QUEEN DARLEEN AFUNGUKA SAKATA LA KUFUKUZWA NA MWENYE NYUMBA WAKE/AWEKA WAZI KUHUSU MKE MWENZIE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 338

  • @janjakhalfan7283
    @janjakhalfan7283 3 ปีที่แล้ว +5

    Isiaka kama umemsikiliza vizuri uyo mkeo qwueen, mazungumzo yake utagundua kama qwueen apendi wewe uendelee kuishi na Mke wako Sabla, kwa sababu anapenda sana kumzungumzia Sabla tena kwa ubaya zaidi sio kila kitu anachoojiwa kuhusu Sabla ajibu, qwueen acha uchochezi ili mwenzio aachike, Mungu anakuona kila kusudio lako kwa mwenzio na kama unafanya vitimbi mwenzio aachike chunga sana Qwueen Mungu ni Mkali Mungu ni Mkali, ayo unayoyafanya unayatengenezea njia kwa kizazi chako yatajirudia kwa wanao maana Mungu uwa analipa apaapa Duniani ili tujifunze, Isiaka kua makini sana na Qwueen

  • @maryamfaraji2364
    @maryamfaraji2364 3 ปีที่แล้ว +26

    Yaani Queen Darleen 😍unaongea kistarabu una akili saana 😍😍😍♥️🇧🇮

    • @estarstiven859
      @estarstiven859 3 ปีที่แล้ว

      Sana me napenda anavyo ongea yaan

  • @fatnahsaleh860
    @fatnahsaleh860 3 ปีที่แล้ว +30

    Queen ka Mama B🌹❤. Napendaka interview zako unaongeya kistarabu na uko mtulivu MashaaAllah. Allah akukuziye mtoto na awaongezeye upendo🥰🥰🌹. InshaaAllah 🤲

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 ปีที่แล้ว +21

    Queen nakupenda kabisa una busara na hekima kumbwa unajuwa kuongea vizuri mungu aibariki ndoa yako.

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว +4

    Uwii🙆🙆🙆maringo yote Mara gari kumbe hua mnakodi nyumba za wenyewe

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah maboork nakupenda darleen 🌹🥰🥰🥰🥰

  • @hawakhamis9663
    @hawakhamis9663 3 ปีที่แล้ว +4

    Nakupenda sana mwanahawa allah akukinge na maneno ya watu akupe subra pia

  • @zahramohamud4970
    @zahramohamud4970 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyo landlord Mungu amuone sio vizuri hivyo

  • @fatmabakar6763
    @fatmabakar6763 3 ปีที่แล้ว +47

    Ambae amemuelewa derleen km mm plz ginger like hapa💕❤️💕❤️💕😘😍

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 3 ปีที่แล้ว +3

    Maskin Darling hajamjua mmewe bado ni mtu wa aina gani. Eti ANAWEZA KUKUKUTA NA MWANAUME MWENGINE MNAFANYA MAPENZI NA AKAKUCHEKEA AKAKUAMBIA MKE WANGU TUONDOKE 😆😆😆😆NA GARI ANANINUNULIA, PUMBAVU. mi mdogo sana kwako lakin nikuambie usifurahie hiyo hali watu wa hivyo ni hatari sanaa. Anaweza kwanza ni watu wasiosahau maumivu hata ya miaka 20 iliyopita,na ni watu wenye visasi. Huwa wana fake smile hata kama moyo unamvuja damu, si watu wakuonesha maumivu yao hata kama ndani wanaugulia nje atakuchekea tu 😅😅😅Ila siku akichoka kuvumilia maumivu aidha asepe mazima akuache na asirudi kabisaaa au akudhuru hata kukuua hata kama hamjakosana sana kwa mda huo.
    Chukua hiyo itakusaidia, usijikute unaishi na Malaika siku akigeuka hutaamini.

