Sheikh Walid Awafundisha Wanaopnga Barazanji /Wee Unashangaa Wanyama Kuongea / Sheikh Walid Alhad

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Sheikh Walid Awafundisha Wanaopnga Barazanji /Wee Unashangaa Wanyama Kuongea / Sheikh Walid Alhad Omar
    Mashaa Allah Sheikh Walid Bin Sheikh Alhad Omar akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Sheikh Walid Awafundisha Wanaopnga Barazanji /Wee Unashangaa Wanyama Kuongea / Sheikh Walid Alhad Omar
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Airtel Money +255782466586
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/Dars...
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    TH-cam @Darsa tv
    TikTok @Darsa tv
    Mashaa Allah Sheikh Walid Bin Sheikh Alhad Omar akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Tusipomtaja Mtume (S.A.W) Tumtaje Nani / Twendeni Tukamtaje MtumeSehemu Zote / Sheikh Walid Alhad Omar
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Airtel Money +255782466586
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/Dars...
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    TH-cam @Darsa tv
    TikTok @Darsa tv

ความคิดเห็น • 171

  • @2003hintay
    @2003hintay ปีที่แล้ว +3

    Sheikh Walid Allah akubariki Sana kwa hekma kwa elimu ulonayo Mwenyeezi Mungu azidi kukuweka kwa jinsi unavyodadavua umenishibisha japo Mimi si katika wale akina bacho

  • @madaimachano2256
    @madaimachano2256 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah,,, walimu kama hawa ndio wanaohitajika katika jamii iliyoparaganywa akili, Shahe wetu Mungu akubariki sana.... Mufti hujakosea na tunaomba tuthibishie awe shekhe wa Mkoa Kamili.... tunafahamu Kuna baadhi mambo hajatia kutikana na cheo hajikamilika....

  • @salhamudy2065
    @salhamudy2065 ปีที่แล้ว +5

    wallay Allah anajua jinsi gani nakupenda shekhe walid kwajir ya Allah wewe ni mtu mwengne kabisa katika hawa tulionao sasa Allah akujalie mwisho mwema inshaallah

  • @hafswanaaman2911
    @hafswanaaman2911 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah sheikh Walid mungu akujazi kheri wape ukweli hayo wamjume Mtume❤❤

  • @muftiahmadimahmudulemba1918
    @muftiahmadimahmudulemba1918 ปีที่แล้ว +3

    Maa Shaa Allaahu
    Watu wanatumia akili zakibinaadam sio kutazama uwezo wamungu anaweza kufanya au?

  • @jumA-th7rs
    @jumA-th7rs หลายเดือนก่อน

    Shehe MUNGU akuweme ili tupate elimu yako. Amin

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 ปีที่แล้ว +1

    Shoukran sheikh kwa Hakika asiekuelewa ana hasad juu yako

  • @omaralwi3946
    @omaralwi3946 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah tunasikia Habib Omar anakuja kenya wiki ijayo. Insha Allah aje na Tz Allahuma Ameen

  • @RashidSaid-t9i
    @RashidSaid-t9i หลายเดือนก่อน

    Umenichekesha sana shekhe alhamdullah

  • @khalidmzala3275
    @khalidmzala3275 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah allah akujalie kila la khery

  • @ashamngindo8023
    @ashamngindo8023 ปีที่แล้ว

    Mashallah shekh wetu mungu akuhifadh

  • @AllyNgale
    @AllyNgale ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulilahi kwakweli amefanya sawa au wamefanya sawa waliokuteua wewe uwe kaimu au uwe Shekhe wa Mkoa wa Dar salaam unatufaa saana Ktk jamii zote za kiislaam watakao kuradi na kukuchukia ni Roho mbaya nachuki na uvivu Walio nao Ktk mambo ya kheri

  • @sudiali2849
    @sudiali2849 ปีที่แล้ว

    Ustad Unazunguka sana katika mifano yako
    Kuna tafauti ya Neno laa kusemwa na Mtume na maneno katika Barzanji
    Unacho paswa kutuilimisha ni utuambie hayo maajabu ya mbuzi na samaki yametajwa wapi katika hadith au quran acha kutoa mifano ya kitoto

  • @ALHIMUTV
    @ALHIMUTV ปีที่แล้ว +1

    Jaazaaka Allah khayra

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚

  • @omarymohamedndondo1801
    @omarymohamedndondo1801 ปีที่แล้ว +1

    JAZZAKA ALLAHU KHAYRA

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 ปีที่แล้ว +2

    ASANTE SHEIKH LETU WALID KWA MAFUNDISHO

  • @RashidSaid-t9i
    @RashidSaid-t9i หลายเดือนก่อน

    Alhamdullah

  • @Shakila-t3c
    @Shakila-t3c ปีที่แล้ว +1

    Aslm alkm ww... sheikh Walid 😀😀😀😀😀 . Jazakallah kheir 🙏🌹🌹🌹🌹

  • @yusufsadic2930
    @yusufsadic2930 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Shekh Waled

  • @shidiereng7181
    @shidiereng7181 ปีที่แล้ว

    tafadhalini mashekhe wetu mtufunze Wala msilete uzishi katika dini

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 ปีที่แล้ว

      Tushawafunza sisi ndio maana Kojo kumtoka Jiwe ambalo halina Roho Nafsi kila siku likimpigiaya salamu Mtume S.A.W je wanyama wenye Roho Nafsi? Sasa sisi kujuwa kutoka kwenu mawahabi Uzushi wenu mulouzuwa wa kigawanyo cha Tauhid ipo wapi ktk Quran au Hadithi

  • @yussufsumbu9412
    @yussufsumbu9412 ปีที่แล้ว +1

    mashallah

  • @shabanramadhan7632
    @shabanramadhan7632 ปีที่แล้ว +2

    ❤ ALLAAH akbar

  • @JumaMkululu
    @JumaMkululu ปีที่แล้ว +3

    Nabii Suleiman aliongea na wanyama mbona hawabishi hayo lakini kwa kipenzi cha allah wanabisha wanyama kupeana taarifa

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +1

      Masufi acheni upumbavu, hoja hiyo ya wanyama kusema Muhammad Bachu alishaijibu alipoulizwa swali na Mazinge, na shekh Muhammad Bachu alisema mambo ya wahyi na miujiza hawakatai ila kuwepo na dalili ni wapi na msimuliaji ni nani kuhusu ilipotungwa mimba ya mtume wanyama wote walipeana habari? Nyinyi masufi mlipata wapi hiyo habari

    • @nailaomar4810
      @nailaomar4810 ปีที่แล้ว

      Wajibu hao

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj ปีที่แล้ว

      @@mohdkhatib223 ww kaa kando na kipenzi chetu sisi tutamsifu na tutamswalia waona ajabu wanyama kutamka kwa mimba ya mtume huoni ajabu mtume kapita kwenda kwa mola wake na jibril kashindwa kupita na nimalaika

    • @muhidinally3753
      @muhidinally3753 ปีที่แล้ว

      Juma hakuna maandishi katika kitabu cha Allah wala hadithi qudus wala hadithi za mtume. Nyie mwatoa wapi?? Huo ndio uzushi. Allah awaongoze katika njia nyoofu

  • @MuhammedBalkiss
    @MuhammedBalkiss ปีที่แล้ว

    Subhanallah astghafirullah ladhim

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @khalfanhamadi3616
    @khalfanhamadi3616 ปีที่แล้ว

    Siku1 alisema mtu hawezi kuongea na wanyama kama mungu hajampa mantika twairi sasa yy kuingea na paka je ana mantika twairi😂

  • @jumamwenda2607
    @jumamwenda2607 ปีที่แล้ว

    Mashall

  • @kondoatown8765
    @kondoatown8765 ปีที่แล้ว +1

    Sio hajabu ila nani ? Kawamtangulia baranjii ktk kisa hicho shekh hivi kweli hamuelewi au ndo upinzani laiti kma kisa hiki angekisema mtume swalallah alywasalaam ama Aya ktk Quran lkn hayo maneno ni ya barazanjii

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw ปีที่แล้ว +1

    Ngoja ninyamaze. Wataelewa. Tu mawahabi 😂😂😂😂

  • @mohamedrashid7864
    @mohamedrashid7864 ปีที่แล้ว +2

    Wanyama kuongea kwa mawahabi haiingii akilini kwao kwa sababu ni watu wa mwili mambo ya kiroho hawana ktk akili zao hayapo hawajaruzukiwa ufahamu

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว

      Sasa nyinyi masufi mmepata wapi hiyo ya wanyama wote kusema ilipotungwa mimba ya mtume.

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 9 หลายเดือนก่อน

    Uongozi unaweza kumfanya mtu aliyekuwa mchamungu akawa muovu umakini nakujitathimini nimuhimu zaidi

  • @JumaMachano-b8t
    @JumaMachano-b8t ปีที่แล้ว +3

    Masheikh wa kuigwa watu wa taswauf

  • @BashirAdan-ox6jr
    @BashirAdan-ox6jr ปีที่แล้ว

    Wacha uwongo na porojo mingi toa Hadithi swahihi au aya ndani ya Qur'an ili kudhibitisha

  • @zuberihamisi460
    @zuberihamisi460 ปีที่แล้ว +1

    Wewe uwe muwazi kama ni mfuasi wa Barzanji

  • @kassimsleyman6911
    @kassimsleyman6911 ปีที่แล้ว

    😮😅😢🎉 shekh kwan nn Mana ya barza zi

  • @SuleimanHassan-o6f
    @SuleimanHassan-o6f ปีที่แล้ว

    Tungu kaongea ipo dalili katika Qur an kigogo cha mimbari kuzugumza hadith swahih
    Je wanyama kuzugmza ipo hadith sahihi

  • @dredboy
    @dredboy ปีที่แล้ว

    Una ushaihidi au ni maelezo hatutaki maelezo twataka ushahidi

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 ปีที่แล้ว

    Mashekhe wapenda vita.nikupeana ilimu sio kutusiana bachu akiwa amesema barzanji Ina makosa huangaliwa lakini watakosa kukata viuno barabarani kisi ngizo maulid na Wali waburee

  • @harrishussein6992
    @harrishussein6992 ปีที่แล้ว

    Watu wanavichwa vigum Sana mnaambiwa mtume aliongea mpaka najiwe wewe kaongee najiwe kama unaweza

  • @Yousouf-wn1qz
    @Yousouf-wn1qz ปีที่แล้ว

    Masufi wanaona waoondowa naompnda mtume Mohamad (sw) kuliko waislamu wote duniani eti? kwakuwa wenzao hawapigi madufu namannanda ndohawa mpndi mtume

  • @abasimwinyibovu3090
    @abasimwinyibovu3090 11 หลายเดือนก่อน

    Kila kitu mnapunga nyinyi3 mawahabi hatuwashsngai sana wengine mnathubutu kuzitia ndoa za wazazi wenu kuwa ni batili

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 ปีที่แล้ว

    Jiwe haliwezi kuongea acheni uongo. Mtu mzima na akili zake anaongea vitu visivyoeleweka.

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  ปีที่แล้ว

      Unabishina Na Mtume Muhammady (S.A.W) iyo Hadithi Siyo Zaifu

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 ปีที่แล้ว

    Ni uongo hakuna mtu anayeweza kwenda mbinguni na farasi, hakuna mtu anayeweza kuongea na sisimizi ni uongo. Inakubidi uwe mpumbavu sana kuamini huo ujinga.

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm ปีที่แล้ว

    Wanyama waliongea una ushahidi wa Hilo sheikh tupe ushahidi

    • @AbdallahShamte-mp1iu
      @AbdallahShamte-mp1iu ปีที่แล้ว +2

      Kwani unachipinga ni nini akhy au hajamsikia shekhe wako Bachu akinukuu hadith kutoka kwa Abuu Nuaimu kwenye مجلة المنرى wewe unataka ushahidi gani tena zaidi nyinyi mawahabi ndio mlete ushahidi kua hadith munkar haifai kuwa hoja tena sio kwa kelele zenu tu mulete hoja za kielimu ni mwanachuoni gani wa mustwalahi alhadiith amesema mtu akitumia hadith munkar maneno yake au kitabu chake huambiwa ni uongo?

  • @SelemanabushiriNyasuka
    @SelemanabushiriNyasuka 11 หลายเดือนก่อน

    Mtume aliongea na nyoka je nyoka sio mnyama tumieni akili

  • @MuslimChannelTZ
    @MuslimChannelTZ ปีที่แล้ว

    Shekh sio ajabu kwa mtume mimba yake kutungwa na wanyama kuongea...lakini hiyo hadithi dalili zake ni zipi...je mtume alilizungumzia hilo au alitufunza kuhusu hilo...je kwenye Quran tukufu limezungumzwa hilo...?

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว

    Masufi acheni upumbavu, hoja hiyo ya wanyama kusema Muhammad Bachu alishaijibu alipoulizwa swali na Mazinge, na shekh Muhammad Bachu alisema mambo ya wahyi na miujiza hawakatai ila kuwepo na dalili ni wapi na msimuliaji ni nani kuhusu ilipotungwa mimba ya mtume wanyama wote walipeana habari? Nyinyi masufi mlipata wapi hiyo habari

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 11 หลายเดือนก่อน

    Ebu muogopeni Allah masufi musiogee uwongo

  • @fay9687
    @fay9687 ปีที่แล้ว

    Wewe pia wataka pesa mbona umekubali uongozi

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว

    Tupe dalili
    Wapi wanyama walisema
    Acha porojo

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  ปีที่แล้ว

      kwa nabii suleyman

  • @dredboy
    @dredboy ปีที่แล้ว

    Cmama na haki wacha kutetea batil

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 ปีที่แล้ว +2

    Ss ndugu yangu Walid hiyi n dini sio kila mtu anaweza kuleta tu mmb yke, hii n dini hatutakiwi kufata mkumbo ukileta jmb n lazima ulete dalili coz Mtume alishatutahadharisha juu ya watu ambao watakuja kuleta mmb ya uongo ktk dini, toa dalili sheikh wacha mnn mengi😂

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 ปีที่แล้ว

      Unastaajabisha kweli.
      Yaani unamkataza mwenzako asifuate mkumbo kwasababu anaunga mkono mawlid, lakini wewe hujioni kwamba unafuata mkumbo kwa kuwafuata wanaopinga mawlid.
      Which is which?

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 ปีที่แล้ว +2

      @@omaryjumas6327 alete dalili wapi imethibiti wanyama walipeana habari😂

    • @MunezeroHabiba-td3mv
      @MunezeroHabiba-td3mv ปีที่แล้ว

      Midjinga iko kibao mfano wako habisme towa vidjikelele hapa

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว

    Ivo unavotafsir swahaba gani kafahamu ivyo

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 ปีที่แล้ว +2

    Ss sheikh na nyny toeni dalili basi ktk hayo maneno wapi imethibiti kua wanyama walipeana habari ilipotunga mimba ya mtume mbn dalili hamtoi mmebakia kusema tu😂 hatujasema kua wanyama haiwezekani kuongea vo ila tunataka dalili km ulivyotoa dalili ya jiwe lililokua likimsalimia Mtume toeni basi na dalili ya wanyama kupeana habari😂 mmebakia kuchamba tu lkn dalili hamna😢

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor ปีที่แล้ว

      Dalili kaitoa nassoro bachu wewe pumba katika munakasha

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 ปีที่แล้ว +1

      @@MuhidiniNassor ile hadithi munkara ndio dalili?

  • @alisuleiman4046
    @alisuleiman4046 ปีที่แล้ว

    Sheikh wewe ni mswahili, toa hoja na dalili? Unaleta story too. Wewe mnafafiq Sheikh Walid.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว

    Hamna kitu apaa

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว

    ISITUMIKE NGUVU KUBWA KUMKANDAMIZA BACHU...BACHU HAKUKATAA CHOCHOTE...YEYE ALITAKA ANDIKO TU....LOLOTE TU..LAKINI ANDIKO SIO STORI

  • @ruqiyanasir7141
    @ruqiyanasir7141 ปีที่แล้ว

    Hawa ndiohawawalafi wanaotizama mituboyaotu nakupotowa watu ndomana akili zimewatoka hamuna lolote mabakwata munajulikana wanafik

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 ปีที่แล้ว

    Masufi huwa wote wana shida ya akili.

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  ปีที่แล้ว

      Unawatukana Waislamu Wenzio Doooh Masikini

    • @ikabako2454
      @ikabako2454 ปีที่แล้ว

      Ahahahahaha kama watakuwa wanafanya vitu vya kipumbavu basi sitakuwa nao. Mimi ni muafrica.

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 ปีที่แล้ว

      Muislamu hamtukani SHEIKH ABDULKADIR JAILANI KS SUFI.

  • @NasmaaJumah-db9ic
    @NasmaaJumah-db9ic ปีที่แล้ว

    Tutajie wapokez wa hadithi ya kumuadhinia mtt acha shubha

    • @akambi482
      @akambi482 ปีที่แล้ว

      Unajua maana ya hadithi kwanza?

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 ปีที่แล้ว

      Hadithi sahihi kapokea Mtume Mohammad (S.A.W) someni jamani!

  • @salumumangi994
    @salumumangi994 ปีที่แล้ว

    Rajabu tuliza ufahamu wako wanyama wengi wamesema na bado wanaendelea kusema mpaka leo ingekuw kila kitu kina semwa kwenye kitabu Allah sijuwi kama kingi someka Mwenyezi Mungu kazungumza Kwa majumwisho ingekuw hivyo utahoji hata TH-cam mbona hijaandikwa na nivitu hivi havikuwepo wakat wamtume sindio uzushi mbona tunavitumia

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 ปีที่แล้ว

      Nyinyi ni watu wa maajabu yaani jambo ikiwa la kutajwa Mwenye Ezi Mungu na Mtume S.A.W huwa muna shaka nalo. Lkni mukiona watu wakiwaambrisha wamaya wanao wafunga kama kwa mfano sana sana Mbwa na wanasikiza yaani mwaanza kusifiya jamaa aongeya na Mbwa anaskiya. Ndio Bachu akaongeya na Paka 😂😂😂

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah ปีที่แล้ว

    Mawahabi hakuna siku wataamini kwani Hawana ilmu ya kujua mambo, hawajui ukubwa na utukufu wa mtume wanajihesabu ni kama wao wenye kunya mavi yakanuka,

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 ปีที่แล้ว

      Masufi nao wanajiona Wana elimu kushinda Maswahaba
      Na wema walio tangulia

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 ปีที่แล้ว

      @mohamefmullah dini ya kiislamu yaenda na elimu watu wapiga maulidi kusherekea mazazi yake swali jee katika msikiti wa mtume ambayo ingekua vizuri zaidi twasherekea mazazi ya mtume ndani ya msikiti wa mtume mbona hayafanyiki?pili swali liko pale pale jee wanyama waliongea

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 ปีที่แล้ว +1

      ​@@abdurahimabdulkadir3926iyo ya kutofanywa ktk mckiti wa mtume ata c hoja manake hata engkua yanafanywa mle basi bado ingebakia kua hayafai kwa 7bu hayana dalili za kisheria, alafu awa wao kazi yao n kuongea tuuuuuu lkn dalili ya hoja 19 za Bachu hawana yan wanazidi kuwaaminisha watu kua Bachu kawaweza😂

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +1

      Masufi acheni upumbavu, hoja hiyo ya wanyama kusema Muhammad Bachu alishaijibu alipoulizwa swali na Mazinge, na shekh Muhammad Bachu alisema mambo ya wahyi na miujiza hawakatai ila kuwepo na dalili ni wapi na msimuliaji ni nani kuhusu ilipotungwa mimba ya mtume wanyama wote walipeana habari? Nyinyi masufi mlipata wapi hiyo habari

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +1

      Sisi tunasoma Quran, na tunaona ndani ya Quran nabii Suleiman aliongea na wanyama, hayo mambo ya wahyi hatupingi kwa mitume, lakini la wanyama walipeana habari wakati mimba ya mtume ilipotungwa, nyinyi wapumbavu wa kisufi mmepata wapi?
      Leteni dalili basi ili tuamini huo uzushi wenu.

  • @Auf-uh3jq
    @Auf-uh3jq ปีที่แล้ว +1

    Achaneni na Bachu Albarzanji hakujua kujieleza alitaka kujulikana na sifa

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo sio kuongea wanyama. Tatzo ni hilo tukio lilikuepo kweli⁉️⁉️⁉️⁉️ kuongea twajua kama waeza ongea . Alafu Shekhe Saidi sikashamaliza kazi na mkamsifu😂😂😂sasa mnafafanua nini. Kwasasa hata makafiri wanajua kua maulidi haipo ktk Dini MUULIZE MAZINGE ALIJIBU VP

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 11 หลายเดือนก่อน

    ١٩ hujibu mwa babaisha watu wasiojielewa mwapoteza

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 11 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi watu wa talbisi
    وتلبس ألحق بلباطل

  • @abuurayaan3902
    @abuurayaan3902 ปีที่แล้ว

    Alafu acha kuongopea watu sio yote yanayo egemezwa kwa mtu ni ya kweli lazima tuchuje kwa misingi ya kisheria maana dini mashia na masufi wameiharibu wanaingea mengi ya uwongo na kumsingizua uwongo
    Kwa hiyo mtu akizungumza kitu kwa dini ni lazima Atoe na Dalili na Dalili pia tunaipima kwa mizani za kisheria je imethibiti

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 ปีที่แล้ว

      Eti tuchuje wewe kama nani mjingajingatu hutambuliki labda mtaani kwako

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 ปีที่แล้ว

      @@fadhilimusa9732
      2shawazoe masufi Wana taqleed ya upofu hamchuji Kila munalo ambiwa
      Ndio maana munadanganywa
      Mtume alikula sima mawlidi kondoa unakubali tu kama fala vile
      Samai dawa ya Ukimwi
      Mara Kuna mtu alikufa akafufuka Akatamka Shahada Kisha akafa tena
      C wazimu huu kuamini upuzi kama huo
      Chochote kitakacho nasibishwa na dini lazima tuchuje kwa mizani ya kisheria kikiwa na Ushahidi wa kweli hilo tunalifanyia kazi
      Kikiwa ni Cha uwongo lazima tutalipinga na kulibainisha kwa watu

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 ปีที่แล้ว

      @@fadhilimusa9732 alafu kaa ukijua Sina wasiwasi na Dini yangu na Akinijua Allah inatosha ila sitoona Dini inaharibiwa na vibaraka flani na tukae kimya

    • @mohamedrashid7864
      @mohamedrashid7864 ปีที่แล้ว

      Hakuna wahabi hata mmoja anaetumia sheria kuliendea jmbo . Huwa wanaagizwa na walimu wao hilo tu

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 ปีที่แล้ว

      @@mohamedrashid7864
      toa ushahidi wa maneno

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +2

    Kama ni uchizi kuongea na paka, basi nyinyi masufi mtakuwa ndio machizi wa kwanza kwasababu nyinyi ndio mlipata habari ya kuwa wanyama wote walipeana habari wakati mimba ya mtume ilipotungwa.
    Hem teteeni uongo uliomo ndani ya kitabu cha barzanj, sio kuropaka tu kama mbwa koko.
    Mkiambiwa usufi ni upumbavu ndio mnazidi. Halafu nyinyi mashekh wa bakwata ndio mmezidi kwasababu mna upumbavu wa kisufi halafu na uzuzu wa kujali matumbo yenu

