Wanawapa hadhi maalum huu ni ujanjaujanja mtu kazaliwa Tanzania anapewaje hisani?.Hawataki wapige kura wamewafunga mikono nyuma ndio maana wamewapa hiyo kiini macho
Hiyo Hadhi Maalum inatakiwa kujadiliwa kwa miaka mingapi mpaka ipitishwe Usikute ni ahadi za kiSiasa tu Kungekuwa na Nia ya kweli jambo hill lisingekuwa la kujadili kwa MIAKA kuendelea kushughulikiws.
Hii hoja ya Hadhi maalum, na uwekezaji ni vitu viwili tofauti na uraia pacha! Kikijadiliwa kila kimoja pekeyake tutapata muafaka. Uraia pacha ,kuna hoja nyepesi sana katika uhitaji wake kutoka kwa wahitaji. Naunga mkono Hadhi maalum.
Ahsante Sana Sana Mh Dr Mama Rais Mama Samia
Ni kweli
Safi sana
Hii iko sawa kabisa nchi yetu iruhusu uraia pacha
Wanawapa hadhi maalum huu ni ujanjaujanja mtu kazaliwa Tanzania anapewaje hisani?.Hawataki wapige kura wamewafunga mikono nyuma ndio maana wamewapa hiyo kiini macho
@@leokamil6284 exactly nchi yetu ina ujinga mwingi
Yupiiiiii raha tupu😀😀😀😀
Nimependa Sana hiki kipindi
THE FIRST ONE GUYS
Hiyo Hadhi Maalum inatakiwa kujadiliwa kwa miaka mingapi mpaka ipitishwe
Usikute ni ahadi za kiSiasa tu
Kungekuwa na Nia ya kweli jambo hill lisingekuwa la kujadili kwa MIAKA kuendelea kushughulikiws.