Kindly LIKE this video, SUBSCRIBE & drop your views. Incase you were once coned by someone and you have evidence, reach me out on 0739636224. Find out pastor ISRAEL @ 0722744672.
Don't forget Blinton and her wife,we are so disappointed by them,sending money at we are helping as we normally do to other needy esp from karangu wa muraya ,wambui wa mwangi etc
Pastor auna ruhusa ya kuukumu mtu yeyote mungu pekee ndie anaukumu na kama mko na ushaidi endeni kotini sio kupiga kelele,ama mlete simu zenu pia true k asanitise kwanza io ya pastor
Huyu sio pastor amejipa hiyo cheo. Why don't you go and look for Jay umwambie amekosa na umuombee. Unakuja kupayuka hapa kama mlevi.. True K is not a conman.. wewe ushindwe katika jina la yesu back to the sender🙄
VERY TRUE PASTOR MWAMBIE TRUE K NA WALE WEGINE,NA HII SI BURE KUNA GUVU ZA Giza BEHIND NA HIO NI KWELI,JEY TOKELEZEA UOMBE MSAMAA COZ KAMA NI KURUDISHA PESA MIMI SIONI COZ UMESITUMIA.
Truek shame on you and Bella may God have mercy on you and your generation if you repent otherwise if no repentance your generation will walk through curse till 4 generation pia umearibu jina ya wakamba
Iam very very disappointed with you True K and yr Wife Bella. Jamani sasa Dunia hii tumuamini Nani?!Mbona kuna Kazi njingi za kufanya why kutapeli innocent people? Mmejitia laaana Kwa watu.. Hebu mrudieni Mungu Mtubu na Mungu atawasamee.
JAMANI PASTOR SAMMY HAYO YOOOOOOOOTE ULIKUWA UNAJUA MPAKA OFFICE YAKO INATUMIA KU CON WETU NA ATA ILIKUWA NI KU ACT WEWE NI PASTOR CHA UKWELI 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Ata hii ni fake content I can't trust anybody right now...ata wewe usituletee hizi vitu za uongo so hua mnalipa watu wakuje watufurahishe ...mmmmhh endeni kabisaaa
@@carolineakani3065 Ruto alitapeli shamba la Babangu ,na kubomoa nyumba zetu ,kimabavu,huo ni utapeli wa mashamba,Pasto nao pia Kuna wale matapeli na huyo mwenye anaongea kama mwendawazimu,
@@OSIAPE mlikojolewa akili na Ruto Hata akitomba mamako hautakubali ,unaendelea kusema leta evidence,akiua Babako utasema leta evidence ,mungu ndio Ako na evidence Enda umuulize
Double sure itawaramba whats goes around comes around malipo ni hapa tu i feel sad vipe mpaka wanafanya prank za accident and ile machozi n mateso watu hupitia kujinyima inaweza mfuata 😢
We must unsubscribe to all those who are fighting others online. Very soon you will all go down like sunset very sad to see people teaming together to fight one person .that's is witchcraft 🤔🤔🤔
Mungu ni mwema sikutuma pesa zangu bt mm roho yangu ilinionyesha ni vipindi tu ata bb kukidinapiwa niliunjiuliza kwani bella ako na spirit hio njuu one year ago alifanya hivohivo tu
True k alikuja na kiburi bila kunyebyekea, bila msamaha, bila kujali watu amelaghai analaumu wenye kumtoa nje kwe huyu kijana hana hekima.amekuja na ma lap tops na ma suiti kwa mkutano na power point hatuelewi nini alikuwa anajaribu kuambia watu. We need apologies period na arudishe pesa za wentewe hadi za children home
Kenyans am in disbelieve .even now very sad even kamacha albunus. John all supposes to be arrested kuharimbia mtu wa wenyewe jina .Its very risk to associate with kamacha .🤔🤔🤔🤔
Hizi zitu zote za loyalty test ni script tunajuwa hivyo but we enjoy watching like Nigeria movie, but hapo Kwa Hela Mimi siwezi tumia mtu juu hizo vitu ni acting tu, try TH-cam at your risk, Sahi Tena senior Dave naye amepotea kweli Kenya wanatuneba wana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂The way i used to cry and praying every time God to do his will, anyway don't joke with libacation mr jay umejiombea mwenyewe na familia, short cut ya maisha haifai hta
For me I think I’m the problem to have believed and followed true k tv, because I still can’t understand how I send my contribution in all the muchango Hata za DNA. Mama Albanus phone only to be told they were not given the cash..
Toeni Moha hapo,we need to hear Dr.Jay's side,mbona haya Yote na hajitokezi kusema yake?km n binguni kufunguliwa Leo,waliojitokeza kwa uwazi na kukiri na midomo Yao,"wasamehewe". Wataingia.
Kwanza kamwambia John kaisha watuma watu wakimuona John wamkate kichwa cha John apelekewe jay jay pesa ya John watu watuma ulisema John anasoma wachukuwa wewe na pia ulimwambia john aseme amepigwa na mapolice mpaka akalazwa tukachanga pesa kumbe ulimwambia john hivyo pesa zilizo changwa ulizinunua nyumba yani kanunua nyumba na gari na kafungua bucha la nyama
Na bado kanyari ako na washirika hawajaondoka na serikali haijafanya kitu juu yake Truek akitubu mbele ya Mungu hata akiwa peke yake yeye ni mwenye rehema atasamehewa
Bella a you not ashamed of this words from people like a woman,this curse will attach you with your Jen elations if not take serious you will regret,why don't you asked forgiveness ,.
Am feeling very bad since isurported Jay so much including fighting with people when they started exposing you ithought are jeriousy but now I believe them all Jay what you have done to yourself is very very bad iprayed for you your family not knowing was all this as am writing this am crying you will pay even my small contribution
It is real l, I said kitambo ni acting.. how comes bibi yako mnakosana alafu unajifanya kuja kuomba true k akupigie simu akuje Kwa office yake waongie .. real acting, alafu vita zao ushawahi ona ngumi? Nikuangushana tu, wrestling kimpango. Vita lazima uone punch baadaye damu to some point
Ata wewe pia unajishusha hadhi utaunganae na wengine kuendelea kuvuq mtu nguo.Mbona usimuite wewe kama pastor umuongeleshe na kumurekebisha ama wataka wafwasi pia.
Àki am disappointed na true K director J needs to come out n tell the truth...coz if this is true J you are done this is a curse up to your last generation

∆
Bado anadanganya watu eti amekidnapiwa
Pastor auna ruhusa ya kuukumu mtu yeyote mungu pekee ndie anaukumu na kama mko na ushaidi endeni kotini sio kupiga kelele,ama mlete simu zenu pia true k asanitise kwanza io ya pastor
Kwani huyu pastor vita vya nn na mtoto mdogo surely???
True k you conned pple to buy a vehicle hio ni jeneza sio gari
Walahi tena
Wee Ni kunoma Jay
True k umedissapoint Kila mtu ukiwa na bella, pastor Sammy na moha
Huyu sio pastor amejipa hiyo cheo. Why don't you go and look for Jay umwambie amekosa na umuombee. Unakuja kupayuka hapa kama mlevi.. True K is not a conman.. wewe ushindwe katika jina la yesu back to the sender🙄
Tell him
VERY TRUE PASTOR MWAMBIE TRUE K NA WALE WEGINE,NA HII SI BURE KUNA GUVU ZA Giza BEHIND NA HIO NI KWELI,JEY TOKELEZEA UOMBE MSAMAA COZ KAMA NI KURUDISHA PESA MIMI SIONI COZ UMESITUMIA.
My fellow people usiwai kubali watu kulia juu Yako ,mtu anaweza kufa bt machozi ya mtu aikufi,maneno ya mtu aikufi
Pastor may the Lord bless you for speaking the truth of the word of God to bring jay to the light.....ni kweli amejenga madhabahu ya laani....
