Ngelela Ng'wana Samo_Moto Nkali Luchagula_Officia Audio

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @mariammasaga8410
    @mariammasaga8410 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪Mungu azid kukubarik na kipaji chako ila ipo siku na mm ntakuita mm ni mmoja wa mashabiki wako barikiwa Sana jidagu🙏🙏🙏

  • @jthedjmusicngudukwimbatv7707
    @jthedjmusicngudukwimbatv7707 ปีที่แล้ว +1

    Japo nimechelewa kidogo mi nawapongeza madj wenzangu wote tunaosaport kaz za asili pia wasanii wote wa nyimbo za asili pamoja saaaaaana niite j the dj music ngudu kwimba tumeuwasha tena

  • @deejaybngudukwimba2857
    @deejaybngudukwimba2857 ปีที่แล้ว +2

    Kitambo sanaaaaaaa mzigoooo ushachotwa Niite DeejaY B Macomputa from Ngudu Kwimba

    • @ngelelasbupina
      @ngelelasbupina  ปีที่แล้ว +2

      haaaaaa haaaaa kijana uko shap

    • @deejaybngudukwimba2857
      @deejaybngudukwimba2857 ปีที่แล้ว +2

      Natamani sana uje upige show hapa Ngudu Tena napendekeza njoo upigie uwanja wa kwideko .. utajaza sana .. unajua huku mashabiki wananisumbua sana .. ukija usiendee kupiga shooo ilumba nakuomba njoo upigie kwenye uwanja wa kwideko 🙏🙏🙏

    • @deejaybngudukwimba2857
      @deejaybngudukwimba2857 ปีที่แล้ว +1

      Mimi kazi YANGU ni kuwa na Kila anachotoa msanii na kwa hii nyimbo lazima kesho isumbue Wilayani

  • @peterjosephnzegatvnzegaasi5681
    @peterjosephnzegatvnzegaasi5681 ปีที่แล้ว +2

    Ngelela haulali

  • @musasamwel5544
    @musasamwel5544 ปีที่แล้ว

    Kitambo Ngoma ishachotwa