Misk ya Roho | Ndoa | Sheikh juma Amir

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 241

  • @nashmohamed2060
    @nashmohamed2060 2 ปีที่แล้ว +7

    MashaAllah sheikh Juma Amir May Allah grant you long life InshaAllah

  • @HusseinsalimHusseinsalim
    @HusseinsalimHusseinsalim 6 ปีที่แล้ว +7

    Allah akabar mashallah mashallah mashallah misk ya roho nami nimepata inn Shaa Allah Allah atujalie wanawake wote wa kislam tuwe wake bora yaa rabbi alamin Allah humaa Ameen Kwa sote jamii islam

  • @abdinasirali3460
    @abdinasirali3460 5 ปีที่แล้ว +13

    Masha Allah watching from USA . I have never met this sheikh alive in my life. I hope to see him at Janis mosque in Nairobi and listen to his lectures of Friday speech and tell him sheikh I really respect u for the sake of almighty Allah. And Iam so glad that I use to watch ur lectures . What great sheikh he is . Sheikh’s that I do listen a lot . Sh Mustafah who lives in london . Sh Nuridin kishki Tanzanian . Sh Umal Kenyan . Sh al carifi saudia Arabia. .Sh Ali hussein Djaboutian tabliq sheikh . Masha Allah I love them all for the sake of almighty Allah

  • @rehemahismael1276
    @rehemahismael1276 4 ปีที่แล้ว +3

    Maasha Allah.Napenda Sana mawaidha ya sheikh jumma Amir Allah Amjaalie umri waheri Na salama.NaamjaalieAfya Njema lnsha Alla

  • @fahadlauni5854
    @fahadlauni5854 5 ปีที่แล้ว +9

    Mwenyezi mungu ajalie waume wapate wake wema na wanawake wapate waume wema inshaalla

    • @mgeninaima9866
      @mgeninaima9866 2 ปีที่แล้ว

      Ameeen thuma ameeen yarabb takabal Dua

  • @Qatar-vh5ff
    @Qatar-vh5ff 4 ปีที่แล้ว +4

    Mwenyezi mugu anijalie na mimi nipate mume mwema Amiin amiin yaraab. Mugu akulipe heri

  • @Swabrinamwaka-vm7zu
    @Swabrinamwaka-vm7zu ปีที่แล้ว

    Mola akujaalie maisha marefu na yenye mwisho mwema INSHALLAH na Pepo yako iwe njema amin❤❤❤❤❤❤❤

  • @hawaramadhani9609
    @hawaramadhani9609 6 ปีที่แล้ว +19

    Mashallah mawaidha mazur Allah awajaalie hekma wote waliojaalia ndoa

  • @fatmamudathir3038
    @fatmamudathir3038 6 ปีที่แล้ว +7

    In shaa Allah , Mola atujaalie waume wenye kheri na sisi iwe ndie sababu yk ya ss kuingia peponi..........I wish.....!

  • @IrambonaIssa
    @IrambonaIssa 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤

  • @fathiyaali6171
    @fathiyaali6171 6 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah MashaAllah sheikh Juma Amir,mawaidha yako nayapenda sana,shukran saana,tunafaidika Alhamdulilah.

  • @mumrizikchite1544
    @mumrizikchite1544 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Mwenyezi Mungu Atujalie ndoa njema

  • @ashhamsaid9444
    @ashhamsaid9444 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah akupe kila la Kheri Kwa Mafunzo waziri juu ya Vizazi wetu.

  • @rowdyrondarouseyfire9476
    @rowdyrondarouseyfire9476 7 ปีที่แล้ว +16

    MashaAllah! MashaAllah! MashaAllah. Wallah nimefaidika sana, nami nimenukia. Ahsante Sheikh Allah akufanyie wepesi ktk kila jambo.

  • @mukrimhassanvuai3774
    @mukrimhassanvuai3774 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akujaalie kher sheikh juma bin Aamir akulipe kheri duniani na akhera

  • @ismailbitimba8160
    @ismailbitimba8160 3 ปีที่แล้ว

    Maashaallah masheikh wetu,Allah awalipe jahnaa

  • @mudykhamis8820
    @mudykhamis8820 2 ปีที่แล้ว

    Mawadha Mazur sana yanafunza kwa mwenye kuelewa na kutaka kujifunza

  • @mwanamkasisuleimaniikosawa9582
    @mwanamkasisuleimaniikosawa9582 5 ปีที่แล้ว +2

    Ma sha Allah,yani napenda kumsiliza Mwalimu Amir,

  • @mojr3213
    @mojr3213 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mwenyezi utupewepesi kwenye ndoa zetu mawaida ya ibraimu twaha atuiyoni

  • @mohamedabdikarim7046
    @mohamedabdikarim7046 7 ปีที่แล้ว +24

    Shukraan sheikh, allah atu jalie ndoa yenye kheir insha allah.