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 3 ปีที่แล้ว +15

    Hakika wewe ni mke unayejielewa. UMEFUMDWA❤❤💯

  • @habibasallah8139
    @habibasallah8139 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah Queen darleen

  • @ireraaudrine2516
    @ireraaudrine2516 3 ปีที่แล้ว +1

    Mme wanguuu... Hhhaa , jamani mwisho wakiama tutayaona tukiwepo... Biblia inasema bwana awe na mke mmoja ....., Jamaniii ,acia mme sablaaa ndie wakwanzaaa....

  • @subiramichael3840
    @subiramichael3840 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanavyokusemaga vbaya tofauti na point unazoongea ukiojiwa uko vzuri bint nimke mwema mungu akulinde

  • @mwajumakabesha5662
    @mwajumakabesha5662 3 ปีที่แล้ว +11

    Mnasifiaga waume zenu ivo badae mnalia . Achanye ivyo kaeni prvt

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 3 ปีที่แล้ว +1

      @mwajuma ....wanawake wanao penda kusifia waume zao ni tegemezi, kwa hiyo lazima wasifie ili wapate ugali wao, lakini wachapa kazii hawana hayo mambo...

    • @mwajumakabesha5662
      @mwajumakabesha5662 3 ปีที่แล้ว

      @@mzalendomzalendo2567 basi wawe natizama ya kusifia, eti mume wangu nimtu Ata Akikufumania Atakuchukuwa mnarudi nyumbani na maisha yanaendelea, labda hasiwi nanguvu ya kiume ndio Ataona uwezo huyo hana

  • @florencekaranja8736
    @florencekaranja8736 3 ปีที่แล้ว +5

    Kusema.ukweli Darlene unaakili sana mungu aendele kukumbariki

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 3 ปีที่แล้ว

    Uko sawa, we endelea na maisha wanaosema waache

  • @rebeccamirimo3956
    @rebeccamirimo3956 3 ปีที่แล้ว

    Unaongeya vizuri Queen

  • @gabrielibyaese827
    @gabrielibyaese827 3 ปีที่แล้ว +1

    Cool you are beautiful woman

  • @mapenzishindoshindo4939
    @mapenzishindoshindo4939 3 ปีที่แล้ว +2

    Dareen wangu nakupenda mama

  • @ummimohammed9359
    @ummimohammed9359 3 ปีที่แล้ว

    pole sana my dear Allah atakupeni nyumba yenu yenye kheri na nyie。hayo ni mambo ya kawaida kwa binadam kuwatokea ucjali。

  • @nunukiddo792
    @nunukiddo792 3 ปีที่แล้ว +2

    I love it hakii Queen she's a woman also sabra is a woman but uelewa wake nimependezwa nao she's a mature woman

  • @agneskadzo9087
    @agneskadzo9087 3 ปีที่แล้ว

    Very true..

  • @salmazaidalabrawi3723
    @salmazaidalabrawi3723 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni wivu unamsumbuwa hakuna jingine jimpya penzi limerudi kwa sabraaa kweli subra yavuta kheir kaza uzi sabra wangu

  • @adolphinayalala4092
    @adolphinayalala4092 3 ปีที่แล้ว +3

    Umeongea vizuri hapo kama Kuna shida inakuusu mwenyewe sio kila mtu kujuwa

  • @ellensule8451
    @ellensule8451 3 ปีที่แล้ว +7

    Yani huyo mwenye Nyumba ni mkorof sana jamani najua story zake

  • @sabrafadhil4713
    @sabrafadhil4713 3 ปีที่แล้ว +5

    Basi ww ndio ulomtuma huyo Ali amchafue sabra ni uongo mtupu kuingilia ndoa za watu alafu kujifanya ww ndio umefika unajua kila kitu yatakukuta tu wala haupo mbali

  • @farahanjuma1714
    @farahanjuma1714 3 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo hashuolote kumbe hamunapakukaa poleni Sana mungu atawasaidia kwaiyo kuimbakote nyumba hataya milioni mia hunadalini

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 ปีที่แล้ว +4

    B mzuri mashallah😘

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 3 ปีที่แล้ว +9

    Nakupendaga unaongeaga ukweli mtupu❤

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 3 ปีที่แล้ว +7

    Queen kumbe mzeee

    • @patriciacarlo7236
      @patriciacarlo7236 3 ปีที่แล้ว

      Wewe huta zeeka?!

