Ah..wapi...Kwa kifiro kile alichopewa hapana....mama mchungaji mzoefu sana.....labda Kwa sababu hatukuona sura ya mwanaume Uwe ni ww unampelekea moto sawa'....lkn kama ni mwanaume mwingine ndugu una matatizo...!
Huyu kasema vizuri sana kwamba ukimuacha kila anaekukosea kana kwamba wewe unastahili basi utabaki mwenyewe, na yule mama alieshtakiwa kwa Yesu kuwa kazini Yesu aliamua hivi ambae hakuwahi kuwa na kosa awe Wa kwanza kumpiga huyu mwanamke .na wote waliondoka kama wanaenda uwani kukojoa hao mbiooo, Masanja kajibu kisomi na kibibilia

🤣🤣🤣🤣😄 wabongo mmenishinda

Tuliza macho bwana
Hakuna budi katibu ameamua kufuta kesi
Wewe unajuaje hakuchepuk nae