ALLY KAMWE ALIVYOTUA AIRPORT KWA MBWEMBWE AKIELEKEA MOROCCO KWENYE DROO YA AFCON

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 143

  • @longinomartin6062
    @longinomartin6062 5 วันที่ผ่านมา +2

    Ally Heshima kubwa ulipewa nidhamu yako /utanashati wako na uogeaji wako ulio tukuka Hapo sehemu nyeti sana naomba hadhi zote unazo nakuomba pia nywele zako ziwe fupi zaidi -kwasisi tulio soma zamani mwl alikuwa akikagua usafi akisha kuona kichwani jicho lake utaona anakupisha -Hongea sana kukutana viongozi wakubwa wa dunia 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MussaMbwana-o6q
    @MussaMbwana-o6q 8 วันที่ผ่านมา +7

    Mwenyezi Mungu akubariki na safari njema nenda kuwakilishe nchi na yanga kwa ujumla

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 8 วันที่ผ่านมา +1

      @@MussaMbwana-o6q hauna chako jindungeni tu misindano na kugusa achiaa twende makumbusho sio lobo finally tena 😂😂😂😂

  • @tonwakixanga
    @tonwakixanga 8 วันที่ผ่านมา +6

    Hongera sana ally kamwe apo umetisha baba unabaya 🎉🎉🎉🎉🎉

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 8 วันที่ผ่านมา

      @@tonwakixanga 😂😂😂 munajifaliji wakufeli club bingwa. Munapotezea wazee wa gusa achiaa twende makumbusho sio lobo finally 😂😂😂

    • @JacklineMwaleleka
      @JacklineMwaleleka 6 วันที่ผ่านมา

      Acha wivu​@@bernardmboma1461

  • @goodlucksoko4049
    @goodlucksoko4049 8 วันที่ผ่านมา +8

    Hongera sana semaji mwenyewe wengine wapiga debe tyu nakubana pua

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 8 วันที่ผ่านมา +7

    Hongera sana semaji letu daima mbele nyuma mwiko kazi iendelee 💛💚💚🎉🎉

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 8 วันที่ผ่านมา

      @@fatmaomar8335 😂😂😂 munapotezea wazee wa gusa achiaa twende makumbusho sio lobo finally tena 😂😂😂

    • @BullahSambiga
      @BullahSambiga 7 วันที่ผ่านมา

      We kolo kaa kimyaa mkubwa anaongea

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 7 วันที่ผ่านมา

      @BullahSambiga gusa achiaa twende makumbusho sio lobo finally 😂😂😂

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 7 วันที่ผ่านมา

      Wakujidunga fc 😂😂

    • @JacklineMwaleleka
      @JacklineMwaleleka 6 วันที่ผ่านมา

      Wivu​@@bernardmboma1461

  • @scopy0428
    @scopy0428 8 วันที่ผ่านมา +9

    Ally Kamwe kishua sana hizi ni zawachache Ogopa

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 8 วันที่ผ่านมา +6

    Hii ndo tofauti kati ya msemaji na Comedian

  • @LucyMambally
    @LucyMambally 7 วันที่ผ่านมา

    Umependeza sana Kiongozi, utawaua hao wenye wivu na chuki zao. Mungu akikupa hakuna wa kujunyang'anya. Umedamshi sana Mdhua!!. Big up!!

  • @georgemallya4311
    @georgemallya4311 8 วันที่ผ่านมา +6

    Mimi ni simba ila wew na Ahmed Ally mnatupa raha sana.naona leo umeamua kutupa dozi yetu.hongera sana kwa kupata hiyo nafasi.

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 8 วันที่ผ่านมา

      @@georgemallya4311 raha gn wazee wa gusa achiaa twende makumbusho sio lobo finally tena 😂😂😂

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 8 วันที่ผ่านมา

      Hakuna Cha maana hapo mumefeli wakujidunga fc 😂😂😂

    • @LucyMambally
      @LucyMambally 7 วันที่ผ่านมา +1

      Geo wewe ni mzalendo halisi waundishe hso wenye wivu waache vhuki zao ili nao watoke!!!

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 8 วันที่ผ่านมา +5

    Ahmed ally anaropoka sana mpaka anapoteza mvuto.Yaani amekuwa kama mhuni Fulani hivi.HONGERA SANA ALLY KAMWE.

    • @beatbyrich2891
      @beatbyrich2891 8 วันที่ผ่านมา

      Sahihi jamaa anaongea tu kufurahisha watu wake lakini mengi hayana kujenga anafikiri mambo yanishia hapahapa tu

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 8 วันที่ผ่านมา

      Wote waropokaji kuna kuzidiana tu..... wanaharibu saana mpira wanasema sana badala ya kuzisemea timu kazi kujisifu sifu....

  • @IbrahimHaikali
    @IbrahimHaikali 7 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤safi sana bro

  • @iddiadam2366
    @iddiadam2366 8 วันที่ผ่านมา +5

    Msemaji Mwenye Ubongo🙌🏾Kila lakher Mwenyekiti Wa Wasemaji

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 7 วันที่ผ่านมา

      @@iddiadam2366 anaenda kuchumbua nn huyo kingeleza chenyewe ni shida 😂😂😂😂

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 7 วันที่ผ่านมา +2

    Kamwe Unajuw Ball Kulichambuw❤🎉✅💚

  • @MichaelVicent-b8f
    @MichaelVicent-b8f 8 วันที่ผ่านมา +7

    Nchii hii msemaji ni 1 wengine wasubiri ally kamwe arudi toka morocco kwanza

  • @MaikoMasnja
    @MaikoMasnja 4 วันที่ผ่านมา

    Ally kamwe napenda namna unavochambua kwa kiwango ndo maana ukawa semaji kuu la wasemaji ote hongera sana

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 8 วันที่ผ่านมา +2

    Ishallah kesho ya mungu kwetu sisi wanayanga ni nzr

  • @FaridaMbingamno
    @FaridaMbingamno 8 วันที่ผ่านมา +1

    Msemaji ni mmoja tu wengine tuendelee kuimba tarabu tu asante ally kamwe

  • @KudraEliasa
    @KudraEliasa 7 วันที่ผ่านมา

    Nic San Ally kamwe hongela San jmn

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 8 วันที่ผ่านมา

    Mashaa Allah
    Hongera sana

  • @priscamboya3091
    @priscamboya3091 7 วันที่ผ่านมา

    Kweli Kuna mesmaji na wachomaji hongera kijanaMungu akulinde

  • @EstherKibuta
    @EstherKibuta 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera semaji letu

  • @AhmedMuhammad-b5n
    @AhmedMuhammad-b5n 7 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana, Wanawake hawapendi wanaume weupe😂😂😂😂😂😂

  • @ZawadiEliakim
    @ZawadiEliakim 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera semaji letu❤

  • @careemdulla1629
    @careemdulla1629 8 วันที่ผ่านมา +4

    Hongera sana Semaji Ally Kamwe 🎉🎉🎉

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 7 วันที่ผ่านมา

      @@careemdulla1629 😂😂😂 hakuna kitu hapo munapotezea baada yakutolewa . Mumeishiwa sera wazee wa gusa achiaa twende makumbusho sio robo finally tena

  • @lilianfrance9421
    @lilianfrance9421 8 วันที่ผ่านมา

    Semaji letu, nakukubali sana Ally💪🏼

  • @AbbySule-un3xg
    @AbbySule-un3xg 8 วันที่ผ่านมา +3

    Ndio raha ya nchi yetu Tanzania

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mashaallah mungu ni mwema dua tu kila hatua uende salama na urudi salama 💚💛💚💛👏👏👏👏👏

  • @saidilindukwa
    @saidilindukwa 8 วันที่ผ่านมา +2

    Ahmed Ally abadilike Sana,inapohusu Simba aizungumzie Simba mipango yake,lkn kwenye mambo ya msingi ataacha ataisema Yanga uongozi hajui kitu, kamwe atawaacha Mbali sana

  • @BeaSHAYANAHunterson
    @BeaSHAYANAHunterson 8 วันที่ผ่านมา +1

    hongera sana semaji letu la Yanga❤🎉🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤

  • @MohamedSalim-g2i
    @MohamedSalim-g2i 8 วันที่ผ่านมา

    Semaji umetisha🔥🔥🔥🔥

  • @DoryGeorge
    @DoryGeorge 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hongeraaa ally

  • @NchembaNchemba-of7db
    @NchembaNchemba-of7db 8 วันที่ผ่านมา

    Sana🎉semaji mwanzo mzuri wa mwaka kwako

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 7 วันที่ผ่านมา

    Semaji la mabingwa 💚💛

  • @gerrymimi9387
    @gerrymimi9387 7 วันที่ผ่านมา

    Taabu yako Ali, ni kiburi. Kupenda sana kujisifia. Acha usifiwe na wengine.