    • @dayana5513story
      @dayana5513story 3 ปีที่แล้ว

      @@patriciacarlo7236 nitazeeka dear nimemanisha ivi sikujua kama age yake nikubwa sana ivo

    • @adidjayousuf7300
      @adidjayousuf7300 3 ปีที่แล้ว

      @@dayana5513story nikumshkuru mungu akikupa umri dada

  • @nuuurinkluge33
    @nuuurinkluge33 3 ปีที่แล้ว

    Ohoo Don't worry my dear..wafanya vizuli kutoka ,,ni wivu tu my dear..

  • @tatungeni6937
    @tatungeni6937 3 ปีที่แล้ว +5

    Nikweli ❤️❤️

  • @adrienmastaki4242
    @adrienmastaki4242 3 ปีที่แล้ว

    sublime femme

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 ปีที่แล้ว +2

    Mh sio kweli

  • @jacklinejacksone1165
    @jacklinejacksone1165 3 ปีที่แล้ว +18

    Kwaiyo we mzazi mwenzio wa kwanza ulikua umekosea wapi Adi kukuacha acha mambo yako wanaume awaridhiki ata isihaka unadhani upo pekeako?

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 ปีที่แล้ว +5

    Ila nawapen pole sn km unaweza kupanga nyumb kubwa kias icho na bad unapigiwa kelel na mwenye nyumb yani sasa usijenge nyumb yako mwenyewe. Duh polen sn

    • @winfridagama2042
      @winfridagama2042 3 ปีที่แล้ว

      Ati jmn bora nijenge vyumba vitatu eehhh

  • @merinakassembe4251
    @merinakassembe4251 3 ปีที่แล้ว

    Kweli Kabis kaka anajinsi yakujitetea

  • @merinakassembe4251
    @merinakassembe4251 3 ปีที่แล้ว +1

    Alimnyanyasa sana Mike mkubwa

  • @hadijajape8627
    @hadijajape8627 3 ปีที่แล้ว +1

    Huxemi akakujengea uepuke aza yawenye nyumba heti akakukuta naakuninulia gali mpya xhikamoò mama mwenye gali

  • @julietilema6805
    @julietilema6805 3 ปีที่แล้ว +1

    Unaeshima sana adiraa

  • @janethmollel6324
    @janethmollel6324 3 ปีที่แล้ว +4

    Umeongea kiutuuzima darling

  • @mariamsosovele3964
    @mariamsosovele3964 3 ปีที่แล้ว +13

    Queen anajifanya anajuaaa anajikuta mtu kwa isihaka

    • @fridasky1019
      @fridasky1019 3 ปีที่แล้ว

      Sasa ni mnyama?

    • @mariamsosovele3964
      @mariamsosovele3964 3 ปีที่แล้ว

      @@fridasky1019 kwendraaa kenge wewe

    • @Bintimrembo-y1v
      @Bintimrembo-y1v 3 ปีที่แล้ว

      shangaaa na uzee wake anatakiwa kujua wanaume by now

  • @mercyamagove1223
    @mercyamagove1223 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow the beby is so pretty

  • @frdausmwawughanga9047
    @frdausmwawughanga9047 3 ปีที่แล้ว

    Tinawaombea maisha marefu Kwa ndoa yenu cz weee tz yanasrmwa mengi subra dada na mimeo Yani hata iweje usikubali kuwapa waja faida ziiip Kwa Nyumba yako

  • @gloryrichard8630
    @gloryrichard8630 3 ปีที่แล้ว +10

    Acha kujikweza ww

  • @celinabujiku1620
    @celinabujiku1620 3 ปีที่แล้ว +9

    Uyu ajielewi ety ningakaa chin nikajifikilia nimekosea wap mwanaume ulienae Sasa alikua wa mwinzio wanaume awaliziki

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 3 ปีที่แล้ว

      Dini yetu inaruhusu acha uzwa mwamwa

  • @fatimawazeer701
    @fatimawazeer701 3 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sana

