Kwanza una pumzi umebalikiwa saut ya kiume iyo Yani Kila Boda inapiga nyimbo zake t Yan una nyota kali sana love you so much napenda San nyimbo zako hazina. Matuc Yan big up sana and never give up
Dah kwakweli moro wakati wenu mmewafunika hata wasanii wakubwa wa singeli mnavowekwa kwenye bodaboda na bajaji huku dar kila sehemu jay combat na kidensa pokeeni maua yenu🎉
ushauli wangu kwa waandaaji wa show hii ni atali sana msanii anashikwa shikwa na mashabiki sio.kila shabiki ni shabiki ushauli tu walinzi wawe kalibu sio.kila mtu anapanda kwenye steji
Oya me sio mtu wa kukomenti Lakin kwaheshima kabisa chafu yangu unajuwa Sema unatuheshimisha Sana Sela arafu tunakusikiliza xana dear ilala, tunakuelewa unafanya niipende singeli unakitu utafika mbali mikazo tu
mwamba tumekubali aende mjini,, anawezaaa baalaaaaaa
Kama umeletwa huku na TikTok Gonga like apa👍👍
Noma sana
Kila boda boda na bajaji Dsm nowdays zinagongwa sana hizi live show..much respect jino moja media..🌍🌍
Yaaan mmoja alikuta kazini kwangu rafiki yangu anapiga akamwomba kama vipi download akasema mb hana akamrushia bhana jamaa alifurahi kinoma acha
Sanaaaaaaa❤❤❤❤❤❤
Unyama sana😊
Kwanza una pumzi umebalikiwa saut ya kiume iyo Yani Kila Boda inapiga nyimbo zake t Yan una nyota kali sana love you so much napenda San nyimbo zako hazina. Matuc Yan big up sana and never give up
Unampendj muimbj mbn km uchiz😂😂😂
Love this song 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🇮🇳
Oyaaa dah kumbe singeli ni nzuri kuliko rnb
Jamani tunaopenda anavyoimba SIKIA SIKIA SIKIAAA tujuaneeee ❤❤❤❤
Mbona mjomba umejificha Sana mm nimeskia kipande tik tok jiiune chap wakutambue gonga like na unajua
Hiko kipande kinatisha combat angejua angekitoa asee bonge ya ngoma
Aaaah,,😂
Nani apo
Kwenye singeli akuna msanii anaye weza imba live Kama jy Kombat Kama unae mlete 👏👏🙌🙌🙌🙌
Dah kwakweli moro wakati wenu mmewafunika hata wasanii wakubwa wa singeli mnavowekwa kwenye bodaboda na bajaji huku dar kila sehemu jay combat na kidensa pokeeni maua yenu🎉
Nakukubali sana mimi apa nipo kusaka nasikiliza nyimbo zako apa
nakukubali Jay Combat show kali sana
Wakati wako Combat unajua unajua unajua Mwamba sikia sikia sikiaaa
Nakubali hapo enyewe 🎉
shida moja mwamba nyimbo baadhi ya nyimbo zake azipatikan kweny brogs...
Umetisha sana boy
Jay fund san,uyo alishawi kuibiwa nyimbo na mczo mwanae san waoo,jey mtaan lin kigambon,
Nakupend Jay k0mbat ❤❤ na kz zk kw ujumla.. J0mn un weza 🦋🦋🙌🙌🙌 respect 2pe ingn..
DAAAH ENERGY YA HUYU MWAMBA NI HATARI...
Uyu jama kashaenda mjini anatakiwa atowe Ngoma back to back na promotion ya mana
mtaalam sana om boi..