  • @PrisilaDeus
    @PrisilaDeus 8 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 8 วันที่ผ่านมา +2

    Umejua kuwa shika

  • @PatrickNyanghungo
    @PatrickNyanghungo 8 วันที่ผ่านมา

    Wewe nimsemaji Bora Sana

  • @JacklineMwaleleka
    @JacklineMwaleleka 6 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 et appearance

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 8 วันที่ผ่านมา

    Tunakutakia kila la heri huko uendako kaka mungu akubariki sanna

  • @ShukuruDihowe
    @ShukuruDihowe 8 วันที่ผ่านมา

    Congratulations

  • @SurprisedAgilityPuppy-tj3wk
    @SurprisedAgilityPuppy-tj3wk 8 วันที่ผ่านมา +2

    Ila jaman wangempa morison uraiya jaman

  • @shafiimdogwa1482
    @shafiimdogwa1482 8 วันที่ผ่านมา

    Mwanangu Kamwe kuna Mama Mtaan kwetu Anakuchukia Sana Kutokana na Kauri Zako Za Kuhumiza Nataman Siku Nikukutanishe Nae Utacheka

  • @godfreymakau3932
    @godfreymakau3932 8 วันที่ผ่านมา

    Umetisha

  • @hemedrashid2921
    @hemedrashid2921 8 วันที่ผ่านมา +1

    shidaa msemaji wa panyaa road hawawezii kumwalika muhuniii😂😂😂😂

  • @AbubakarQuhafa
    @AbubakarQuhafa 8 วันที่ผ่านมา +1

    @YANGA TV Niko Morocco na Nina zawadi ya Msemaji in Sha Allah naombeni apate hizi salamu

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 8 วันที่ผ่านมา

    Ila ally kamwe 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉💚💛💛💚

  • @SaidSultan-zo6hb
    @SaidSultan-zo6hb 8 วันที่ผ่านมา +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @AdamuIsaya
    @AdamuIsaya 7 วันที่ผ่านมา

    😂😂 uzuri hata azam tv wanaonyesha ila ally kamwe dah

  • @MRMLETA
    @MRMLETA 8 วันที่ผ่านมา

    kweri mdogo wng,ally kamwe yanga oyeeeeeeee

  • @NicodemusMemba
    @NicodemusMemba 8 วันที่ผ่านมา +2

    Malaika wa MUNGU wakulinde

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 8 วันที่ผ่านมา

    Allaah Akbar

  • @ObadiaMartin-mk1gd
    @ObadiaMartin-mk1gd 7 วันที่ผ่านมา

    Uwakia kabisa mkuuu

  • @hafia.056
    @hafia.056 8 วันที่ผ่านมา

    The biggest club in Africans is Youngs Africans vipi lakini apo jibu lake it's on always sugar muwaa cream maziwa chai cream n.k yes yes yes it's definitely Thank you for our country Team yanga Africans Tamu Tamu eee hayaa Twendeee kazi wananchi wooote wooote wooote Thank you very much all

