
Ntakigenda
Nakendimbwa
Dogo Jaja mitiani yamaisha ndio hiyo kikubwa muachie Mungu japo ulipenda
si kwa majibu hayo mwajina Wangu una hatari
very nice brother lilo mmy na kuku bali saana kk pinga kazi
Tupo pamoja
This is the interview bwana, maswali mazuri ya kimkakati, kiswahili fasaha, (sio cha onrine) hongera sana bro..!!
Tambweeee unajua kumbana mtu kwenye kilengeo duuhh best presenter in tz big up
Lilommy I like the show bro! Big up sana
Kama wameachana hio ni nafuu kwa janjaro. Huo mzigo aliojitwika ulikuwa mzito
Na kajitua kwel axee bora kbx man alikuwa anamtexa tuu
mmmh shida kweli mjini haya bhana move iendelee pt 90
Mmmmh it's 2true bwana
Kweli kabisa
huenda lbda Dogo janja ndo alianzisha matatizo kma huko kuchepuka NANI anajua ' HAYA NI YAO wawili si hatujui #Subirini kama wameachana Mtakuja kujua kipi ni kipi BUT now no bodys know SO Tuwe kimya tu
Officiallryn jamani! Tunaomba mumlete kwenye the playlist
Upo vizur sana
ukimtoa jonijoo wew lilommy ndo presenter mtamu kwa interview zako
Lee Princess Merah
Umedamshi
Hata huyo jonjooo hafiki kwa the mvp lilomy
Wa kwanza ni milardayo
uwoya mzuri mashallah.. the act that she is often serious or tough should not be a reason or people to hate her with no good reason.
LilOmmy ur the BEST yaani jamani tuwe wa kweli Tambwee hakuna kama ww .............kizazi sanaaa
Mimi kiukweli simpendi Irene uwoya coz kila akiulizwa maswali hajibu inavistahili then ana maringo meengi she thinks she'll leave forever kwa wale hawampendi kama Mimi gongs like hapa
for sure tjic pusy is an idiot
mtu muongo muangalie usoni akiongea huy dada anaonekan ni muongo kbs
Lee Princess Merah jonijoo ni mkali ila hagusi moto wa ommy
vian marcel kabsa aisee ommy moto mwngn
Kwa kweli huyu lrene muongo sana
Ww irine acha kumsubua mumeyo, ndikumana alipo kua hai ulifanya kila mbinu dogo njanja akuowe ili upate kumtia machungu ndiku, leo hii ashakufa ndiku ushaanza kumgeukia dogo janja, tulia na mumeo mtu akikosea humuita mwenzio mukayaongea
Muongo sana
Irine Uwoya hata akosee vipi mi Nampenda Namkubali Namheshimu Naamini sana kipaji chake Namelewa kinoma noma yanni bongo Top I love u UWOYA Hunaga malingo yaajabu pia we nimzuri Asikwambie MTU kitu Pamoja mpaka Mwisho.🙌🙌🙌😘
True, sijui kwanini nashindwa kumchukia, namwelewa sana
Ningekuwa mimi ndo namfanyia interview irene ningeaacha si kwa majibu hayo 😢😢😢....nawaopenda video za make up karibuni kwenye channel yangu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥yajayo yanafurahisha.... Ndoa ya hawa wawili hakuna anayeiweza.... Kiki kila kuchao....