  • @shaurimfungoni1772
    @shaurimfungoni1772 3 ปีที่แล้ว

    Nawapenda darlyn na mumewe

  • @janethmgola2615
    @janethmgola2615 3 ปีที่แล้ว +16

    Acha mambo yako wewe unamkandamiza mwenzio ongea yanayokuhusu

  • @jacklinekarema9384
    @jacklinekarema9384 3 ปีที่แล้ว +1

    Ila kwa kweli ulikuwa unadaiwa

  • @anzanucheluftz6848
    @anzanucheluftz6848 3 ปีที่แล้ว +13

    Akiongeza wa 3 akili itakukaa sawa hao ndo wanaume usijione umefikaaaaaa

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 3 ปีที่แล้ว

      Nyinyi wawapi dini inamruhusu hata wanne

    • @yunyun799
      @yunyun799 3 ปีที่แล้ว

      4 sheria 😝😝😝

  • @nurukhalifa9413
    @nurukhalifa9413 3 ปีที่แล้ว +8

    Mmeingia ndoan kwa pupa kupanga na maghorofa ili mumrushe roho bi mkubwa mwisho mmejirusha wenyewe😀😀😀😀😀 mi nilivyosikia mlikua mmepanga sikuamin mpk leo nilijua penu shoga

  • @smartstationery5223
    @smartstationery5223 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji unapayuka sanaa

  • @fatumaseleman5700
    @fatumaseleman5700 3 ปีที่แล้ว +11

    Sisi tunaopanga tumekuelewa vzr mama niliwai kuchambana na mwenye nyumba kisa kupitisha cku 3

  • @praxedadominic5193
    @praxedadominic5193 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama B mrs Mtoroooo ❤️❤️❤️❤️

  • @chainbre275
    @chainbre275 3 ปีที่แล้ว +10

    Mume wangu Mume wangu lol kweli kuolewa raha

  • @fridafredrick6697
    @fridafredrick6697 3 ปีที่แล้ว +1

    Si mjengee jaman

  • @saadas5586
    @saadas5586 2 ปีที่แล้ว

    Achangiwe japo nyumba ya nyasi jamani mimi namchangiya kiwanje

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 3 ปีที่แล้ว +8

    huyu akili ndogo sana, nani kakwambia kuongeza mke walio tangulia wana matatizo? ngoja aongeze wa tatu kama utakuwa na mdomo lols.

    • @jumahayatu8431
      @jumahayatu8431 3 ปีที่แล้ว

      Ata mm amenifurahisha SNA ni mstarab nampenda bule wallah

  • @sharifasharif3978
    @sharifasharif3978 3 ปีที่แล้ว

    Shikamoo nyumba, wacha nipambane nitafute nyumba yangu🙌🙌🙌🙌

    • @nurukhalifa9413
      @nurukhalifa9413 3 ปีที่แล้ว +1

      Ila wasanii jaman mihela wanayochezea wanaish kwakupanga ndo mana vanesa aliona aachane na mziki wa bongo full maigizo

  • @stellaprince4871
    @stellaprince4871 3 ปีที่แล้ว

    Jitahidi ujenge nyumba wewe Ni 🌟

  • @zuuzuundotterz4032
    @zuuzuundotterz4032 3 ปีที่แล้ว

    Mwanaawa nakupenda😘😘😘

  • @samzuri3043
    @samzuri3043 3 ปีที่แล้ว +3

    Mbona mjengi nyumba yenu?na vile mna jishoboa kumbe mpo kwenye rental aalaaa!

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 3 ปีที่แล้ว +5

    Wew mke kuletewa mke mwenzio sio akae chini afikirie hio ni halali kwa allah

  • @nadiafataki1024
    @nadiafataki1024 3 ปีที่แล้ว +3

    Naww una kasoro mbona mzaz wako wa kwanza alikuachaa nyooo

  • @issamussa440
    @issamussa440 3 ปีที่แล้ว

    Nice interview

  • @لينا-ظ1ك
    @لينا-ظ1ك 3 ปีที่แล้ว

    Nyiye wanafki kwel mara mumusengeny binaadamu noma

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwanaume ameruhusiwa Kiowa wake zaidi y wanne nasio kuwa ameongeza mke kwasababu mkewe hamtimizi haja zake ama anakasoro laa... N kuwa mwanaume ameumbiwa matamanio yaani hatosheki n mke mmoja

  • @aishadubat8028
    @aishadubat8028 3 ปีที่แล้ว +1

    Upuuzi mtupu kuolewa na miaka 50 ndo athari zake izi mume wng kanya mume wng kajamba ndo maana mume karud kwa mke wake wa halali aliemuoa kwakua anampenda so ww aliyekuja kwako kutafuta kiki kwa diamond angekuwa hata juma ni mwanamke angemuoa afike kwa diamond

  • @khadijaomar7529
    @khadijaomar7529 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe huyu hata hana adabu inamaana hata mama yako alikiwa ana kasoro?mana nae pia ameletewa mke mwenza
    Kisha ww sio mstarabu kwani usijibu haujui kuhusu maisha ya mwnzio acha wivu na kutaja aibu za watu mungu anakuona wewe
    Ujue kuna siku yatakujea mwenyewe
    Kisha ww haujioni kama una choko choko?

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 3 ปีที่แล้ว +1

    Hawatabirikagi hawa wenzetu jmn mwanume sio ndugu yako
    Wako kama kinyonga
    Mie nishapitia maumivu Sana ya hawa viumbe
    Usijiwekee 💯

  • @alimashabani2252
    @alimashabani2252 3 ปีที่แล้ว +2

    Kumbi kuringa koote uko bado munapanga ovyooo

  • @omarkhamis5913
    @omarkhamis5913 3 ปีที่แล้ว

    Ukikaa kimya na kuendelea na maisha yako bila ya kujibu kwenye mitandao ya kijamii kwani itapungua nn c umalizane nae ikiwa wewe na yy tuu yaonesha unasumbuka ukiongelewa vibaya jua jambo hilo la kuongelewa vibaya ktk maisha yako haliepukiki

    • @rehemasaid796
      @rehemasaid796 3 ปีที่แล้ว

      Umepaukaaaa, unajichanganya mara ajiulize alikosea wp mara ndoa kuongezewa mke wa pili ni ibada.

  • @felistermgubila9581
    @felistermgubila9581 3 ปีที่แล้ว +4

    Maneno mengi ya nn siujenge ya kwako

  • @glorymsola8676
    @glorymsola8676 3 ปีที่แล้ว +4

    ningekuwa sabra ningeshawashat siku nyingi sabbu hamumuiti sabra kusema upande wake nyie ni kumuhoj queen na isiak tu.kwamba hawa hawana matatizo sabra tu ndo anatatizo😏😏😏

  • @faridaodidiodidi7517
    @faridaodidiodidi7517 3 ปีที่แล้ว

    Sai waliliachooni

  • @gablielsamwely1081
    @gablielsamwely1081 3 ปีที่แล้ว +1

    Qween darleen jamani ana busala sana pile sana mama

  • @pilichumu9331
    @pilichumu9331 3 ปีที่แล้ว

    Kaka yak.diamond anapesa nying sana kwel BC nyumba mjin hamuna nyiye,mpijiy konde akupe nyumba

  • @suzanpatrick9380
    @suzanpatrick9380 3 ปีที่แล้ว +5

    Jengenii jmn Darlin muachane na changamoto hizo nyie ni icon bhanaa

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 3 ปีที่แล้ว +1

    Weweee, dini inasema owa mke wapili kwa sababu na lazima mke wa kwanza ajue...kwa hiyo wewe mwanamke nenda kajifunze dini ndio uje uongee humu....

