ROSE MUHANDO LIVE@PROPHET ALLAN JOMBA'S CHURCH

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @jacobmbithi7199
    @jacobmbithi7199 4 หลายเดือนก่อน +11

    Rose Muhando wewe ni mlango wa kuleta uwepo wa Mungu.

    • @Monica-iz5st
      @Monica-iz5st 2 หลายเดือนก่อน +1

      Rose waukwel sana mungu azid kukutunza

    • @Monica-iz5st
      @Monica-iz5st 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mmetisha sana hakika Rose wewe ni mwamba kweli mazoez unayo nafarijika sanaaa

  • @christinenaliaka8855
    @christinenaliaka8855 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kweli nimebarikiwa Good bless you Rose muhando

  • @ColethaErnest
    @ColethaErnest หลายเดือนก่อน +1

    Amina sana dad Rozy nimebarikiwa sana sitakatamaa mungu ni mwema

  • @PatriciaSidi-c4w
    @PatriciaSidi-c4w หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana Rose kwa kutuunganisha na Mungu❤❤❤❤tunakupenda sana wakenya na tunakuombea Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi❤❤❤❤❤ Tunakupenda sana utukufu apewe Mungu siku zote ❤❤❤❤❤❤❤

  • @sharonatieno6880
    @sharonatieno6880 10 วันที่ผ่านมา

    You are so humble weeh Mungu akuinue zaidi

  • @Beatrice-ch6rv
    @Beatrice-ch6rv หลายเดือนก่อน

    Haki nimebarikiwa sana mungu akubariki sana rose❤❤❤❤❤

  • @MamaJoyce-m7d
    @MamaJoyce-m7d 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana dada yangu mpendwa mungu akutunze uwe baraka zaidi nabarikiwa sana na nyimbo zako

  • @LilianOmari-po5kw
    @LilianOmari-po5kw 10 หลายเดือนก่อน +1

    Enyewe mungu ata wajawi wakibanga mambo mabaya kwetu mungu anabatirisha ajenda awatuwesi amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Monica-iz5st
    @Monica-iz5st 2 หลายเดือนก่อน

    Amen roz nakukubali sana siku uje songea pacha wangu

  • @VIESTOH
    @VIESTOH 10 หลายเดือนก่อน +2

    "Upumbavu wa mungu unashinda akili za wanadamu" wow

  • @stevecharlo7149
    @stevecharlo7149 4 หลายเดือนก่อน +1

    The band is always on fire 🔥🔥
    Big up the vocalists 🎉

  • @نادينوكي
    @نادينوكي 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏 mungu akupatie mafuta mengi

  • @rachelagunda-sifuma6324
    @rachelagunda-sifuma6324 10 หลายเดือนก่อน

    I feel blessed beyond, beyond. Thank you Sis Rose Muhando. Thank you Prophet Allan. More of God's grace on your Ministry

  • @BingalaMwagandi
    @BingalaMwagandi 2 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana nahaya mafundisho yesu karibu kwanguu

  • @jacobmbithi7199
    @jacobmbithi7199 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wapendwa wa vyombo wamebarikiwa sana,Napenda huo mziki sana

  • @tumainmkonyi8459
    @tumainmkonyi8459 17 วันที่ผ่านมา

    Rose rose umefanya watu tumefunuliwa

  • @GideonNyamawi-kp4mt
    @GideonNyamawi-kp4mt 6 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa na bwana Mungu alibariki ufike mbali

  • @kenkegoncha7677
    @kenkegoncha7677 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aki Rose 😭Hii mafuta ni rare

  • @BefinJoseph
    @BefinJoseph 2 หลายเดือนก่อน

    wow great job be blessed

  • @abundance-M
    @abundance-M 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hio back up ❤❤❤

  • @DouglasMwale-ds2hz
    @DouglasMwale-ds2hz หลายเดือนก่อน

    Thanks 4 the blessings

  • @Kevinsimiyu-s5r
    @Kevinsimiyu-s5r 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen mungu apewe sifa

  • @BoazBugo
    @BoazBugo หลายเดือนก่อน

    God bless you mamy

  • @AngelaChelangat-c8c
    @AngelaChelangat-c8c 4 หลายเดือนก่อน

    May God really bless you mummy i❤❤

  • @YNOTGEORGE8
    @YNOTGEORGE8 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kalibu Jesu

  • @CarmelNziye
    @CarmelNziye หลายเดือนก่อน

    Merci dada

  • @okellodavid1263
    @okellodavid1263 4 หลายเดือนก่อน

    Hehehe, God bless you more and more.Amen

  • @Nortice4
    @Nortice4 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki 🙏

  • @MrmasterOkayii
    @MrmasterOkayii หลายเดือนก่อน

    😂Wewe ni baraka kwangu rose

  • @kabitumworiaspareusgodisgo5380
    @kabitumworiaspareusgodisgo5380 2 หลายเดือนก่อน

    Uwe baraka kwa wengi

  • @dennispaul5705
    @dennispaul5705 4 หลายเดือนก่อน

    Where do we get the link to this download

  • @maascomedian5312
    @maascomedian5312 10 หลายเดือนก่อน

    Hii kanisa iko wapi masaai wa Vioja Mahakamani Inspector mwala Mashamba Anda kava n naeza taka kuwachekesha

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeeeeeen