#EXCLUSIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  4 หลายเดือนก่อน +3

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @rajimuashirafa8265
    @rajimuashirafa8265 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu dada tokea aachwe KIBA akili zake hazijawahi kukaa sawa kabisa mpaka leo hiii mpaka sasa ana ugonjwa wa Alikiba tu ndio mwanaume anayemuuma sanaaa

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kizungu cha nini sasa?

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kila nikifungua mtandao nikamkuta huyu sitazamagi kwa sababu anakera sana kwa mambo yake ya kishamba

  • @AndrewNgatigwa
    @AndrewNgatigwa 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu atakuongoza utapata mume bora kwani wew ni wakipekee sana

  • @omranalbarwani7190
    @omranalbarwani7190 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ongea kiswahili baasi!!! Si wote ni waingereza.

  • @barakavalencendola1117
    @barakavalencendola1117 4 หลายเดือนก่อน

    Good interview

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bado unampenda kimapenzi kiba usituchoshe

  • @vero57
    @vero57 4 หลายเดือนก่อน

    Divaa tatizo lako ni hilo , eti two million!!!!

  • @AmanaHussein
    @AmanaHussein 4 หลายเดือนก่อน

    Diva umeamua kweli au unatupima tuongee kitu😜

  • @HusnahMaulid-wi8dl
    @HusnahMaulid-wi8dl 4 หลายเดือนก่อน +1

    Masikin diva 😂 ila yote kwa yote napenda unavyojikubali na mambo yako kama hujielew ila unajikubali 😂😂😂

  • @swahilifashion2206
    @swahilifashion2206 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa kichwa gani mpaka asivar wigi mpuuzi mmoja

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 4 หลายเดือนก่อน

    Naona kama kidogo kidogo unaanza kujitambuwa

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 4 หลายเดือนก่อน

    Kila saa mm ni brand brand brand unakunya keki au😂😂

  • @vero57
    @vero57 4 หลายเดือนก่อน

    ALI , UKO WAPI SIKIA HUKU 😀😀

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 4 หลายเดือนก่อน

      Amina ndio asikie vitu hivyo 🤔🤔

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 4 หลายเดือนก่อน

    Huna lolo hutoboy bila digital siukubali tuu

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yu no😂😂😂😂

  • @jamalimussa4928
    @jamalimussa4928 4 หลายเดือนก่อน

    😅😅

  • @SaleemASalim
    @SaleemASalim 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