Kuna watu wanadanga humu ila wanamponda mdangaji mwenzao
😃😃😃😃😃
crish ana maono
Dogo janja hana mke apo kama unaulizwa ndoa unakataa
Hicho kipande cha yes or no kizur sana sema napendekeza kiwe cha lazima kujibu hakuna vya kusema next... next... By the way tumeelewa somo
Tulia mdogo wangu na toto la kitanga lile achana na huyu Bibi... Like twende sawaaa
Janjaro asingweza kuishi kindoa na hilo danga, hilo ni danga kweli kweli, tena anatakiwa ashukuru sana kuutua mzigo huo
Kushindwa kujibu swali linalo anza na ni ``kweli" automatic the answer is YES wameachana. So wameachana jamani, msitake kuchimba zaidi
We vip bro hata mambo ya zamani zakale unazuwa damn bro
Akiulizwa swali kuhusu dogo janja mood inamshuka
yaan kabisa hahaha anapoteza mood mpaka macho yanaonyesha
Lil ommy wanaokujaga hapo huwa unawanyoosha ila dah Dogo Chalii mwenzagu wa chuga hapo umebugi ase hana utofaut sanaa na wale wa shivaz wa chuga watanielewa
Dogo Janja kiukweli alikosea kuoa jameni kwasababu Irene Uoya ni ngoma nzito na Chalii wangu umekwenda kutafuta matatizo makubwa. Atakuzeesha jameni
Hakuna mke hapo hilo ni jini na kwa majibu yake inaonesha washaachana na dogo janja.
Haaaahaaaaaaa jamaa umenichekesha sanaumenichekesha
Mtajiha Royman
Kwenyee type apo janja hoii
Makubwa
Ni mbwaa huyu rene
Nampenda sana anapenda kuongea lugha ya kwake
Eti ulishawah kuchepuka next
Umeachana na dogo janja Next
Tayari hapo kwasisi tulowahi kuachwa na kuacha tunaelewa
Vry good
LILOMMY BEST IN TZ,GONA LIKE IF U AGREE
Irene na mumeo nawapenda mnooooo! Mpo vzr majib yenu
Nakupenda sana
Nakukubar sana lil ommy kizaz sana
Waaah ashaamuacha that's why is difficult for her to answer
Hehehe Irene Uwoya is funny..
Love youuu🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Hakuna ndoa hapo irene sema ukweli tunakupenda.
hapo kwa Yes or No...majibu dah..... Wambea mtajikuna vichwa saanaa kuendelea kuchimba majibu.
Kwenye next ni Yes asitufanye mazwange hapa
Huyo atakuwa kaishamtema janjaro😂😂
Damn!!!
Ola uwoya nakupenda sana
kuowa wanawake masupastar au wasaniii ni kujisumbua tu...hawaeleweki....mtu unapenda ela kuzid utu
Dogo janja tafuta mwanamke uoe kwa kweli ikiwa mke uliye muoa anashindwa kuhakikisha in public kama ndoa yenu ipo!!!! Hapa hauna mke ....move on with ur life Irine dosent deserve you
Pole sana dada duniani kuna mambo mengi pole👏👏
Alivyo kaa ss utasema jini Kash Kash ukiona kazi kuwatesa wanaume tu we kichefu chefu umeshindwa kutulia kwenye ndoa na kama Unasema bado upo kwenye ndoa ni kweli kheri
Ukweli nikwamba ukiiyendekeza sana dinia naukilinganisha na hadhi uliyonayo mda mwingine unajikuta unasahau wadhifa wako juu yamume wako nahicho ndicho alicho nacho irene uwoya
sas wameachana aw vp mbn hatumuelew uyo Dada
Hy n laana yandikuma ndio inayomsumbua hataiashi kwa amani katika ndoa wala mahusiano ndogo janja hana mke hapa ikiwa mwanamke alikimbia ndoay halali iliyobarkikiwa n wazazi sijuwi hy yenu Kama n ndoa au ni movie
Mficha ugojwa ukifa watu watajua tu Irene uwoya na dogo janja wanajifanyaga wanasili sana ila wazee wakazi tumshajua finish love hapo
Irene nakupenda sana
Eti lile bata lile asante lil
Honestly zari is wiser than irene...janjaz ako na majibu sahihi in every interview....lakini huyu mhhhh makeup,urembo but fikira hata kujibu maswali hajui
Nakubali kazi zako basi wewe mtangaza habari
Nice interview
Cool
Namkubali sana ammygal
Irene ur the best
Sasa kinakiwia nin ugumu kwenye kusema Yes or No
Nyie watu mkishazorota ndo mnatafutaga pa kutafutia busti mbustiwe muwake tena
Na ulaaniwee kujivisha pete ya mdogo ako wa mwisho kumbe ulitaka kiki tuu
Nyie ndo mnafanya wanawake mpaka wanashindwa kuamini kuwa Eva wa Adam hakupewa tunda tuu kuna na vingne alivoambiwa na shetan😁😁😁😁
Nimeipenda sana hiyo sms
Mara ya Kwanza alisema hapendi kuona ndogo janja kaoa mpe wa pili..Leo anatuambia mwache aoe.duuu???twala twaliwaaa
Hayo majibu Sasa!🙊🙊🙈🙈🙈🙈 Kama ndio angekuwa wifi yangu sijui jamani.