  • @Maiko.kidube
    @Maiko.kidube 8 วันที่ผ่านมา

    Ok👍

  • @eddsonjeremiah6669
    @eddsonjeremiah6669 7 วันที่ผ่านมา

    Msemaji pekee mwenye medali ya caf tanzania

  • @InnocentMlowe
    @InnocentMlowe 7 วันที่ผ่านมา

    Daah! Mwamba ananikoxha cn

  • @HelenChales
    @HelenChales 8 วันที่ผ่านมา

    Mungu Akuta gulie

  • @IbraahIsmail
    @IbraahIsmail 8 วันที่ผ่านมา +1

    mimi namwangalia tu mdada hapo anajua kutabasamu hahahhahh

  • @NasikikaTV
    @NasikikaTV 8 วันที่ผ่านมา

    Ahmed ally hatokuwepo kwa kweli😅

  • @yasinichankanda2090
    @yasinichankanda2090 8 วันที่ผ่านมา

    Kwa hili Sasa Ahmed ally kamdomo fyuu 😂

  • @BeaSHAYANAHunterson
    @BeaSHAYANAHunterson 8 วันที่ผ่านมา +1

    kitale😂😂😂😂

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ila ally 😂😂😂

  • @DottoChristopher-q2m
    @DottoChristopher-q2m 8 วันที่ผ่านมา

    Mzamiaji unamsema Nani ally

  • @violethkalinga2980
    @violethkalinga2980 8 วันที่ผ่านมา

    Ali 😅😅😅😅😅😅daaah 😅

  • @silvestarmartin
    @silvestarmartin 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ongea kijana

  • @mariajames5558
    @mariajames5558 8 วันที่ผ่านมา

    Kwel msemaj ni mmoja bac ni Ally Shaban kamwe.wengine ni mashabiki

  • @NemaMsungu
    @NemaMsungu 8 วันที่ผ่านมา

    Safi semaji la caf

  • @MeshackChalamila-v3v
    @MeshackChalamila-v3v 7 วันที่ผ่านมา

    All Ali kamwe

  • @clementntinginya9747
    @clementntinginya9747 8 วันที่ผ่านมา

    Chapa kazi kwelkwel

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i 8 วันที่ผ่านมา

    💚💛

  • @Thomasjujumen
    @Thomasjujumen 8 วันที่ผ่านมา +1

    Na unavojisifia sasa utazan timu yako imefuzu hata kuingia robo 😂😂

  • @hassanimngetege2904
    @hassanimngetege2904 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana Ally

  • @Japanese-lz1or
    @Japanese-lz1or 8 วันที่ผ่านมา

    Katuwakilishe vyema semaji la wananchi

  • @TumainAyoo
    @TumainAyoo 7 วันที่ผ่านมา

    Ongera jembe

  • @Chunja-m2g
    @Chunja-m2g 8 วันที่ผ่านมา

    Semaji la DUNIA

  • @abdulhalimahmed1576
    @abdulhalimahmed1576 8 วันที่ผ่านมา

    Duh mpira umetushinda hilo ndio lilobakia

  • @songombingo108
    @songombingo108 8 วันที่ผ่านมา

    Halafu kule Madunduka kuna Pimbi anajiita Semaji la Nyoko.😂😂

  • @saidilindukwa
    @saidilindukwa 8 วันที่ผ่านมา +1

    Nilisema zamani Kwa mmakonde mwenzangu Ahmed Ally,,tatizo lake yeye kila siku Kazi yake ni kuisema Yanga badala atulie azungumze kuhusu football hafanyi hivyo

  • @PeterEdward-p6b
    @PeterEdward-p6b 8 วันที่ผ่านมา

    Bhaghosha nimumo muyo tata

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 8 วันที่ผ่านมา

    Wadanganye hao hao mashabiki wa wakujidunga fc 😂😂😂

  • @MariamZanzibari
    @MariamZanzibari 8 วันที่ผ่านมา

    Wewe ndio msemaji bora pekee

  • @MutaDavid
    @MutaDavid 8 วันที่ผ่านมา

    Sasa wapoe kabisa Kama maji ya mtungi na wapate la kujifunza namna ya kujibrandi

  • @pascalemmanuel2557
    @pascalemmanuel2557 8 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KibushiRashid
    @KibushiRashid 8 วันที่ผ่านมา

    Amnasela kaombeni msisushwe lenk

  • @ROBERTLUGOLA-w2u
    @ROBERTLUGOLA-w2u 6 วันที่ผ่านมา

    Wewe ndo semaji la caf kwel na si mwingine

  • @GULIELMAS
    @GULIELMAS 7 วันที่ผ่านมา

    Hicho ndicho mnachojivunia msimu huu, kwamba Ally kamwe na clabu yake wamealikwa na cuf.