  • @takiyamajid4274
    @takiyamajid4274 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah allah awajalie hekma wote na awalinde

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 4 ปีที่แล้ว

    Manshaallah tabarak Allah 💞🙏💞 Allah wetu Subhanah wataala ya Hayy ya Qayyum akupe maisha marefu yenye afya njema na mafanikio Inshaallah 🙏 we love you more than you think dear Sheikh💞👑 💞. you are truly a super 💥biisn Allah. long life happiness success and progress in everything that you are doing Inshaallah 🙏 mawaidah yako yote ni sabuni ya roho yangu❤💖💗. for sure you are a gift came from Allah 🙏

  • @salmaabdalla4104
    @salmaabdalla4104 5 ปีที่แล้ว

    Shukran jazzila. Mola akujaalie sheikh. Mawaidha mazuri haya

  • @زينبمحمد-ث9ق
    @زينبمحمد-ث9ق 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah shekhe mungu Atuongoze tuwe wenyewe huruma daima

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 6 ปีที่แล้ว +2

    Mawaidha mazuri Sanaa nimepata mafunzo shukran Jazzakah llah kheir

  • @saidibadawi469
    @saidibadawi469 7 ปีที่แล้ว +9

    kweli namshukuru kweli shekh wetu mwenyemungu hamepe nguvu.

    • @sadakhamis1261
      @sadakhamis1261 6 ปีที่แล้ว

      Saidi Badawi.... Aaamiin 🙏🙏

  • @jamilandossi6511
    @jamilandossi6511 6 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah Allah akupe kheri nyingi sana duniani na akhera ninanufaika sana na mawaidha yako

  • @HusseinsalimHusseinsalim
    @HusseinsalimHusseinsalim 6 ปีที่แล้ว +2

    Allah akujaze kheir naabaada ya kheir na janatul firdaus Ameen thuma ameen

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 5 ปีที่แล้ว +2

    shekhe asante Sana, ndivyo nilivo mie Aisha sipendi kuamshwa.

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 6 ปีที่แล้ว +3

    Mungu anijaliee nipate Mume anaee ijua Dini yake inshaallah

  • @lamermaxx3439
    @lamermaxx3439 7 ปีที่แล้ว +36

    Shukran sheikh kwa lecture yako ya ndoa umenifurahisha sana,,,
    Nimetumiwa 5min clip yako ikabidi nikutafute kwa TH-cam nipate skiza mwisho wa lecture yako. Allah ybarik, I have forwarded this lecture to my WhatsApp contacts esp.my husband I hope na wao wafaidike kama Mimi nilivyo faidika.

    • @khamisally9496
      @khamisally9496 7 ปีที่แล้ว

      Lamer Ayooshi wow

    • @kenzoali4295
      @kenzoali4295 7 ปีที่แล้ว +1

      Lamer Ayooshi same here,i got short clip from fb

    • @jamilahassan7733
      @jamilahassan7733 6 ปีที่แล้ว

      Lamer Ayooshi mashallah

  • @al-khairat63
    @al-khairat63 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah Allah barik inshallah

  • @hashimmuhibu710
    @hashimmuhibu710 7 ปีที่แล้ว +2

    jazakum llah kheiraah Allah azd kukupaa maishaa ili tuzd kufaidikaaa na darsaa zako

  • @zenabali568
    @zenabali568 ปีที่แล้ว

    jazakallah kheri shekh,

  • @sadakalenga7411
    @sadakalenga7411 7 ปีที่แล้ว +11

    Alhamndulillah nimenukia na miee... nilikua cjatazama

  • @adnasaid9844
    @adnasaid9844 6 ปีที่แล้ว +3

    jazakha-llah kheri Allah akusitiri napanda sana khutba zako Masha-allah

  • @aishaaisha1495
    @aishaaisha1495 4 ปีที่แล้ว

    Mawaidha mazuri Shekhe maanshaallah Ila ndoa za cku iz hazidumu Cjui kwann

  • @asyahamza7830
    @asyahamza7830 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah Alla atuongoze inshallah

  • @suleimanahmadaali5989
    @suleimanahmadaali5989 7 ปีที่แล้ว +4

    Allah akuhifadhi sheikh na akuzidishie Elimu

  • @cawaaleofficial9057
    @cawaaleofficial9057 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashllh sheikh juma

  • @birdofpry3897
    @birdofpry3897 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah shukran sheikh wetu kwa mawaidha mazuri

  • @verynicethifilmnuur1alrahb887
    @verynicethifilmnuur1alrahb887 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Allah awajalie hekma nying

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 2 ปีที่แล้ว

    aslm my shekh ukionaa haujakaribidhwa ujuwe hautajiki ikhitajikas utskaribis he was ndaa muafakaa ndio sawa na kama unalazimishwa kukaribisha ujuwe ukonadhidaa lazima ukuwemajinui sana nalazinishwajii

  • @majaliwaabdalla5844
    @majaliwaabdalla5844 6 ปีที่แล้ว

    Mashallah sheikh wetu kwa mada hio yenye mafunzo adhimu

  • @sabitinamsuya8647
    @sabitinamsuya8647 5 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa ALLAH, ALLAH akubariki sana na akuepushie shari daima. wangeweka na mawasiliano yako ili tukutafute

  • @fatmahgamaha7200
    @fatmahgamaha7200 7 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana nliiona nusu hatmae leo nmeikamilisha humu

  • @asyaebrahim4390
    @asyaebrahim4390 7 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah barik...kwa kutujuza mingi ya dinii yetu hini Tamu

  • @ashurahkandula7895
    @ashurahkandula7895 6 ปีที่แล้ว

    Inshaallah Allah akujaalie heri shekhe wetu

  • @ameeranassor1619
    @ameeranassor1619 ปีที่แล้ว

    Uyo msemaji Takbir hajui wapi pa kusema Takbir

  • @jailanmwazini9849
    @jailanmwazini9849 4 ปีที่แล้ว

    huzuni sana leo waume tikitaka owa twatizama kwa pesa ,hatakama una tabia nnjema ,na sifa bora za kuwa mume

  • @babawatotobabu7229
    @babawatotobabu7229 7 ปีที่แล้ว +1

    shukran sheikh amir kwa mawaitha mazuri

  • @halimalwayo1073
    @halimalwayo1073 6 ปีที่แล้ว +4

    mashaallah jazakallah khayr

  • @husnajumanne9801
    @husnajumanne9801 7 ปีที่แล้ว +6

    Natumiwa clip 5 mnt aisee nkaja TH-cam kuckza yote,Sheikh Shukran sanaa!

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 7 ปีที่แล้ว +2

    Mm kanitumia baba yangu mzazi na niliona nitafute huku npate mwisho wake shukran

  • @rehemahismael1276
    @rehemahismael1276 4 ปีที่แล้ว

    Very Educative Maaasha Allah

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 5 ปีที่แล้ว

    Hhhh nihatari kweli duniani panamengi asante sheikh wetu

  • @abdulsaid4579
    @abdulsaid4579 6 ปีที่แล้ว

    Asante kw kutujuza sheikh juu y ndoa. In sha allah nami nitajitahid kuiweka ndoa yng vizuri n. Zaidi y uzuri. Lol. Jazakallahu khair.😁😁😁😇

    • @zainabuiyaka723
      @zainabuiyaka723 5 ปีที่แล้ว

      Abdul Said kwahiyo usubili mpaka MTU kwambie

    • @ashuashu3843
      @ashuashu3843 5 ปีที่แล้ว

      Allah awahitimishe ktk ndoa yenu ameen.

    • @zuhrasalum2584
      @zuhrasalum2584 3 ปีที่แล้ว

      @@zainabuiyaka723 Ndio maana yakaitwa mafundisho ya ndoa na ukumbusho una2faa cc 2lioamin,

  • @mwanahamisibeautyproducts7421
    @mwanahamisibeautyproducts7421 6 ปีที่แล้ว +4

    MashAllah

  • @nassorohamadi3365
    @nassorohamadi3365 7 ปีที่แล้ว +3

    Shukran ya-dhikumul-afya

  • @dotdots7868
    @dotdots7868 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah,pliz if u don't mind I would like to request you to invite this sheik by the name of otham maalim from Zanzibar,his mawaidha are just wonderful

  • @RahmaSingh
    @RahmaSingh 4 หลายเดือนก่อน

    Asalam alekum tafadhali shekhe wetu tueleze nini mana dhanna

  • @afdaa946
    @afdaa946 7 ปีที่แล้ว +5

    Jazaqallah kheiry

  • @fafumaawadh8098
    @fafumaawadh8098 6 ปีที่แล้ว +2

    Ya Allah nijaalie nipate mume mwema

  • @lamymmwasango4101
    @lamymmwasango4101 6 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah sheikh Juma Amir... Allah akueke

  • @khamisjuma1485
    @khamisjuma1485 7 ปีที่แล้ว +2

    Jazaka LLAHU khaira jaza

  • @bintsaidi9600
    @bintsaidi9600 7 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah ,JazakAllahu khair .

