NINAKUMBUKA SAYUNI LYRICS 1 Ninakumbuka Sayuni, nchi ya heri mbinguni, - I remember Zion, the blessed land in heaven bahari kama kioo na’furahia rohoni. - the sea is like glass and I rejoice in my soul Nyuma kimeta cha nuru Naona mji wa mbingu, - Behind the anthrax of light I see the city of heaven nyimbo za nyumba ya Baba nasikiliza daima. - the songs of the Father's house I always listen to Mapambazuko mbinguni yataondoa utaji, - The dawn in heaven will remove the veil vyote tulivyoamini tutaviona milele. - all that we believed we will see forever. 2 Mauti haina nguvu, Yesu a’vunja uchungu, - Death has no power, Jesus broke the pain naye aliwakomboa wote; wafalme, watumwa. - and he redeemed them all; kings, slaves Ninamtwika Mwokozi dhambi, huzuni na shida; - I put sins, sorrows and problems on the Savior mbavuni mwake nafasi kama bandari salama. - in his side a place like a safe harbor 3Kuna ‘jaribu njiani, mengi yakunizuia, - There are trials on the way, many hinder me na mara nyingi miiba, inaumiza miguu. - and often thorns hurt my feet Nikikumbuka Sayuni moyo huwaka kabisa, - When I remember Zion, my heart burns mbingu ninaitazama na ku’himiza safari. - I look at the sky and encourage the journey
Dorcas mwana witu, Mungu akulinde dada! unanisaidia sana na simplicite yako. I was watching you I felt through the holy spirit that had to remove the draids I had in my hair. I thank God, by watching you I was able to obey and listened to the holy spirit and I took them out of my head immediatly. Please! Don't ever change the way you are. Jesus is coming back
Amen dada for this comment, Roho wa Mungu atusaidie wana wa kike kulielewa hili . Maana wengi mapambo ya nje tumeyapa nafasi sana KATIKA Miili YETU na tukasahau ni HEKALU LA MUNGU .Love from T🇹🇿nzania ❤🙏🏿
Tunataka injili kama hzi!!siyo mbwembwe nyiiiiingi af ndan yke hkn uvuvio na utukufu wa bwna hpa unasikia hisia za kwel toka rohoni kua yupo yesu ndan yke!!dah mbarikiwe sana!!
"Ninakubali kuvunjika katika maisha yangu, maumivu na mapambano ambayo yanaelemea roho yangu. Ninaziweka mbele yako, nikiomba mguso wako wa upole ili kurekebisha kile kilichovunjika na kuleta mwanga mahali penye giza." Amina.
There is surely a devine heavenly connection between Kenyan Rwandees and Tanzania... God bless our continent. God bless the body of Christ in East African community 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I love this couple from the deepest end 9f my heart. They inspire me so much. How I pray that I also get a wife like Dorcas and raise a family founded on the worship of God. I love Rwanda and their ladies. Beautiful and God-oriented. 🇰🇪🇰🇪
Nabatikiwa na nyimbo zenu nikiwa hapa South Africa , nikisikikiza nyimbo natiwa nguvu za kusonga Mbele kumtumikia Mungu, Imani yangu huwa ina huishwa ❤❤❤
Am a Nigerian, but I so much appreciate the grace of God in your life.I love the lyrics we shall all make Heaven in Jesus name.Keep the fire burning.The Lord is your strength.