Pastor Sammy come out n say the truth...acha kuficha dhambi
The worst thing true k did is to fake the kidnapping of his wife,bure kabisa
Bure kabisa
Ulikuwa huko
Truek shame on you and Bella may God have mercy on you and your generation if you repent otherwise if no repentance your generation will walk through curse till 4 generation pia umearibu jina ya wakamba
Na hii mambo ya kumwaga damu za watu ni kama ako kwa illuminat
Naomba nielewe alimwaga damu ya nani?
Sitajiingiza kwa social Media tena wameharibia watu wengine
True k ungesema ni acting haki.I used to cry Alot during this episodes.Remember those tears lazima sitalipwa.They won't go unpunished
🤣🤣🤣
I said kitambo hizo vedio ni stage managed. Why is that after all those vituko wengine walikuwa wanafungua channels za TH-cams!??
That's true
😂😂😂😂😂
Hizo story we know ni acting 😂😂😂
Wewe si Mujungaji wa ukweli Director Jay ako na Pastor Nancy na Apostle Joshua.
Na Brighton pia
Martin Dean barikiwa sana.you have the spirit of a brothers keeper.pls advise kijana mwenzako true k
Lakini Jay never conned people you gave voluntary you guys have been watching Nigerian movies hakuna siku nimetoa pesa I used to watch movie za Jay
Hatukujua ni movie bana😂😂😂
Sisi ni binadamu lazima, tungeumwa na shinda zile watu wanapitia,,, Mpaka Wana fake ugojwa,,, Aki true k, umelaniwa 😢
Bella as awoman that is so evil
What's happening to the couple...I am blank, plz comb me here
Walicon watu through kidnapping@@nabongottc_official
Kabisa
Iam very very disappointed with you True K and yr Wife Bella. Jamani sasa Dunia hii tumuamini Nani?!Mbona kuna Kazi njingi za kufanya why kutapeli innocent people? Mmejitia laaana Kwa watu.. Hebu mrudieni Mungu Mtubu na Mungu atawasamee.
Ameharibia wengi hata mtu akuje akona shida hawezi saidika kabisa watasema tu niuongo 😢
Kabsaa not trust online people
Alimwaga damu ya nani naomba kuelewa, anyway hata Yesu alikataliwa kwao.
Mmmh acha mimi ninyamaze tu na kuangalia kwa macho maana mjua kweli ni Mungu ☺️
JAMANI PASTOR SAMMY HAYO YOOOOOOOOTE ULIKUWA UNAJUA MPAKA OFFICE YAKO INATUMIA KU CON WETU NA ATA ILIKUWA NI KU ACT WEWE NI PASTOR CHA UKWELI 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Just imagine
Ata yeye ni muongo 2
Hata wee ni muongo pia
aki kimemramba true k, coz topic ni yeye mpaka aregeshe pesa za watu na aombe msamaha
Hata izo pesa huyu ni awekwe ndani tu
Ata hii ni fake content I can't trust anybody right now...ata wewe usituletee hizi vitu za uongo so hua mnalipa watu wakuje watufurahishe ...mmmmhh endeni kabisaaa
His days are numbered.. he is going to pay for all the prayers,tears,emotions and money will not go in vain.😢
Unaeza kuta wameshatubu...na God akawasamehee....😅😅..Mungu si mwanadam i say!.....wala hakuwalaximisha ...mlitoa kwa hiarii....🤗🤗porenii asena
Huku nililia sana kwanza nikiona mimba ya bella n vile niliskia kubeba mimba n kazi.........i cried alot
Hata president ruto ni mtapeli mkubwa hapa kenya mbona hamuongelekei huyo, nyinyi mapastor pia nyinyi ni matapeli
Siuseme kile president alikutapeli na pia ni pastor gani alikutapeli.watu tunaanika ukweli ,sio mambo yakusikia
Leta evidence ya Ruto kutapeli watu
@@carolineakani3065 Ruto alitapeli shamba la Babangu ,na kubomoa nyumba zetu ,kimabavu,huo ni utapeli wa mashamba,Pasto nao pia Kuna wale matapeli na huyo mwenye anaongea kama mwendawazimu,