    • @miriamthaimon9797
      @miriamthaimon9797 7 ปีที่แล้ว

      mimi natafuta mke mwenye maadili mema

    • @mpekeyimanaabdulkarim5566
      @mpekeyimanaabdulkarim5566 6 ปีที่แล้ว

      Allah akufutieni makosa yenu na awajalieni kuishi mdamrefu duniani na mwisho wayote Allah akuingizeni katika pepo yake

  • @muthayahmunir3361
    @muthayahmunir3361 7 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akujaze mema

  • @hassanidrissa1071
    @hassanidrissa1071 6 ปีที่แล้ว

    Jazakallahu hayra,

  • @halishrajish7829
    @halishrajish7829 6 ปีที่แล้ว +1

    mashallah jazakallah kheir

  • @mwanahamza2199
    @mwanahamza2199 6 ปีที่แล้ว +1

    Shukurn shekhe

  • @ridhiwanimafurute9079
    @ridhiwanimafurute9079 6 ปีที่แล้ว +1

    mashallah mawaidha mazuri

  • @asyaluay5787
    @asyaluay5787 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Ne'ema

  • @hamidurashidi9178
    @hamidurashidi9178 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mzuri

  • @adbasagency6900
    @adbasagency6900 4 ปีที่แล้ว

    Shukran.

  • @abdullahiali20
    @abdullahiali20 6 ปีที่แล้ว

    mashaallah...jazakallah kheyr

  • @safiachilumba4913
    @safiachilumba4913 7 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Shukran Sheikh....JazakaLlahu lkhaira!

    • @khadijaomar7529
      @khadijaomar7529 7 ปีที่แล้ว

      Safia Chilumba masha allah Shukran kwa mawaidha
      Allah awalipe duniani mpaka akhera walofanikisha muhadhara hu na mashekhe wate waliohudhuria kwenye mualiko wa halaqa daawa wote mungu awalipe bila ya hisabu

    • @azizamohamed5614
      @azizamohamed5614 7 ปีที่แล้ว

      Shekhe Allah akulipe akheri Na ss atujalie tuweze kusikia Na kutekeleza

    • @bibiejuma7523
      @bibiejuma7523 7 ปีที่แล้ว

      Maashaalwa

    • @fakihiyahaya505
      @fakihiyahaya505 7 ปีที่แล้ว

      Safia Chilumba ekisi

    • @rabahichamani3333
      @rabahichamani3333 6 ปีที่แล้ว

      Mashaallah

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 6 ปีที่แล้ว

    Yaa Allah nipe mwema ktk wema

  • @dontwaha823
    @dontwaha823 7 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah .......Shukran.

  • @38wahida
    @38wahida 7 ปีที่แล้ว

    Masha Allah sheikh mungu akujaze kheyr

  • @nuurlhudaa1986
    @nuurlhudaa1986 6 ปีที่แล้ว +2

    mashallah

  • @hannymasu732
    @hannymasu732 7 ปีที่แล้ว +3

    Assalam Aleykum Wa Rahmatullahi Wa Barakatuh!.
    Jazak ALLAH Khair!.

  • @Marquezsharif
    @Marquezsharif 5 ปีที่แล้ว

    MashALLAH

  • @halimohinnhalima1320
    @halimohinnhalima1320 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah may Allah forgives us

  • @bintmhammad9557
    @bintmhammad9557 7 ปีที่แล้ว +3

    Jazakallahukheir

  • @abdulshija3715
    @abdulshija3715 7 ปีที่แล้ว +5

    jazak llah akhera

  • @ashalaurent6562
    @ashalaurent6562 6 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallha

  • @ayshahamsi2297
    @ayshahamsi2297 7 ปีที่แล้ว +1

    shukran sheik kwa kutuelimsha mwenyezmung akuzdishie inshallah

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 7 ปีที่แล้ว +3

    Asante sheikh

  • @abdulazizmbarak6823
    @abdulazizmbarak6823 6 ปีที่แล้ว

    Umejarb shekh

  • @mamyssmoe6706
    @mamyssmoe6706 6 ปีที่แล้ว

    Naam sheikh elimu ktk ndowa muhimu sn tusiingie bila elimu ndo ht mwez haufiki talaka lkn na uvumilivu unatakiwa maana elimu uwe nayo na subra

  • @sitiabdallah8598
    @sitiabdallah8598 5 ปีที่แล้ว

    mashallah kher

  • @nguschu
    @nguschu 6 ปีที่แล้ว +1

    Allahu barik

  • @Juro1412
    @Juro1412 6 ปีที่แล้ว +1

    Allah Akbar

  • @ahmadfarid1676
    @ahmadfarid1676 7 ปีที่แล้ว +1

    Jazakalahu kheiran

  • @madinakwizeea5938
    @madinakwizeea5938 6 ปีที่แล้ว

    Allah barik

  • @neemanassibu5636
    @neemanassibu5636 7 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah

  • @rahimashabani6124
    @rahimashabani6124 7 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Mashaallah

  • @faizanassor2720
    @faizanassor2720 6 ปีที่แล้ว +1

    Shukrain mashallah mawaidha

  • @amounanyale9220
    @amounanyale9220 7 ปีที่แล้ว +2

    Allahibaarik fiik

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 7 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah