SHEIKH WEWE MTU TAJIRI KIROHO MTUME S.A.W AMESEMA MBORAWENU NI YULE ALIYE JIFUNZA QURAN NA AKAIFUNDISHA SHEIKH WEWE MTU BORA KUSHINDA MARAIS WA DUNIYANI
Tuko pamoja mimi huyu alinisomesha nilikuwa unguja almadrasat lkamariya ya daraja dovu mwe yez mungu uko wake wote kawapa kipaji cha elim wote kwao wanasomesha had Mareham mama ake alikuwa anasomesha na Mareham baba ake pia alikuwa mwalim alla kawabariki elim
Ukitaka kusoma dini nenda pemba...Unguja na Tanga..huyu jamaa noma alisema akusanyiwe mashekhe wote ....kiboko huyu ila hajulikani..siku zote wajuaje hawajioneshi
Asalam alykum,,,mm ni muhitim wa degree ya ualim( bachelor of science with education) udom,,ninahitaj shule ya kiislam nifundishe nipate fadhila ya kuwafundisha waislam wenxangu(chemia na bioz)/ na geog au phy kwa olevel
@@omaryrajabu2970 Kaa na watoto wa ndugu zako uwasomeshe kwa ikhlaasi Allah atakulipa. Kama unataka lazima upate shule lengo lako ni mshahara sio kupata radhi za Allah .
Allah akuhifadhi sheikh Idd na amjaalie husnul khatima.
MAASHAALLAH HONGERA SANA SHEIKH ALLAH AWAJAALIE PEPO YA JUU YA FIRADAUSI INHAALLAH
Mashaa'Allah Mashaa'Allah Mashaa'Allah Allah akuhifadhi Mwalimu wa Shekhee wetu
Jazzakumllah Khery
Allah awalipe kher na awaongeze elmu
Mashalla alhabdulilai barakalla fih wajazakallahu haira 🤲🤲🤲🤲📖📿
MAASHALLA JAZAKA ALLAH KHAIRA SHEKH OTHMAN KHAMIS
Mashaallah Allah akulipe kila lakheri duniani, na akhera na walimu wote duniani
Subhanallah Hawa masheikh wamefanana sauti
SHEIKH WEWE MTU TAJIRI KIROHO MTUME S.A.W AMESEMA MBORAWENU NI YULE ALIYE JIFUNZA QURAN NA AKAIFUNDISHA SHEIKH WEWE MTU BORA KUSHINDA MARAIS WA DUNIYANI
MaashaaAllah. Bahri hii.
MAASHAALLAH JAAZAKUMU LLAAHU KHAIRA
Mashaallah Allah akulipe kila la kheri
Mungu atubariki kwa rehema zake tuweze kuisambaza haki.
MashaAllah Zanzibar
Mashaallah sheikh Ali iddi nakukumbuka vizuri ulipokua Mtangani kisiwani PEMBA。Mashaallah unakiwakilisha vizuri kisiwa cha pemba kwa ajili ya Allah
Tuko pamoja mimi huyu alinisomesha nilikuwa unguja almadrasat lkamariya ya daraja dovu mwe yez mungu uko wake wote kawapa kipaji cha elim wote kwao wanasomesha had Mareham mama ake alikuwa anasomesha na Mareham baba ake pia alikuwa mwalim alla kawabariki elim
Waalaykum salaam warhmatullah wabarakatuh
Mashaallah mashaallah mashaallah tabaraka llahu
Mashaallah a mini thuma amiin
Jazakallahu kheir
Mashallah shukuran
ALLAH AZAWAJAL Atakulipa fungu kubwa INSHALLAH
Elimu uliyomfundisha imekuwa na manufaa kwa wengi. Allah akulipe ujira mkubwa in shaa Allah
Allah akupe pepo Amii yangu shekhe Ally ibin Eid
A.alaykum naomba unipe namba ya sheikh kama unayo
INSHAALLA UMEISAHAU SHEH KUISEMA UNGELISEMA HIVI INSHAALLA SHEH OTHMAN UMEMSOMESHA WEWE NA INSHAALLA KAFAHAMU A ALEKUM 🕌❤️🕌❤️🕌❤️🕌❤️🕌❤️ INSHAALLA NAKUKUMBUSHA
Acha kuishi kama inzi
Hajasahau
Kichwa kisicho akili. Mzigo kwa shingo kwakweli.. hueleweki
MASHA ALLAH
Subhanallah
Mashallah naomba number ya huyu shekh kwa mwenye nayoo
Asalaam alykum nani atatusaidia kuipata no ya sheikh
Maashallah
Ogera sana
Mashaallah
Kama sikupata kwake hata kwa huyo mwanafunzi wake
Tunataka mawahabi wajieleze kama hivi
Ukitaka kusoma dini nenda pemba...Unguja na Tanga..huyu jamaa noma alisema akusanyiwe mashekhe wote ....kiboko huyu ila hajulikani..siku zote wajuaje hawajioneshi
umesahau na Kilwa
Ndio
Jamani naomba namba ya huyu shekhe nami nikafaidike kwake
+255714905308 sheikh Alli Iddi
Naomba kuuliza sheikh Othman maalim au Othman gani naomba mnisaidie kwa anaejua
Othman Khamis
@@ukhtysakinaa7664 shukra ukhty sakina
@@mwanahamisjuma3361 Afwan
Nami pia sijuwi nataka kufahamu Maalim Othman ndiye Sheikh Othman Khamis???
@@sungwizi3390 La ninavyoelewa mm Othman Khamis ni mwengine si Othman maalim
😭💘👌
Asalam alykum,,,mm ni muhitim wa degree ya ualim( bachelor of science with education) udom,,ninahitaj shule ya kiislam nifundishe nipate fadhila ya kuwafundisha waislam wenxangu(chemia na bioz)/ na geog au phy kwa olevel
Number yangu ni 0713166235,,,kwa atae nihitaj Inshaa Allah ,,popote nitafika
Nenda Al haramain pale k/koo mtaa wa lindi na shaurimoyo
@@omaryrajabu2970 Kaa na watoto wa ndugu zako uwasomeshe kwa ikhlaasi Allah atakulipa. Kama unataka lazima upate shule lengo lako ni mshahara sio kupata radhi za Allah .
Mashaallah sheikh Ali iddi nakukumbuka vizuri ulipokua Mtangani kisiwani PEMBA。Mashaallah unakiwakilisha vizuri kisiwa cha pemba kwa ajili ya Allah
Acha ukanda ktk Dini
MashaaAllah
Mashaa'Allah