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 ปีที่แล้ว

      Hayo alisema NA kutuambia ni hadithi ya MTUME SAW iliosomwa kwenye mjadala. SASA BACHU NAE AJIGEUZA MTUME NA AMUULIZA PAKA NYAU 🐈NA YEYE ILI ATULETEE WAHYI KUTOKA KWA WALII 🐈NYAU. 🤣🤣🤣. yaani maswahaba WAMEAMBIWA NA MTUME SAW, ndio hadithi zilivyosemwa imepokewa NA ibn ABBAS SWAHABA wa MTUME SAW mpaka kwa ibn naiim akaiandika. Sasa bachu kapokea KWA WALII NYAU 🐈, 🤣 NA NYIE NDIO WAPOKEZI WA MTUME WENU NYAU 🐈, NA SWAHABA NDIO BACHU NA WEYE NI TABIINA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @SelemanabushiriNyasuka
      @SelemanabushiriNyasuka 11 หลายเดือนก่อน

      Someni ikiwa mti uliongea na mtume je wanyama itashindikana

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 ปีที่แล้ว +1

    Sasa kwahivyo ww uliambiwa useme mkubwa wa jiko na hujuuliza sasa hii si dunia hii ni dini ukileta kitu lazma uulizwe labda watoto wako ndio hawatakuuliza lkni katika dini utaulizwa umufti wako twataka dalili

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 ปีที่แล้ว

    Ila bachu anawatesa jamani

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 ปีที่แล้ว

      Anajitesa

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 ปีที่แล้ว

      Kikojozi anatutesa lkn alikimbia MAMBRUI

    • @UpangaRassam
      @UpangaRassam ปีที่แล้ว

      Atajitesa mwenyewe na kundi lake.

    • @NafisaAhmed-g9k
      @NafisaAhmed-g9k ปีที่แล้ว +1

      ​@@hilalalhabsi2047kikojozi ni babako nendeni mambrui mukapige piano mucheze ngoma hamna ilmu

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab ปีที่แล้ว +16

    Shehe sio ajabu wanyama kuongea kwa ajili ya Mtume ila ,nani alilithibitisha hilo? Je ndani ya Qur ani imo hiyo?je katika hadithi za wanavyuoni imo hiyo?hilo ndio linalotakiwa liwekwe wazi,na sio kusems uongo kwa kisingizio cha kumsifu mtume ,Kwa hivyo kwa kuwa mtume ndio asingiziwe vitu ambavyo havipo? Wewe ni shehe na unaaminiwa na ndio unatunzwa hapo kwa kuongea vitu wanavyoaminishwa watu ambavyo sio vya kweli,tuambie sasa ni kitabu gani cha wanazuoni au ni aya gani ndani ya Qur ani ilioyositbitisha hayo?

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว

      Tatizo la hawa masufi wanajitia uzuzu, na hiyo hoja ya wanyama kusema, Muhammad Bachu alishaijibu alipoulizwa swali na Mazinge, alisema hawakatai mambo ya wahyi na miujiza, ila katika hiyo inayotajwa katika barzanj dalili wamepata wapi, wanashindwa kujibu hadi leo.
      Halafu bakwata hakuna shekh, kuna wachumia matumbo tu kwa maslahi yao.

    • @allykhan6440
      @allykhan6440 ปีที่แล้ว +1

      Njoo nikuoneshe hadithi

    • @allykhan6440
      @allykhan6440 ปีที่แล้ว

      ​@@mohdkhatib223Kuwa na heshima,

    • @AbdallahShamte-mp1iu
      @AbdallahShamte-mp1iu ปีที่แล้ว +1

      Hadith za mtu zipo nyingi na Shekhe wenu Bachu aliitoa siku ya Munakasha sasa sijui unataka hadithi ya Abunu Assi

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 ปีที่แล้ว +1

      Tukutane Mahakamani Naushahidi Wako Nawangu. Maana Kilakitu Ushahidi Ndio Akili Yako Ilipoishia Maskini.

