ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kesi yangu imekwisha katika jina la Yesu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Napokea kwa jina la Yesu kwaajili ya mdogo wangu anayetarajia kufanya mitihani na pia mbariki Med katika kazi yake akazidishiwe mara mbili
Napokea kwa jina la Yesu nipate kazi
Ameen ahsante sanankwa kipindi barikiwa sana mtumishi tunakupenda sana ester kutoka zanzibar
Mungu arufajili hii niponye niinue kiloho na kimwili nikuone peke Yako komboa watoto wangu uwainue mungu wangu
Mponye mke wangu tumbo lake linalo msumbua na kumsaidia kupata mtoto amen
Mponye mke wang tumbo na kumsaidia kupata mtoto
Eehe mwenez mungu nakuomba imponye Mme wangu na umhondolee maumivu tote kwenye sehem ya mguu wakeamina
Magari yanitafute,yani sumbukie nami niyamiliki
Najiunganisha na nguvu ya madhabahu kiuchumi,Uchumi wangu ukuwe
Nafungua ndoa yangu kwa jina laye su
Watoto wangu Brighton,Angel,Brayan Wafanikiwe kielimu
Mambo mazuri yanifuate kwa kasi
Kwajina layesu naomba mume wangu aludi aludi nyumbani tuangale watoto wetu
Ahsant mungu kwa yote uliyo nitendea
Nimpende mkewangu mwiiza
J aimerais avoir deux jumelles aide moi amennn
kesi ya madeni imekwisha
Kesi ya kuto mpenda mkewangu Imekwisha
Kesi ya kuto kujenga Bunege senta Imekwisha
Kampuni ya paroma,msoma mkurugenzi wa kampuni hiyo anilipe fedha zangu kwa kasi,asikae,asisinzie Mpaka anilipe fedha zangu
kesi ya kuto mpenda mkewangu Imekwisha
Kesi ya kuto kulipwa fedha zangu kwa mtu yoyote nae mdai Asikae,asilale usingizi,asipate amani mpaka anilipe
Fedha inifuate kwa kasi