Nguvu ya Diamond inavyompoteza Tanasha Donna kimuziki, mambo yazidi kuwa magumu, Mguu ndani Mguu nje

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 24

  • @makaoyafutaa1302
    @makaoyafutaa1302 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @bundende
    @bundende 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wow

  • @manumbuvi9102
    @manumbuvi9102 56 นาทีที่ผ่านมา

    Diamond love zari sana kushinda tanasha Becoz tanasha aliongelia mama dangòte

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    May God's will be done

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    😢 anaboa na kujitengeneza sana

  • @bongosihamii
    @bongosihamii 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Anafanya Music for Fan kwhy hyo n kawaida

  • @SifaEmma
    @SifaEmma 29 นาทีที่ผ่านมา +1

    Harmonize Mzee Popo ndio anaroga nyimbo za Wasanii wa WCB na wengine.. Harmonize analaa kubwa sana 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @NadjmaOsmani
    @NadjmaOsmani 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tatizo lake anakuja na anapotea kiufupi nampenda Sana tanasha na anakipaji chakuimba Ila Nikama anaishi maisha yakujificha sana Ata kwenye pejiyake anapotea potea 😢

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tatizo ni kizungu kingi kaka

  • @esthermatisho2604
    @esthermatisho2604 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Amepooza,hana uchangamfu. Music unataka heka heka,na asifanye surgery zingine alikuwa mrembo sana 😢

  • @aasatt78
    @aasatt78 53 นาทีที่ผ่านมา

    Ikowapi iyo link?

  • @NadjmaOsmani
    @NadjmaOsmani 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kingine anafutafuta sana mziki wake ukiskiza leo ukienda keshokutwa unakuta kafuta sijuwi ana matatizo gani😭

  • @agapemunyi2095
    @agapemunyi2095 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anakula hela ya malezi tu Hana pressure

  • @nickalreadyknows
    @nickalreadyknows 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sio washabiki wanachomfanyia kama kitu kizuri kinaeda kama sio lazima uhisi hivyo.

  • @djafro8729
    @djafro8729 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Brown skin yuko na akili sana

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 44 นาทีที่ผ่านมา

    Tanasha alimuogopa Mange make alikua akikaribia chibu anamuandika kua anatumika so yuko naribu na chibu ila anajificha watu wasimuone mange asimuandike,wakati wazazi wa chibu wanapenda kua nae waongelewe mfano zari anamtumia sana chibu yani lazima haongelewe na ndo anakutaka

  • @saidmasika8738
    @saidmasika8738 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    tatizo tanasha ataki kutumika kigono y babamtto wake chengine Yule ana kiburi na jeuri

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    T hayupo sawa depression inamsumbua saana post zake snapchart zinajieleza.
    Alisafiri na mwanae kwenda kwa mama yake amerudi juzi na mwanae anasoma Nairobi.
    T arudi Tz aje afanye interview na akubali kujibu maswali atarudi mjini😮

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h 32 นาทีที่ผ่านมา

    😅😅😅😅😅

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Afu tatizo ni kuwa ndoto ya tanasha sio mziki,tuseme ukweli

    • @NadjmaOsmani
      @NadjmaOsmani 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Apana tanasha anapenda sana mziki Ila anaogopa kusemwa vibaya na watu bilakujuwi asiposemwa basi mziki wake huwezi kuenda popote

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo ni Illuminati

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tana tena média munaboa ebu msemini na alikiba,harmoneze.