    • @dalilahrashid2409
      @dalilahrashid2409 3 ปีที่แล้ว

      I disagree with you we we ndio ukasome dini kwanza huyu dem ako sawa kabisaa

  • @meleniaelikana7345
    @meleniaelikana7345 3 ปีที่แล้ว

    Haya bhana mungu awe nawe

  • @evacharles678
    @evacharles678 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo utakapo letewa wa tatu ndiyo utaacha kujikweza na kumbuka kila Neno linalo tuka katika kinywa chako

  • @kautharramadhan2188
    @kautharramadhan2188 3 ปีที่แล้ว +8

    Kuongea herufi ni shida wallah l na r mwanashelia,taleh vituko onheeni ukweli kushindwa ni jambo la kawaida kwa hii dunia

  • @sofiasofia7557
    @sofiasofia7557 3 ปีที่แล้ว +3

    Acheni ujinga jengeni nyumba ndo habari ya mjini aibu hii sasa

  • @alibell5246
    @alibell5246 3 ปีที่แล้ว +3

    Mweanzang viwanja vimejaa tele m.2 tuu ushapata jenga japo chumba kimoja tuu kwako kwakooo mm mwenyee nna chumba kimoja lkn najidai npo kwangu cbuguziwi na mtu alhamdullah

    • @wanaupendotv7183
      @wanaupendotv7183 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa dada ni jambo la kumshukuru mungu kwako ni kwako tu

    • @veronicaenock7292
      @veronicaenock7292 3 ปีที่แล้ว

      Aysha Aziz ni kweli mpz ila nijuze vya m2 vipo maeneo gani maana nahitaji plz

    • @maidamwaipopo7645
      @maidamwaipopo7645 3 ปีที่แล้ว +1

      Mimi mwanangu alipigwa na mwenye nyumba kisa kuchora ukuta mbona nilijenga chumba kimoja kikubwa upo?nikachimba choo mwenyewe mpaka leo nina vyumba vitano choo safi umeme maji nina raha mpaka basi

    • @maidamwaipopo7645
      @maidamwaipopo7645 3 ปีที่แล้ว

      Wasanii wanajisahau sana

    • @veronicaenock7292
      @veronicaenock7292 3 ปีที่แล้ว +1

      @@maidamwaipopo7645 hongera mpz maana bila changamoto ya mtoto usingejenga haraka,nisaidie nahitaji kiwanja huko uliko bei gani my

  • @rehemambito7989
    @rehemambito7989 3 ปีที่แล้ว +1

    Watching from Kenya

  • @sabrinasab2910
    @sabrinasab2910 3 ปีที่แล้ว +1

    Halafu kiwanja dar rahis unapata million 3 sisi kwetu zanzibar hupat pesa izo watu wa dar wanapenda kupanga kwa nn hawajeng

  • @SophieSpira
    @SophieSpira 3 ปีที่แล้ว +9

    Isihaka anakuogopa vile wewe ni mkubwa wake.

  • @emiliaalyhibraimo6367
    @emiliaalyhibraimo6367 3 ปีที่แล้ว

    Ivi inakuaje mtu ster hua anashindwa kumiliki jumba hali ya kua anapata pesa ata nyumba ya milion 10

  • @emanuelmunuo1926
    @emanuelmunuo1926 3 ปีที่แล้ว +4

    Bora wali maharage kuliko wali nyama wa masmango

  • @mkaiteafetu6782
    @mkaiteafetu6782 3 ปีที่แล้ว +1

    Mume wangu mume wangu

  • @muhammedabdallah9503
    @muhammedabdallah9503 3 ปีที่แล้ว

    Jisifu wambebe

  • @julietilema6805
    @julietilema6805 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana

  • @brianmweresa8576
    @brianmweresa8576 3 ปีที่แล้ว

    Mumuwangu pekeangu alooooo

  • @aminadaudi6614
    @aminadaudi6614 3 ปีที่แล้ว +9

    Ata ungekuwa wewe umeletewa mke mwingine ungelalamia nyau wewe

  • @mwanahawasaid1561
    @mwanahawasaid1561 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah wajina Allah akuepushe na husda za waja

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 3 ปีที่แล้ว +2

    Li dada Lina sura mbaya hili🤮

  • @agnesmwangombe6999
    @agnesmwangombe6999 3 ปีที่แล้ว

    Ulikuwa Wadai kubali wcb mwapenda kufeki maisha

    • @agnesmwangombe6999
      @agnesmwangombe6999 3 ปีที่แล้ว

      Wewe kubali ulikuwa Wadai rent Tu mbona uhama Hama