@@OSIAPE upende usipende Ruto ndio mkubwa wa macartel , na watapeli,pia Kuna pastor hujiita Eti pastor pia wao ni tapeli
@@OSIAPE mlikojolewa akili na Ruto Hata akitomba mamako hautakubali ,unaendelea kusema leta evidence,akiua Babako utasema leta evidence ,mungu ndio Ako na evidence Enda umuulize
Ningetaka anirudishie 30 k nilimtumia Wakati alisema Bela was kidmapped inaniuma sana😢😢
30k😢
Pesa yangu nayo nooo
Mwaachie haendi mbali imagine,,,soon u'll see what God is going to reward him
@@youngmum3115 kabisa
Mbona ulituma na hakuchangisha infact alikataa alisema mwenye anataka lkn haikua lazima
Anaitwa kyalo katome. Okoka sasa
Double sure itawaramba whats goes around comes around malipo ni hapa tu i feel sad vipe mpaka wanafanya prank za accident and ile machozi n mateso watu hupitia kujinyima inaweza mfuata 😢
Am happy to see my friend pst Israel advicing true k
Mimi sijaamini even a single word ambayo imetoka kwa huyu fake pastor. wamekuwa wakikula pesa pamoja sai sijui analeta maneno ya pepo anatoa wapi
Anirudishie 30k yangu nilichanga wakati Ayubu alikua hosi may he never find peace na familia yake
Ulitenda mazuri Wacha God azidi kukuinua na mingi Zaidi,Sio kurudisha
😮😮😮 30k😮 so sad and may God reward you for giving generously though you gave to conmen and conwomen
Lazima aonekane kwenye tv akituomba msamaha kwasababu hatutajua kama ameomba msamaha, na hiyo maombi sidhani Kaa Mwenyezi Mungu amesikia
We must unsubscribe to all those who are fighting others online. Very soon you will all go down like sunset very sad to see people teaming together to fight one person .that's is witchcraft 🤔🤔🤔
Yashamwagika maji haizoleki okey
Jay is a thief tumia akili
Mtu akifanya kitu mbaya we must tolk,ww unafuraiya, kwani wewe ni shetani
Ushindwe
No he's a bad person why west ppl kwani watu wote wako na kinyongo na yy
Mungu ni mwema sikutuma pesa zangu bt mm roho yangu ilinionyesha ni vipindi tu ata bb kukidinapiwa niliunjiuliza kwani bella ako na spirit hio njuu one year ago alifanya hivohivo tu
I even wonder how he breaks alot of families 😢😢😢mpaka mke wake anavunja ndoa za watu na ni mwanamke
All those were acting dear😂
DCI ndio inafaa wakue involved msamaha yake haita rudisha pesa za watu..#justice for conned ppl
Hii jangili inafaa kua jela
Awekwe ndani huyo jay
alibia nani wajinga ndio wanatuma
@@leon254kabisa na hata wenye walikoniwa wakinyamaza Mungu atamlipatu ngojea utaona
@@euniceakamala496 wewe kamala please kamalizie hukoo hizo maswali jiulize wewe mwenyewe na ujijibu okey ati alibia nani nkt
Wanadai story ros na Ezekiel ilikua acting na ulijua
Nasikia ameenda Tanzania
Leta pastor sammy onset umchambue
Imagine pastor Sammy amesikiajee surely so sad
Thanks 🙏 kwa kuanika hawa wezi
True k alikuja na kiburi bila kunyebyekea, bila msamaha, bila kujali watu amelaghai analaumu wenye kumtoa nje kwe huyu kijana hana hekima.amekuja na ma lap tops na ma suiti kwa mkutano na power point hatuelewi nini alikuwa anajaribu kuambia watu. We need apologies period na arudishe pesa za wentewe hadi za children home
Uyu bella pia wako pamoja usipo chunga ata wewe utalipia na watoto wenu kwanza yatima kama john utalipa upende usipende
Moha exposed TrueK Tv.. just note that your is in danger..be very careful..mlicheza nyote ukora wenu..