Mimi ningependa hizo nyimbo mbaya ambazo amefungia ndani naomba nizisikilize
Vip
Huyu dada kwenye interview ya VAN VICKER alikuwa bubu leo ana maswali huyoooo😀😀😀😀
Alipoulizwa nikweli dogo janja amechepuka ni 14:40
muuuh
Can someone please make me understand the meaning of 'KUCHEPUKA'...from +254 sielewi maana
cheating
Sema PASS sio NEXT, Next ndioo nini,professionally unasema pass
Irene kuna siku ulinijibu nilifurahi Sana😘😘
Alochepuka nani? Yeye Irene au Dogo janja? Itakuwa sijaelewa
Sijui hata tendo la ndoa ulishapewa doh,kali saana,dogo pole saana
Hakuna ndoa hapa; arafu huyu dada msimuoji tena anazigua sana
Dogo na yeye akome zake, kuingilia mambo ya kishangingi haya🤷🏽♂️
Huyo Malaya
Au siyo aisha
Aisha Ismail true
Aisha Ismail mchawi huyo
Jaman hapo hamna mke bora maana kipindi cha nyumba alikuwa akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu mapenzi yake na dogo janja alikuwa akijibu tena kwa furaha na kutoa majibu sahihi lakini sa hivi mbona anazingua
Hivi hiyo Miwani unaona imekupendeza? Lil Ommy.
Essau MTU hatari sanaaa wewe hahahahaaa
Janjarooooo.....mlilie uwoya🏃🏃🏃🏃
It’s true sometimes ,being single is good
Majibu mazury love u uwoya
Daaamm !!
Pole Dogo janja
Ommy nakuelewa sana
dogo janja angekuwa bro angu namkanaaaaaa
Nampenda uwoya
Hawa kweli wameachana maana akitajwa dogo janja anaminyua midomo
Janjaro hilo jini Mdogo wangu achana nalo
Vanessa mdee
Irene huna mapenz ya kweli na dogo, kama unanona hakufai mwache tu
Unajibu kiufasaha sana gud🔥🔥🔥
daaaa!!
Huyu sio wa kuoa,hapo unabandua na kusepa,janja umeingia kambi sio mdgo wetu.
Lilommy TV
Wewe ni mashine ya kusaga na
Kukoboa
Unakuaga na maswali ya kizazi Sana
ILA UWOYA anakujidaikwingi kwingi
BILA AIBU AMECHAGUA NGOMA NYINGI LAKINI YA DOGO JANJA IMEKOSAMO HATA MOJA
Hii inaonesha kabisa kwamba UWOYA hamsapoti DOGO JANJA hata kidogo
Yupo kwa kuchuma PESA kisha atembee zake!!!!
GEORGE SAMWEL CHACHA
Dada lake yeyoooooo
lilommy upo vizur mno katika mahojiano
Hao wameachana dogojanja alikua na mapenzi ya kweli kwa airin owoya
Kwa akili zangu Mimi siwezi kumiliki mwanamke mpumbavu kama Irene Uwoya anazarau Sana halafu hana times hata ya kuchagua ngoma ya mme wake dogo janja"
Tamaa inamsumbua irene
yes or no
Napenda ma jibu zako Irene