God bless you our beautiful souls in Rwanda we love you again let me take this opportunity to thank kenyans amazing people supporting n so loving from beautiful country of Kenya🇰🇪 thank you for loving Rwanda and Rwandans keep that heart❤ we love you too
Am filled with holy spirit whenever I listen to your Heavenly sound of you guys, may almighty God bless you for touching many souls 🙏 ❤ ♥ 💖 from Kenya 🇰🇪
Wow I really love these guys, they always bless my heart.I love all of your songs and may the Lord expand your territories in Jesus Name Almighty 🙏.Nyimbo zenu zina upako mwingi sana,hadi zinamsongesha mtu karibu na Mungu.Barikiwa sana ndugu na dada zangu katika kristo Yesu.Listening and watching Kenya🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
I bless you Papi, Dorcas and Marci,,, you are such blessing Sauls where by some of us can't even explain how blessed we are through your songs,,, be blessed so much🙏🇰🇪
❤❤Tunafulahini sana hapa kwetu Inchini Burundi tumebalikiwa Na nyimbo zenu yani hongeleni sana 🙏🙏🙏Tena tunawalibisha kwetu Bujumbura Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
More appreciation and congratulation from Tanzania 🇹🇿 to dada dorcas God bless you ...a simple woman without any complication on her dresses with a great God inside her heart💞💞
Halleluhya Halleluhya Jesus.. Such a powerful worship.. blessed Tm Papi family.. we are happy n blessed by your worship songs.. Much love ❤❤from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Full of the spirit of God.....papi it's like you were telling them how heaven will look like. Oh my.....thank you Jesus for your servants....they are singing with truth in their hearts....our bro Merci...I pray that God give you a great wife. Blessings to you all❤❤❤
hymns are the best way to go... um watching this vedio from Zimbabwe. i feel blessed to listen to yr music. even there is a language barrier. May God grant you more power to serve Him. Amen
NINAKUMBUKA SAYUNI LYRICS
1
Ninakumbuka Sayuni, nchi ya heri mbinguni, - I remember Zion, the blessed land in heaven
bahari kama kioo na’furahia rohoni. - the sea is like glass and I rejoice in my soul
Nyuma kimeta cha nuru Naona mji wa mbingu, - Behind the anthrax of light I see the city of heaven
nyimbo za nyumba ya Baba nasikiliza daima. - the songs of the Father's house I always listen to
Mapambazuko mbinguni yataondoa utaji, - The dawn in heaven will remove the veil
vyote tulivyoamini tutaviona milele. - all that we believed we will see forever.
2
Mauti haina nguvu, Yesu a’vunja uchungu, - Death has no power, Jesus broke the pain
naye aliwakomboa wote; wafalme, watumwa. - and he redeemed them all; kings, slaves
Ninamtwika Mwokozi dhambi, huzuni na shida; - I put sins, sorrows and problems on the Savior
mbavuni mwake nafasi kama bandari salama. - in his side a place like a safe harbor
3Kuna ‘jaribu njiani, mengi yakunizuia, - There are trials on the way, many hinder me
na mara nyingi miiba, inaumiza miguu. - and often thorns hurt my feet
Nikikumbuka Sayuni moyo huwaka kabisa, - When I remember Zion, my heart burns
mbingu ninaitazama na ku’himiza safari. - I look at the sky and encourage the journey
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🙏😊🌝🥳💃💃💃
Hallelujah Hallelujah
🙏🙏🙏
❤❤
Watu waburundi naomba like zenu kama unamupenda papi and dorca
Kenyan gospel artist where are you? Gather here plsz these is how gospel is supposed to be sing nyimbo yenyewe inafanya unaokoka by force by fire
i tell you waache kutuaibisha uku kenya na tunataka kufika mbingu ya saba ,,, kenyans plz 🇰🇪🇰🇪for Jesus
😭
Tunabarikiwa sana hapa Kenya🇰🇪 na nyimbo zenu🙏🙏
Dorcas mwana witu, Mungu akulinde dada! unanisaidia sana na simplicite yako. I was watching you I felt through the holy spirit that had to remove the draids I had in my hair. I thank God, by watching you I was able to obey and listened to the holy spirit and I took them out of my head immediatly. Please! Don't ever change the way you are. Jesus is coming back
Mwanitu ove hayi
Amen dada for this comment, Roho wa Mungu atusaidie wana wa kike kulielewa hili . Maana wengi mapambo ya nje tumeyapa nafasi sana KATIKA Miili YETU na tukasahau ni HEKALU LA MUNGU .Love from T🇹🇿nzania ❤🙏🏿
@@gloriousnpheloo
Thanks you holly sprits do your work . Uou free my sister through my artists dorcas .father we need to know the true and true set us free.Amen
@@reubenkidwaro4967 ,
Receive greetings and much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nawapenda sana mungu awatunze Kwa nyimbo nzuri zatubariki❤
Hii ndio inapamba sasa ❤❤❤❤love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪
Tunataka injili kama hzi!!siyo mbwembwe nyiiiiingi af ndan yke hkn uvuvio na utukufu wa bwna hpa unasikia hisia za kwel toka rohoni kua yupo yesu ndan yke!!dah mbarikiwe sana!!