He did good coz he was free and the truth will set u free
Exactly
But amesema part yake na akaomba msamaha ata jay inafaa ajilete aombe msamaha
Wewe si Mungu pastor
Waaaaaa. Thanks pastor for enlightenment
Matin think is good to bring pastor talk about yr TH-cam friend pastor angemuita kushida kuleta Kwa mtadao
Kenyans am in disbelieve .even now very sad even kamacha albunus. John all supposes to be arrested kuharimbia mtu wa wenyewe jina .Its very risk to associate with kamacha .🤔🤔🤔🤔
Wacha ujinga ameharibiwa jina aje mbona hasemi ni uongo yeye mwenyewe
@@jadee.302huyu anatwambia nini sasa eti wanaharibia mtu jina ama anatumia dispenser ya mate
Nyoko wewe hujui chenye unaongea enda na huko
Na wasitafute kuombewa na Sammy. Huyo ni mtapeli kama wao
@@PatienceSenior yes
I rem pastor Joshua told truth k to Be saved na anafaa deep delivareance
Nyinyi pastors ndio huwa mnaitishanga pesa mara mmeona sijui nn?? Tuma pesa ya kuvunja Mathambao. Waporaji bonoko
Wewe pia pastor shida nini wanakubali kuliopwa hivyo.kwenda huko!!
True k usife moyo mungu yunawe
Hizi zitu zote za loyalty test ni script tunajuwa hivyo but we enjoy watching like Nigeria movie, but hapo Kwa Hela Mimi siwezi tumia mtu juu hizo vitu ni acting tu, try TH-cam at your risk, Sahi Tena senior Dave naye amepotea kweli Kenya wanatuneba wana
Uzuri m huwatch pes yangu haikuwahi ni uma but machozi yangu nililia ju yq Bella na stress utalipa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂The way i used to cry and praying every time God to do his will, anyway don't joke with libacation mr jay umejiombea mwenyewe na familia, short cut ya maisha haifai hta
aaakhhhh 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
Roho kanyari😂
Watapeli wakuu😢😂
True k need to pay all the money he took from people
Wakati nilipata kuwa story ya Victor ilkuwa ku act halafu truek amelipw pesa kwa niaba ya Victor, i don't watch truek
Amedi ,rose,,kamacha ,mama gift,,John aliepa kiasi, na syombua na wengine wengi
Mm kama pastor hapa nimeishi nikifuatilia vipindi xa J sikuwahi jua ni vipindi
For me I think I’m the problem to have believed and followed true k tv, because I still can’t understand how I send my contribution in all the muchango Hata za DNA. Mama Albanus phone only to be told they were not given the cash..
Before u send something to pple on tv look around we have really problems around u. Ur bro sister neighbors,, friend etc.
True k. haki we are dissapointed with you ,Bella & moha.😱
Kwanza kuita Mungu nakufanya uongo sio poa
Toeni Moha hapo,we need to hear Dr.Jay's side,mbona haya Yote na hajitokezi kusema yake?km n binguni kufunguliwa Leo,waliojitokeza kwa uwazi na kukiri na midomo Yao,"wasamehewe". Wataingia.
@@charitykendi9213 Haya Wacha tuskie ya kyallo katome 🤣🤣
@@rosawanjiku9484😂😂😂eti Kyallo katome😂
Moha ashasema side yake inafaa jay ajilete mwenyewe aombe msamaha
Nlikua na watch machozi ikitiririka jamani
We are very disappointed of you true k imagine acting with pregnant wife so called kidnapping
Kwanza kamwambia John kaisha watuma watu wakimuona John wamkate kichwa cha John apelekewe jay jay pesa ya John watu watuma ulisema John anasoma wachukuwa wewe na pia ulimwambia john aseme amepigwa na mapolice mpaka akalazwa tukachanga pesa kumbe ulimwambia john hivyo pesa zilizo changwa ulizinunua nyumba yani kanunua nyumba na gari na kafungua bucha la nyama
Vita ni za mungu bali sio zetu truek atashinda hayo yote kwa nguvu na uwezo wa mwenyezi mungu by fire by force 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 o
Pastor Pliz tuambie role yako kwa hiyo drama yote😊
Huyu ni mwizi Wa mapavu
Mko na bidii kweli hamchokiii😂😂😂😂😂 ninani aliye msafi
Hakuna na wala hawakulazimishwa watoe pesa ila kwa hiari.