  • @mealsbymana6561
    @mealsbymana6561 8 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉💛💛💛💚💚💚💪🏾🙏🏽

  • @comfortkitiwi2879
    @comfortkitiwi2879 8 วันที่ผ่านมา

    Kamwe umependeza Leo tupe jina la saloon uliyoenda

  • @kitomarijames3507
    @kitomarijames3507 8 วันที่ผ่านมา

    Huyo dada ni nani

  • @anethmeijo1398
    @anethmeijo1398 8 วันที่ผ่านมา

    Tanzania ndio nchi pekee ambayo inampigia kingora Hata mfugaji na kufunga barabara

    • @VICTORMBWIGA
      @VICTORMBWIGA 8 วันที่ผ่านมา

      Hata ww ukiwa na hela zako unaenda polisi wanakupa escot mbona kama unakua mgeni na mambo haya ndugu?

    • @anethmeijo1398
      @anethmeijo1398 วันที่ผ่านมา

      @VICTORMBWIGA we umewahi pewa escort?

  • @patrickndizeye2190
    @patrickndizeye2190 8 วันที่ผ่านมา

    Hahhahahaha❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤

  • @JanifferGamba
    @JanifferGamba 8 วันที่ผ่านมา

    🧠 brain nimenyook hii

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 8 วันที่ผ่านมา

    Kashiwa huyo hana sera baada yakutolewa club bingwa anatafuta kiki. Na hana kz yakifanya timu yimeshatolewa . Gusa twende makumbusho 😂😂😂

    • @ManirambonaBashiri
      @ManirambonaBashiri 8 วันที่ผ่านมา +1

      Mbona unaangaika saaana? Njia rahisi kama umechukia kajinyonge tu! huyo ndie msemaji peke Africa mashariki na Kati.

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 8 วันที่ผ่านมา

      @ManirambonaBashiri nani ajinyonge nyinyi ambaye mumetolewa ndo mujinyonge Kwan ww yinakusaidia nn hiyo safari.

    • @EliaMkumbo-wn7bm
      @EliaMkumbo-wn7bm 8 วันที่ผ่านมา

      Huko kwa mafelia ndo unaona unamechi sasa siye tulishapiga hayo mataru taru sanaa huko hadi fainali ww mshamba

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 8 วันที่ผ่านมา

      @EliaMkumbo-wn7bm Sasa ww umeshawahi kufika wp club bingwa sisi wenzio tumefika mara nne robo finally. Sasa ww kila ukingia unaishia makundi.

    • @bernardmboma1461
      @bernardmboma1461 8 วันที่ผ่านมา

      @EliaMkumbo-wn7bm club bingwa ya ma giant ndugu yangu ndo maana Simba yupo nafasi ya tano na msimu huu antazidi kupanda 😂😂😂 hupooo

  • @DeogratiasRobert-re2cb
    @DeogratiasRobert-re2cb 8 วันที่ผ่านมา

    Kamdomo kamdomo umepelekwa na enjonia tu

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 8 วันที่ผ่านมา

    Mbona kule upande mwingine hayupo hata mmoja?

    • @chizashungu8364
      @chizashungu8364 8 วันที่ผ่านมา

      Yule yupo anasheherekea ushindi wa kuingia robo.Kashasahau kuwa Hays mashindano ameshawahi kushakashifu.

    • @sosomacharles9920
      @sosomacharles9920 8 วันที่ผ่านมา

      @chizashungu8364 Kazi anayo.

  • @silvestarmartin
    @silvestarmartin 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ww ni jembe daima mbele nyuma mwiko

  • @musamusa6213
    @musamusa6213 8 วันที่ผ่านมา

    Ha ha ha ha bgp sanaaa

  • @marymoshi572
    @marymoshi572 8 วันที่ผ่านมา

    😅

  • @GeorgeKivugo
    @GeorgeKivugo 8 วันที่ผ่านมา

    Huyu dogo anajua atafika mbali... sio yule wa kolo

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 8 วันที่ผ่านมา

    Na huyu jamaa angekuwa mchambuzi wa tarabu maana haana jipya . Simba mdogo ww uko wp na yanga uko wp.