😢 ee Mungu zidi kuinua hawa watoto 😂 😢 asanteni kwa injiri
"Ninakubali kuvunjika katika maisha yangu, maumivu na mapambano ambayo yanaelemea roho yangu. Ninaziweka mbele yako, nikiomba mguso wako wa upole ili kurekebisha kile kilichovunjika na kuleta mwanga mahali penye giza."
Amina.
Who said gospel is not sweet😍tuwape Millions plus views jamani💯
Gospel fantastic
Is sweet
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 God bless you for this spirit filled song
There is surely a devine heavenly connection between Kenyan Rwandees and Tanzania... God bless our continent. God bless the body of Christ in East African community 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen
Amen
Humbled, with great LOVE, kirinyaga county, Kenya, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
God bless u all,karibuni kwetu Tanzania.
Lovely song very inspiring 🇰🇪🇰🇪 you are really blessed and with strong message in your songs
Kutoka Tanzania tunabarikiwa sanaa
Sasa hii ndio Radha yangu. Naimba nkirudia.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I love this couple from the deepest end 9f my heart. They inspire me so much. How I pray that I also get a wife like Dorcas and raise a family founded on the worship of God. I love Rwanda and their ladies. Beautiful and God-oriented. 🇰🇪🇰🇪
Sofa zote zinarudi kwake mungu wetu na mungu wa mbinguni awabariki sana wandungu.pokeemi salami kutoka kenya..
Yoooo Eeemungu uyivugwe bwenene kibenge ukatugulula nomuko gwaye Rurema, Papi numugore wawe imana ibahe umugisha hamwe na pianist merci Umwami Yesu twamenye akomeze abagwizeho Amavuta❤❤
Vyote tulivyo amini tutaviona milele 🤲🙏🙌❤️
Depuis le congo RDC que j'écoute vos chansons chaque jour je le même dans mon téléphone que Dieu vous bénisse abondamment 😢😢😊
Nikweli kbs namushulu mungu Kwa KAZI njema ambayo amefanya ndani yenu mubalikiwe mutokapo asubui mubalikiwe mu ingiyapo njioni 🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏💐💐🙏🙏🙏👏🎉🎉🎉
Nimebarikiwa saaana apa congo ❤❤❤na ninamupenda sana dada dorcas na simplicité yake djo wimbo ninalala nawo ❤❤❤ munanisaidia sana mungu awabariki sana
I love the way the man in Black dances for the Lord may God fill Yu more with grace young man
Ubundi mwebwe muri beza bacu turabakunda nta numwe uvuyemo❤
Murakoze cyane Duhawe umugisha nindirimbo nziza muturirimbiye twabasabaga guhindura iryojambo mwanditse Sauni baryandika Sayuni
Nabatikiwa na nyimbo zenu nikiwa hapa South Africa , nikisikikiza nyimbo natiwa nguvu za kusonga Mbele kumtumikia Mungu, Imani yangu huwa ina huishwa ❤❤❤
Am a Nigerian, but I so much appreciate the grace of God in your life.I love the lyrics we shall all make Heaven in Jesus name.Keep the fire burning.The Lord is your strength.