Huyu ambaye anajiita pastor mbona alikubali mambo ya ushetani kama ilikuwa ni acting? Huyu pastor ndio shetani mkubwa na muongo kwa wote sasa.
kumbe true k wee ni mwizi
Na bado kanyari ako na washirika hawajaondoka na serikali haijafanya kitu juu yake Truek akitubu mbele ya Mungu hata akiwa peke yake yeye ni mwenye rehema atasamehewa
So kama wangekua wakipewa pesa mingi hawangetokea,,,,,pia wewe the soo called pastor unachangia hio laana
Aaaya jay huyu bado ni TWD 🤔🤔🤔
Arudishe pesa yangu otherwise i pray hatawahi ona amani yeye na ukoo wake
Pia mimi nilikuwa najiuliza hivi ni kweli Aaaaaaaaaaaaa mimi nimelia haki
Mimi pia nilituma 1k yangu kwa ayubu kube ni wewe ulichuku kwendauko jabazi sugu
😂😂😂😂
😂😂Sina maoni
Jay and Bella can never be forgiven, they are doomed ,and will live to regret.
Sure
Who died n made yo God. Yet u out here sinning daily.mungeacha kuchanga stupidly
Mnajuaje kama alitubu na mwe hapo mnamuongelelea nyie tuuu mnajiingiza jwa dhambi don't judge makataoeli ni wengi kutokamwanzo awanugu
Man of God this is not a good approch. You should have called True K and talk to him one on one.
Exactly
Why kwa scammers kama huyu hakuna huruma maisha yake ni through pesa ya watu cursed generation yake hata wazazi wao walikua acters
Where is he??? In hide furthermore anajiona mwanaume sahii haambiliki so what next?
U can't be a millionare in day but through sweat,sacrificse but not conning people na msango ya uongo
Kilchoan kwa giza lazima kionekane kwa mwangaza
Aty kanyari ako na nini😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂
Bella a you not ashamed of this words from people like a woman,this curse will attach you with your Jen elations if not take serious you will regret,why don't you asked forgiveness ,.
Am feeling very bad since isurported Jay so much including fighting with people when they started exposing you ithought are jeriousy but now I believe them all Jay what you have done to yourself is very very bad iprayed for you your family not knowing was all this as am writing this am crying you will pay even my small contribution
Kwanza hapa pa kulazwa hosi mpaka anajifanya kugeuka ni shinda...mungu awaone
Somebody explain to me how one person anaweza bebea wstu wazima akili hivyo. It just does not seem real.
It is real l, I said kitambo ni acting.. how comes bibi yako mnakosana alafu unajifanya kuja kuomba true k akupigie simu akuje Kwa office yake waongie .. real acting, alafu vita zao ushawahi ona ngumi? Nikuangushana tu, wrestling kimpango. Vita lazima uone punch baadaye damu to some point
Wacha nitoke true k TV waaah
walizaa kalaana kadogo
Ata wewe pia unajishusha hadhi utaunganae na wengine kuendelea kuvuq mtu nguo.Mbona usimuite wewe kama pastor umuongeleshe na kumurekebisha ama wataka wafwasi pia.
Uyu jay utakupa kipo kibaya usipo hoba musamaa utaona mungu arali malipo ni hapa hapa
Na huyu Bella alikuwa pregnant,where is the baby?
Ata mimi sijawai Ona akipost mtoi😅😅
Mtoto yupo
Àki am disappointed na true K director J needs to come out n tell the truth...coz if this is true J you are done this is a curse up to your last generation
Only God knows the truth, i have no power to judge
Ata mimi nilishagaa nikisikia mabo ya 300 na venye u tube wanalipwo
Million of money
Thankyu pastor.
Am also disappointed pastor
Muawajii MKUU.