Umetisha san
Shoo kali sana asanteeeee
❤kweli ana nyota 🔯🌟🔯 kali boda boda kwenye magali makubwa waenda kongo daa ana tupa lahaa sana
Nandy festive season chukua hii ni maliii❤
J combat ni mmoja tu, epuka matapeli✌️✌️✌️
Bila kuchoka tuh from kigambonino tuh respect j combat tuh
Jay Kombat unyamaaaa mwingii sana
Mwanangu ukowapi wew duuuuu
Kwangu binafsi hii ndio Ngoma kali kutoka Kwa Ninja kwa mwaka huu.up top Lyrics 🎉
UNajuaa Hadi unakeraaa maninaaaaaaaa
ushauli wangu kwa waandaaji wa show hii ni atali sana msanii anashikwa shikwa na mashabiki sio.kila shabiki ni shabiki ushauli tu walinzi wawe kalibu sio.kila mtu anapanda kwenye steji
Kaka hao wasanii wenyewe hauwezi muibia ovyo utaishia kumgusatu jaribu kumuibia anamabaunsa unanyanyuliwa hautoamini
Good job boy
unakubali sana
Mitano tena kaka❤❤❤
Ach u
Oy wew fundi umetisha
Nakubalii 👍👍
Ngoma kali sana
Unajua mbaka unakela
Bila kuchoka😮
Nipo mbez Dar ili vibe sijalipat kitambo sana la hom city
Zinakuja kama zooote usitoke
Sana kaka,,,, pia we nae ubarikiwe kwa hesabu za wimbo huu.........🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯
Wakati wa Mungu ni sahihi 🙏🙏
Very much brother unaweza
Jamaaaa anapendwa sana aiseee
Unyama blaza san
Umeuwa baba🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jay unajua apo nakubal
Jmaaa noma
Umetixha🎉
Mangae melela doma 😂😂😂 umenikumbusha mbali
Unaweza brow mijino 32 lindi 1 apa
Ongea sana kombat
Kaka unaju Sana tenasana
Jamaa aende mjini
Moro nyumban
Pambana kak mungu yupo nawe
NGOMA KALI SANA HII.. COMBAT JAY UNAUFUNGA MWAKA KIBABE SANA
Moro Hakuna kama wewe, you the best j kombati
Unajua kaka 👏👏👏
Kikubwa dua unajua
mwamba anajua
Combat Jay mtu mbadiiii🔥🔥🔥
Oya combat unajua
Oyaaaaaa jay babaaaaaa Tuuuueeeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii no kachumbali umeweza sana
Unajua ❤
Jay kombati bilaa kuchoka
Oy we unyama san brother
Chewa apo
Unyama jay kombati were ninoma
Leo nmeiskia kwenye boda nkajua ni mczo kumbe mwamba tu kitaaa jamaa anajuaa😅😅
We xkia sikia❤❤❤
Uyu Mwamba hatari Sanaa
hii kaziiii
Saluti sana jamaa unajua kijanangu huna baya
Huyu jamaa anafaa spate shoo wasafi festival
Unyama sana
Unajua kaka
Nakubari track Zak 2 mama na uzima nazikubari
Sikia sikia ❤
Oya me sio mtu wa kukomenti Lakin kwaheshima kabisa chafu yangu unajuwa Sema unatuheshimisha Sana Sela arafu tunakusikiliza xana dear ilala, tunakuelewa unafanya niipende singeli unakitu utafika mbali mikazo tu
sikia sikia jitu la mtumba j combat...ubarikiwe mama rajabu kwa hesabu
Yaan sijui chakusema we ni mtu nanusu
Haki kanyimbo kanatamba kweli nilitaka nimjue maana naonaga TikTok tu
Nakubl mwan
Noma sanaaaaaaaa
Combat
0:48 0:50
Kipaji 100%
Umetisha sana
Nice song 🎵 ❤
Naiyo ya kumuibia mama naomba jina lake
Huyu jamaaa ni noma nimefurahi coz
Jcombat n Moja tuuu🔥🔥
oy umetisha sn broo
Umetish sn
Moro kipaji,,
Mungu mwema sana
Salut mwanangu liscpect
Home moro nakubal
Dah mwanangu iyo ngoma ni atar sana