haaa mungu bariki watoto wako 🇨🇩🇨🇩 nawapenda sana kaka papi na dada dorcas 🥰🥰
Ninawapenda sana dorcas na papii clever bila kumsahau pianist,nyibo zenu za niponya roho yangu,natamani nije niwatembelee Rwanda,love from Tanzania
Camping here with love and worship from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏😊
Be Blessed much greetings from Thika Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
AMEN. TEAM STRONG 💪💪 FROM SAUDI ARABIA ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
God bless you our beautiful souls in Rwanda we love you again let me take this opportunity to thank kenyans amazing people supporting n so loving from beautiful country of Kenya🇰🇪 thank you for loving Rwanda and Rwandans keep that heart❤ we love you too
Papi wewe umebarikiwa na uibaji,Mungu azidi kuwainua ili mweze kuwa baraka kwa wengi🙏Kenya tumebarikiwa ameniweka huru kweli inanibariki sana
I love this song jamani Mungu awabariki sending lot of loves from TZ
mko vizuri sna,mungu awabariki sna,pia mwendelee kishirikiana
God bless as you continue to minister with those wonderfu songs
Muhezagigw kandiman ibandanye ibagirira nez amen
Hallelujah hallelujah!!! Blessed witnesses of Jesus Christ. We love you so much from Tanzania 🇹🇿
Vyote tulivyoamini tuta iona milele..amen
🙌🙌🙌...
Tukumbuke zayunj
🇰🇪🇰🇪🇰🇪thank you for another hit song...we are proud 🇰🇪🇰🇪
Am filled with holy spirit whenever I listen to your Heavenly sound of you guys, may almighty God bless you for touching many souls 🙏 ❤ ♥ 💖 from Kenya 🇰🇪
❤Nawasalimia kwa jina la YESU Mungu Mkuu awabariki na kuwalinda
Natamani kujiunga nanyi , mbarikiwe sana na mfanye KAZI ya Mungu.
Wow I really love these guys, they always bless my heart.I love all of your songs and may the Lord expand your territories in Jesus Name Almighty 🙏.Nyimbo zenu zina upako mwingi sana,hadi zinamsongesha mtu karibu na Mungu.Barikiwa sana ndugu na dada zangu katika kristo Yesu.Listening and watching Kenya🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
haki si mlibarikiwa kweli na sauti nzuri na talenta nzuri msifunike kibawa jenu mungu hawainuwe nyote ,,mko zawa kabiza from kenya
I'm so much blessed by all your songs,papi,dorcas and your friend, 😊keep moving, good job from Kenya 🇰🇪🙏❤
I bless you Papi, Dorcas and Marci,,, you are such blessing Sauls where by some of us can't even explain how blessed we are through your songs,,, be blessed so much🙏🇰🇪
Kenyans are you here with me😘😘?? Watching from Kenya.. am blessed.
❤❤Tunafulahini sana hapa kwetu Inchini Burundi tumebalikiwa Na nyimbo zenu yani hongeleni sana 🙏🙏🙏Tena tunawalibisha kwetu Bujumbura Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Sijui niseme nn,mm aki nyimbo zenu zote zinabariki sana...MUNGU awape neema zaidi.amina
Wimbo mzuri sana much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Na barikiwa Sana na muonekano wa mavazi hawa Sasa ndo wenye kuelimisha wakristo 🙏blessed MUNGU azidi kuwa ndani yenu barikiwa sana
Some of us have hope because of ur songs and believe that every word the lord has ever promised well come true kwa yesu kuna raha
inaguza roho bcoz its pure scriptures and the sound inspired by the Holy ghost himself cleaan music mwaaa🥳🤩
Natulizwa roho na wimbo wa wana wa Mwenyezi Mungu. Asante Mungu kwa kuwafanya baraka
Kutoka Uganda we're getting blessed
Umwami yesu ajye abaha umigisha kd muzakomeze muberane umugisha ntihakagire ikizabatanya mwizina ryayesu
Mungu amushikilie na upendo wake mzidi kutubaliki na nyimbo zenu.
