Historia ya Ustadh Muhammad Albeidh - ustadh Ali Alhaidary

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 4

  • @Manimajura
    @Manimajura หลายเดือนก่อน

    MashAllah MashAllah Allah akubariki kwa historia hii na Allah amrahamu Mwanazuoni huyu na amlipe malipo makubwa

  • @QadraGure
    @QadraGure หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @salimmohamed3668
    @salimmohamed3668 26 วันที่ผ่านมา

    Mashallah Tabarakallah
    Ustadh Muhammad Albeidh
    Lau utamtaja ndani ya Yaman basi hakuna asiemjua
    Ustadh Muhammad Al'beidh ni miongoni wa wanachuoni wakubwa katika Hii Dunia
    Allah amtilie Nuru katika Qabri Lake. Kazi alizofanya za Da'awah ni kubwa,Allah Atupe Barka zake
    DUA NA shukrani zimwendee Ustadh Ali Al-haidary wa jazakallahu Kheir

  • @husha6372
    @husha6372 25 วันที่ผ่านมา

    Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu alipokuja London September 2013 nilimwalika nyumbani kwangu na hakunidharawu ALIKUJA tukasoma Maulidi ya Alhabshy