LADY JAYDEE: WANAFANYA CHOCHOTE WAZUNGUMZIWE / SIWEZI KUFUNGIWA NA BASATA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • LilOmmyTV channel maalumu ya Burudani na EXCLUSIVE interviews kutoka kwa masta unaowakubali.
    Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp, Facebook au Twitter.
    Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
    / lilommy
    / lilommy
    www.lilommy.com
    for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea www.lilOmmy.com

ความคิดเห็น • 56

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว +8

    Show yakizazi sana, love you Legendary *LADY JIDE*

  • @bagumandongwe8566
    @bagumandongwe8566 5 ปีที่แล้ว

    LIL OMMY nakupata sana ,nakukubali sana kwa utangazaji ,big up sana , kutoka NC (US) ila tanzania home!

  • @deborahpeter6944
    @deborahpeter6944 5 ปีที่แล้ว +5

    jay dee na alikiba they are real musicians in Tanzania

  • @stevenpeter2260
    @stevenpeter2260 5 ปีที่แล้ว +13

    Legend mwenye heshima zake.

  • @aysha4102
    @aysha4102 5 ปีที่แล้ว +1

    She is very conservative! Exactly how artists should carry themselves... Komando🙌🏻

  • @ErickMoiro
    @ErickMoiro 5 ปีที่แล้ว +6

    One of my favorite songs by JD is 'siku hazigandi' from back in the day.
    Nairobi, KE.

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 5 ปีที่แล้ว +4

    I like this Boy's Interviews Always Bless up Nice Bringing JD Back

  • @aizohimself8537
    @aizohimself8537 5 ปีที่แล้ว

    Commando bint nakukubaleeee mnooo, Lil Ommy big up kwa shoo la kibabe

  • @richardcastro2386
    @richardcastro2386 5 ปีที่แล้ว +3

    Hard questions, simple answers that's jidee

  • @harunfamily3278
    @harunfamily3278 5 ปีที่แล้ว +13

    nampenda sana dada huyu anahekima#salute

    • @adverahaule2910
      @adverahaule2910 5 ปีที่แล้ว +2

      nakupenda sana we Dada huchuji miaka mia

  • @mamadoublem353
    @mamadoublem353 5 ปีที่แล้ว +1

    Lady jadeee kiboko dada mwenywe kipaji na heshima zake mungu akutangulie mziki mtamu kutoka kwako nfio maana tunakupenda

  • @kulsoomkulsoom8897
    @kulsoomkulsoom8897 5 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana Dada JayDee anajiheshim hadi raha Mungu azidi kukuongoza

  • @klischcafe394
    @klischcafe394 4 ปีที่แล้ว

    J dee anazungumza kiswahili safi akuna raa raa wala laa laa

  • @goodboi9821
    @goodboi9821 5 ปีที่แล้ว +1

    Show Kali no.1 fan from the 254
    Nina imani siku moja utanihoji so keep this comment safe lil ommy

  • @justinaninga1943
    @justinaninga1943 5 ปีที่แล้ว +1

    Napenda unavyoongea kiswahil kizur bila mashauz kama wasanii wengine bila kiingereza kupishwa ila kwko iko tofaut nakupenda sana

  • @wacundirangu1661
    @wacundirangu1661 5 ปีที่แล้ว

    "Heshima yako haiwezi kupotea hivi hivi tu"
    That sums Lady Jay dee!
    *#HereToStay* *#NakukubaliMami*
    *#HumbleSmartAnayeheshimuKAZI*
    *#MyBongoFirstLove*

  • @ltlmedia8480
    @ltlmedia8480 5 ปีที่แล้ว +18

    Neno #kizazisana ni neno ambalo kali sana bro nashauri kwann usingelitengenezea maybe tshirt afu ukapiga hela coz sisi shabiki zako tuko pamoja na wewe tutakusapot bro #lilommy ...wazo langu tu bro

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว +2

      Hata mie hizo t-shirt ntanunua na kuvaa na familia yangu yote

    • @ltlmedia8480
      @ltlmedia8480 5 ปีที่แล้ว

      Safi bro iyo ndo inatakiwa

    • @Cyper255
      @Cyper255 5 ปีที่แล้ว +1

      Kizazi sana hii

    • @monilahcruz7293
      @monilahcruz7293 5 ปีที่แล้ว +1

      Hata mie ntamsaport

    • @ltlmedia8480
      @ltlmedia8480 5 ปีที่แล้ว

      Safi sana #monilah cruz

  • @perfectedson8999
    @perfectedson8999 5 ปีที่แล้ว +1

    we ndio best tz

  • @uzurichannel5223
    @uzurichannel5223 5 ปีที่แล้ว +8

    Kama unamkubali komando like hapa

  • @bukaone7507
    @bukaone7507 5 ปีที่แล้ว +1

    Kizazi sana Lady Jay Dee

  • @elizabethkapembwa6745
    @elizabethkapembwa6745 5 ปีที่แล้ว +5

    Nampenda huyu sis mpaka naumwaa

  • @angelalfred8128
    @angelalfred8128 5 ปีที่แล้ว

    My iron Lady

  • @charlzzesonconsciousness6685
    @charlzzesonconsciousness6685 5 ปีที่แล้ว +3

    #heshima sana judith wambura

  • @merrimerri799
    @merrimerri799 5 ปีที่แล้ว +1

    nakukubali Sana commando

  • @yonamwaweya8517
    @yonamwaweya8517 5 ปีที่แล้ว +2

    nice

  • @millardayopresenter1957
    @millardayopresenter1957 5 ปีที่แล้ว +1

    Inafurahishaa

  • @mohamedsadiki1575
    @mohamedsadiki1575 5 ปีที่แล้ว +4

    lady hazeeek mwalim nimwalim tu

  • @lilianjeremiah2880
    @lilianjeremiah2880 5 ปีที่แล้ว +1

    Kizazi sana

  • @ltlmedia8480
    @ltlmedia8480 5 ปีที่แล้ว +2

    By the way show kali na huwa uharibu bro #lilommy #kizazisana

  • @georgembilinyi9643
    @georgembilinyi9643 5 ปีที่แล้ว +1

    komando jiydee

  • @dicksonmbiu2179
    @dicksonmbiu2179 5 ปีที่แล้ว +3

    Nafikiri Times pia wamtafutie huyu dada presenter kipindi chake awe mwenyewe na wasanii namuelewaga anajua japo cmjui jina

  • @theliquidator8770
    @theliquidator8770 5 ปีที่แล้ว

    Lil Ommy anajua sana jamaa anatisha

  • @yvesyveldinhomzee.5682
    @yvesyveldinhomzee.5682 5 วันที่ผ่านมา +1

    Commando

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe 5 ปีที่แล้ว +3

    Pemda sana mama angu

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว +2

    😍😍😍😍 jidee

  • @albeleenalberto158
    @albeleenalberto158 5 ปีที่แล้ว +2

    Jide nakupendaga komando

  • @peterjohn8745
    @peterjohn8745 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda dadaangu

  • @suleimanmasoud1020
    @suleimanmasoud1020 5 ปีที่แล้ว +4

    Kizaz

  • @jessymalembeka6181
    @jessymalembeka6181 5 ปีที่แล้ว

    Na Ben Paul aliimba jamani @lilommy

  • @essaumnyama7855
    @essaumnyama7855 5 ปีที่แล้ว +1

    ucuxemee moyo/cwema,, daaaah, nakubal xna mammy!

  • @kessyemmanuely7705
    @kessyemmanuely7705 5 ปีที่แล้ว +2

    Aminia mzazi

    • @mmfashon9550
      @mmfashon9550 5 ปีที่แล้ว

      Dhaaa!!! Kujibukwake kwa nifurahisha jibu zakizazi

  • @evanzakaria4281
    @evanzakaria4281 5 ปีที่แล้ว +1

    wewe ni kichwa dada angu

  • @ahmadluponda7660
    @ahmadluponda7660 5 ปีที่แล้ว

    Huyo ndo komando wa miaka yooteeee yan

  • @aliamani6402
    @aliamani6402 5 ปีที่แล้ว

    lilommy tv

  • @mugadimon3563
    @mugadimon3563 5 ปีที่แล้ว +1

    jide fundi sema miungu mtu hawamuelewi but steal anawapa headache

  • @christinechuwa2664
    @christinechuwa2664 5 ปีที่แล้ว

    LADYJAYDEE MSANII UNAYEJITAMBUA

  • @yonamwaweya8517
    @yonamwaweya8517 5 ปีที่แล้ว +2

    nice