Your gospel songs makes me feel so blessed, thanks and my God grant you guidance and wisdom in His mighty name 🙏
Wewe ndio muimbaji napenda thanks for your songs. And be blessed
😲 wow.... Amazingly done....l remember Zion that great city... blessings blessings my brothers and my sister...nawapenda sana ,,,from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪
Great song and full of holy spirit...we need more of this songs.Watching from Kenya.For future generations,today is 04/11/2023,08:04 a.m
More appreciation and congratulation from Tanzania 🇹🇿 to dada dorcas God bless you ...a simple woman without any complication on her dresses with a great God inside her heart💞💞
Halleluhya Halleluhya Jesus.. Such a powerful worship.. blessed Tm Papi family..
we are happy n blessed by your worship songs..
Much love ❤❤from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huu wimbo umeniinua saaana be blessed.
Love song hallelujah hallelujah my Lord God bless you Dorcas papi merci❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kenya tukipata kama hawa ushuru inashuka 🙏🙏🙏😢😢😢
Waimbaji wa 🇰🇪🇰🇪wajiite mkutano sifaa huanza moyoni si kukibishana na utajiri na kutaka kujulikana hii couple itaeda mbali
Watching from Namibia 🇳🇦 my lord blessing you 🙏🏻
we are so lucky to be in this generation of these great artists. we love you Papi ,Dorcas and merci the pianist
Ninyi n watu wa Mungu.
Ndabakunda muribeza can imana ibageze kure mwifyuzq
Blessings blessings watumishi wa mungu wetu, Kenya we're watching
Muraduhezagira cane aho turi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 amahoro yuzura imitima yacu.Mungu awalinde na awaongezee nguvu za kumutumikia.
Full of the spirit of God.....papi it's like you were telling them how heaven will look like. Oh my.....thank you Jesus for your servants....they are singing with truth in their hearts....our bro Merci...I pray that God give you a great wife. Blessings to you all❤❤❤
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu kutoka Tanzania morogoro
Mungu awabariki Sana nimepata Ajali nikavunjika mkono nikakutana Na huu wimbo nikasikia kuwa Na Amani Na mshindi ❤❤
Pole sana nakutakia uponyaji wa haraka
Kenya tunabarikiwa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mapambazuko mbinguni, alleluia... Bientôt toutes les douleurs seront finies... Alleluia wakristo wa Goma tuna sema aksante
vyote tulivioamini tutaviona milele🤲♥️♥️♥️
Another message for the body of christ..much love from kenya🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 I love the way you remind us about heaven and everlasting life
Mbakunda nkinka imwe bana b’Imana ❤❤❤❤
Kenya diaspora represented 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Another hit song,
All my day team Papi/Dorcas n Merci ... nice song n keep shinning
Mungu awabariki sana ,hizo nyimbo zenu hakika ni za kututia moyo
hymns are the best way to go... um watching this vedio from Zimbabwe. i feel blessed to listen to yr music. even there is a language barrier. May God grant you more power to serve Him. Amen
Nawapenda watumishi wa MUNGU ❤❤❤ 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Why am I nearly crying 😭😭😭 Jesus Christ, Thank you so much for the Salvation 🙏🏾
Hapa jamuhuri show ground Ngong Rd,unanguruma kakangu." Mungu wetu Awape upunifu na ulinzi wake daima Amen.
Mungu awabariki sana, mimi pia na barikiwa sana kabisa na nyimbo zenu.
Zidi kuinua mioyo ya watu siku zote .
Liz from Kenya
Mubarikiwe na Bwana yani mumenivutiya sana mkewe anamapambo yakiroho God be whith you
May God bless these beautiful people for ever. Your songs minister alot to me🤝🤝
Nukuri imana ikoze kubarina❤❤😅😮
When i remember zion....what a spirit filled God bless you moch love frm Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen Alléluia nifuza kubabona ndabakunda cyaneee mu ndilimbo zanyu naboneyemo yesu wurukundo pe