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 ปีที่แล้ว +1

    Cheo chako cha umufti watu hawakitambui toa dalili jee wanyama waliongea

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor ปีที่แล้ว +1

      Kibachu wenu Hana akili kauliza suala Kisha kajijibu eti anatega hatimae mikojo vyurrrrrrrrrr

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 ปีที่แล้ว +1

      @@MuhidiniNassor twataka mufti ajibu swali jee wanyama waliongea ni kwely au ailimishe watu wanyama waliongea kitabu flani flani mwanachuoni flani ss s wajinga eti usiseme chumvi usiku hayo maneno akawadanganye watoto wake kwake ila dini yataka dalili haitaki eti aliesema ni mufti so hakuna kuuliza swali

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 ปีที่แล้ว

    Media zote ni mtoto wa bachu

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 ปีที่แล้ว

      Za kikojozi, kwa maarufu kwa KUJIKOJOLEA kwenye mnaqasha😂

  • @lillaahilhamdutv5383
    @lillaahilhamdutv5383 ปีที่แล้ว +1

    Shida si kuongea kwa vitu, shida ni hiyo habari ni ya kweli?, Yaan utupe ushahidi wa hadithi sahihi zinazothibitisha hizo habari, la sivyo itakuwa ni habari kama za BBC CNN ALJAZIRA N. K kumuhusu mtume

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab ปีที่แล้ว

    Hayoa mambo ya kukata kucha usiku sijui kuomba chumvi usiku hayo sio mambo aliosingiziwa mtume ,ila kama alisingiziwa mtume kafanya hivyo basi pia waislamu wangehoji

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 ปีที่แล้ว

    Uislamu haupelekwi na cheo eti mufti toa dalili ya wanyama walingea

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 ปีที่แล้ว

    Mskiti wa mtume mbona hakupigwi maulidi eti kusherekea mazazi yake hicho cheo chako eti ni mufti lete dalili wanyama waliongea

  • @NasibuJuma-e6u
    @NasibuJuma-e6u ปีที่แล้ว

    Kumbe walid ni pumbafu sana kwani hatuelewi

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  ปีที่แล้ว

      sheikh matusi ya nini sasa

  • @fay9687
    @fay9687 ปีที่แล้ว +1

    Nyie wote mnapigania maulidi sababu ya matumboo

    • @aminanoor5963
      @aminanoor5963 ปีที่แล้ว +2

      Na ww

    • @ramadhaniddsalim2201
      @ramadhaniddsalim2201 ปีที่แล้ว +2

      Ww ndio hujielewi

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 ปีที่แล้ว

      ​@@aminanoor5963maulidi yalianza Karne ya sita mwisho na Karne ya saba mwanzo pili hata yalipoanza mbona huo mskiti wa mtume watu hawasherekei kuzaliwa kwa mtume ndani wa mskiti wake watu wa maulidi mwafanya mchezo mungetembezewa bakora

    • @meksd2418
      @meksd2418 ปีที่แล้ว +2

      Kweliii sikuzotee hatulii sisii tunakulaa siku zaa maulidii tu
      Hebu kasomee uwe naadabu usiwee Kama yule mwehu wenu

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 ปีที่แล้ว

      @@meksd2418mliosoma watu wataka kujua jee wanyama waliongea mjadala uliisha sasa elimisheni watu jee wanyama waliongea pili alieota kuwa mtume alimwambia atunge kitabu Cha maulidi eti mstari mmoja uishe na nun mwingine uishe na heee elimisheni watu huu ni ukwely vina dalili

  • @MuhammedBalkiss
    @MuhammedBalkiss ปีที่แล้ว

    Subhanallah astghafirullah ladhim