ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Napenda pale Damme anakikbizwa toka kweny underground chambers
Yes iyo ni moja ya scene kali sana
❤❤❤
Thank you
Naikumbula.sana.
Ilitamba sana hii
Van Damme akiwaanatembea huku anaangalia chini ndo utamu wa hii muv❤
😊😊
Mimi napenda pale dame anavyokimbizwa weee ni noma
Saaana
Hii movie daaahh ilikua haunambii kitu dame na cyborg Vicenty clyne miaka ya 2000 nikiona kava hata kama sna pesa lazima nikauze embe ili nipate pesa shilingi 100 enzi hizo shilingi 100 ulikua na thamani kubwa
Hhaha yeap yeap.. Wazungu wanasema "Old is Gold"
Hii filamu inakuaga wazimu sana mpaka waleo naikubali
Ilibamba sana hii movie
Sasa Kuna maajabu gan ya kutisha hapo??😀😀😀
Nilikua namuogopa uyu fender alikua mnyama uyu kuma
Hhahahahahaa yale macho sasa
Movie imenitesa hii 😅😅😅
😊😊😊 ulikua unaogopaee
Asant kwa kunijib sms yng ..kwa kuichambua cyborg
Karibu
Hiyo movie huwa napenda pale anaanguka na msalaba
Yes Iyo part huwa ni moja ya part zinazopendwa sana
Mabanda ya video
😂😂
Nilikuwa namuogopa uyo adui kinyama😂
😂😂 sio wewe tu
@KennyUkiyz007 🤣🤣🤣🤣hasa hayo macho yake na Ile miguo Yao waliyokuwa wanavaa na huo urefu💃🏿💃🏿
Tunaijua TH-cam Ipo bwana mala kwa mala nazipitiaga
Sawa sawa
Kuna kitu umesahau vandame alimpiga jamaa teke la ukweli katika hio movie
Yes upo sahihi kabisa
Mbona hiyo imesemwa
Hiyop movie ni nzuri ila kinachonikera ni pale yule binti anampiga teke Adui anarushwa umbali mrefu zaidi kitu ambacho ni uongo wa kuonekana
😂😂😂

Tunaijua TH-cam
Ipo bwana mala kwa mala nazipitiaga